Kumiliki bastola ni mzigo na hasara

Kumiliki bastola ni mzigo na hasara

Sheria inabana sana...

Unayo lakini ina mambo mengi ya kuzingatia...

Ikipotea shida, ukiionesha hadharani pasipo sababu yoyote shida, ukisahau na ikaonekana kiholela shida...

Ukimtishia mtu ni shida... ukimfumua nayo mtu ni shida...

Kila risasi utakayoitumia ina hitaji maelezo siku ya ukaguzi au ku-renew leseni...



Cc: mahondaw
 
Raha ya Jf ndio hii....
Hapa asilimia zaidi ya 90% wanamiliki silaha, sasa ulete Uzi Wa kuulizia taratibu za kumiliki silaha unaweza kukosa details sahihi kabisaaa ndio utajua humu wote walifika university na ni matajiri wasomi wanajua kila kitu, wapanda bombadia na wasafiri nje ya nchi daily


Aaahhhhh!

Ubarikiwe Maxence na Mushi kwa maono yenu haya tunapunguza stress hapa kila sekunde.
 
Kuna mtu namfahamu alikwapuliwa bagi la laptop kwenye daraja la kawe, mguu wa kuku ulirudisha laptop na mtu kwenda kulazwa hospital hata sina uhakika kama anasehemu za uzazi tena.
 
Sema kwa siku za karibuni wengi waliokuwa wanazimiliki wamefulia na wamechoka ile mbaya.

Wamebaki nazo hawajui walindie nini.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Mm ninayo, nilichukua 2011, sasa jichanganye! Niliitumia mara 4 tu toka niichukue tena kwa kupiga juu, ila hakuna kibaka aliyebaki!
 
Mimi kuna siku nmelala zangu na nilikua nimechoka kweli, nikawa naota ndoto za kuibiwa ibiwa hamadi nikajikuta nmeamka kutokana na kusikia kitu kimedondika huko nje..ikabidi nichungulie kupitia dirishani maana ni maeneo pia ambayo huwa napaki kibeby walker changu..nikaona jamaa mbavu kama sita hivi ndo wanamalizia kung'oa bumper la beby walker yangu. Ata kama ningesema nitoke nisingewaweza kupambana nao,nikaona isiwe tabu maisha ya kidigitak Nikakoki tu mguu wangu nikamlenga mmoja wao kwenye paja. Haikupita sekunde sikuona mtu aliyebaki pale zaidi ya huyo jamaa ambaye nilimlenga. Sasa nisingekuwa na mguu wa kuku ningewawezaje hao jamaa
Hahahahaha
 
Nilipewa offer na mkuu flani wa mambo ya ndani ya kumiliki mguu wa kuku nikakataa...
 
Risasi mbona zinanunulika black market
Sheria inabana sana...

Unayo lakini ina mambo mengi ya kuzingatia...

Ikipoteza shida, ukiionesha hadharani pasipo sababu yoyote shida, ukisahu na ikaonekana kiholea shida...

Ukimtishia mtu ni shida... ukimfumua nayo mtu ni shida...

Kila risasi utakayoitumia ina hitaji maelezo siku ya ukaguzi au ku-renew leseni...



Cc: mahondaw
 
Kuna jamaa yangu mguu wa kuku ulimwokoa mikononi mwa jambawazi!

Alilichungulia dirisha akalikunguta moja ya mguu likajidai kuanguka kumbe risaso haijalipata sawasawa,alivyotoka kuliangalia hamad akukutana nalo linamfuata huku mkononi lina kipande cha nondo linataka limchenjie.

Ndipo mguu wa kuku ukamwokoa baada ya kulikunguta nyingine kifuani, kikatoa mguno wa basi umenipata!
Hivi ukisafiri airport pale ukiwa nao si usumbufu Sana na ile ukaguzi wao?
 
Yaaani kuna kakijana kamoja kana stress kana mguu wa kuku kana kazi ya kutishia tuu mke wake huo mguu wa kuku. Yule sijui walimpaje ile bastola.

🤣🤣🤣yaan huyo ningemuibia usk nikammaliz kbs shenz san .kuna mshamba fulan amekanata vihela..akifika bar anaweka chini ya meza...anakua anaigusa gusa na mguu yaan km anawatisha kimtindo watu..hapo kazungukwa na marafiki..nikaach kukaa ile bar mie ushamba huu!
 
Ninayo na sipendi kujulikana ninayo,naibeba nikiwa nina shughuli za kibenki au safari ndefu,nikilala hotelini naiacha reception na siingii nayo baa wala kumbi za starehe kwa sababu ninazozijua mwenyewe,kila mwaka mpya lazima nifyatue risasi tatu juu kuibless.
Sheria inaruhusu kuacha bastola kwenye reception ya hotel kweli?
 
inatakiwa ukitaka kuwa na hio mguu wa bata uwe umeenda mafunzo ya kuitumia, bila hilo utasubuka tu
 
Back
Top Bottom