Kumiliki bastola ni mzigo na hasara

Kumiliki bastola ni mzigo na hasara

Asilimia kubwa ni sifa tu, hiyo mnayosema kukuongezea kujiamini au kutembea muda wowote sio lengo hasa la kumiliki chuma.... na hiyo kujiamini inawafanya wengi kutengeneza mazingira ya ‘kuchokozwa’ ili ‘wajihami’.

Nawaonea huruma hawa FFU wetu kila siku kubebelea mitutu, wengi wao hawajawahi hata kuzitumia japo kazi yao ni hiyo.... huwa natamani hata kuwachapa vibao ili japo wapige hewani kuondoa kutu.
ifanyie kazi aya ya mwisho kisha utuletee mrejesho hapa hapa
 
Mimi ya kwangu toka niinunue sijawahi piga mtu,ila nahisi huu mwaka hauishi.....
ungana na Okonkwo katika Things Fall Apart, aliitumia bunduki yake kwa mara ya kwanza kumpiga mkewe Ekwefi hali ya kuwa ni Week of peace.

ikumbukwe haikuwa imewahi kuua hata panya.

utokee uhalifu nyumbani nawe uko matembezi/safarini itakusaidiaje? pia majambazi wanatumia AK47 na sub machine guns, hizo revolvers na riffles zitafurukuta kweli?

mwisho wa siku tutakubaliana tu na mleta mada; ni mzigo. hao waliofanikisha kuwalenga maadui ni bahati tu au timing, vinginevyo maadui wanajipanga hasa wakijua unayo.
 
Hivi raia wa kawaida anaruhusiwa kumiliki hizo silaha za kivita ?
 
Huyu ni moja ya washamba ukute hata haimiliki. Nijuacho uwe nayo au uipeleke polisi
Mimi mshamba wala hujakosea,sasa wewe mjanja kawaulize hao polisi je ni kinyume na sheria kuacha moto Reception pale Sea Cliff afu ukaenda kulewa zako sinza,This is JF.
 
sina ujuzi juu ya haya mambo. lakini kwa vile wachangiaji wengi wamejitanabahisha kuwa wamiliki na wajuzi kimatumizi (kama walivyo na magari kila mwana jf) subiri hapa hapa watumwagie nondo sisi wenye kutembelea nyota za wengine.

hakika ukitafakari sana maisha ya wana jf unaweza kujidharau kwa kuiona unasindikiza maisha ya wengine.

cc: @kidukulilo
Hivi raia wa kawaida anaruhusiwa kumiliki hizo silaha za kivita ?
 
Kuna jamaa yangu mguu wa kuku ulimwokoa mikononi mwa jambawazi!

Alilichungulia dirisha akalikunguta moja ya mguu likajidai kuanguka kumbe risaso haijalipata sawasawa,alivyotoka kuliangalia hamad akukutana nalo linamfuata huku mkononi lina kipande cha nondo linataka limchenjie.

Ndipo mguu wa kuku ukamwokoa baada ya kulikunguta nyingine kifuani, likatoa mguno wa basi umenipata!
Daaaa mpaka nimetamani.
Hivi gharama za kimiliki zipoje?
 
Mimi kuna siku nmelala zangu na nilikua nimechoka kweli, nikawa naota ndoto za kuibiwa ibiwa hamadi nikajikuta nmeamka kutokana na kusikia kitu kimedondika huko nje..ikabidi nichungulie kupitia dirishani maana ni maeneo pia ambayo huwa napaki kibeby walker changu..nikaona jamaa mbavu kama sita hivi ndo wanamalizia kung'oa bumper la beby walker yangu. Ata kama ningesema nitoke nisingewaweza kupambana nao,nikaona isiwe tabu maisha ya kidigitak Nikakoki tu mguu wangu nikamlenga mmoja wao kwenye paja. Haikupita sekunde sikuona mtu aliyebaki pale zaidi ya huyo jamaa ambaye nilimlenga. Sasa nisingekuwa na mguu wa kuku ningewawezaje hao jamaa
Nimeipenda hii.Hawa viumbe siwapendi kufariki.
Mkuu ungepiga tu ya kichwa wote.
Nimeibiwa sana yani nina hasira nao sana.
Nipe gharama za kumiliki mkuu.
 
Mimi kuna siku nmelala zangu na nilikua nimechoka kweli, nikawa naota ndoto za kuibiwa ibiwa hamadi nikajikuta nmeamka kutokana na kusikia kitu kimedondika huko nje..ikabidi nichungulie kupitia dirishani maana ni maeneo pia ambayo huwa napaki kibeby walker changu..nikaona jamaa mbavu kama sita hivi ndo wanamalizia kung'oa bumper la beby walker yangu. Ata kama ningesema nitoke nisingewaweza kupambana nao,nikaona isiwe tabu maisha ya kidigitak Nikakoki tu mguu wangu nikamlenga mmoja wao kwenye paja. Haikupita sekunde sikuona mtu aliyebaki pale zaidi ya huyo jamaa ambaye nilimlenga. Sasa nisingekuwa na mguu wa kuku ningewawezaje hao jamaa
[emoji3][emoji3]
 
Asilimia kubwa ni sifa tu, hiyo mnayosema kukuongezea kujiamini au kutembea muda wowote sio lengo hasa la kumiliki chuma.... na hiyo kujiamini inawafanya wengi kutengeneza mazingira ya ‘kuchokozwa’ ili ‘wajihami’.

Nawaonea huruma hawa FFU wetu kila siku kubebelea mitutu, wengi wao hawajawahi hata kuzitumia japo kazi yao ni hiyo.... huwa natamani hata kuwachapa vibao ili japo wapige hewani kuondoa kutu.
Daaaaa unajua kuchekesha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unaiacha chuma mapokezi? Bunduki haipokelewi ndg,ipo siku yatakukuta.
Ninayo na sipendi kujulikana ninayo,naibeba nikiwa nina shughuli za kibenki au safari ndefu,nikilala hotelini naiacha reception na siingii nayo baa wala kumbi za starehe kwa sababu ninazozijua mwenyewe,kila mwaka mpya lazima nifyatue risasi tatu juu kuibless.
 
Ukiwa na bastola basi uiweke vizuri ndani mbali na watoto na usigombanegombane sana na wife usiwe mtu wa hasira usiwe na wife wa kupanic pia. lasivyo utaleta balaa ndani, nje pia ndio uliona yale ya ndugu yake Waziri Mkuu.
 
Ukiwa na bastola basi uiweke vizuri ndani mbali na watoto na usigombanegombane sana na wife usiwe mtu wa hasira usiwe na wife wa kupanic pia. lasivyo utaleta balaa ndani.
Hiv kuna mwanamke asiyepanic dunia ya Leo? Dawa ni yeye asijue unayo. Tengeneza chemba maalum asiijue nyumban kwakko
 
Kama humiliki hicho kifaaaa

acha kabisa mdomo mdomo mjini na hakikisha ndani 8pm upo sebleni

ki ufupi kama huna hicho kifaa kwa dunia ya sasa (hakikisha hutembei peke ako popote uendapo)

Tofauti na hapo basi umeshakubali kujiweka kwenye mazingira ya kuwaita wenzako Mabiilionea/matajiri,nk

ILA kama na wewe unataka usionje udongo bila kuitwa hayo majina "miliki"

otherwise watakuwahisha in just a sec si leo wala si Kesho but "they will"
 
si mke wala si mtoto wala si ndugu wala si rafiki

anaetakiwa kufahamu unamiliki hicho kifaaaa

ukiona unaishi na mwanamke na unashindwa kuweza kuweka siri

kuwa unamiliki hicho kifaaa,haupaswi kujiweka kwenye kundi la Wanaume kamili

Mwanamke wako ukiona anahitaji kumiliki, kamchukulie yake technically
 
Back
Top Bottom