wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,507
- 29,287
Aaa saaana
Acha kucheza na mguu wa bata wewe,ukiwa nao hata ujasiri unaongezeka mara dufu.
Acha kucheza na mguu wa bata wewe,ukiwa nao hata ujasiri unaongezeka mara dufu.
Ukitaka ujue zinapata wahalifu kaibe kwa mwenye nayo
Basi umenipataaaa..he heeeKuna jamaa yangu mguu wa kuku ulimwokoa mikononi mwa jambawazi!
Alilichungulia dirisha akalikunguta moja ya mguu likajidai kuanguka kumbe risaso haijalipata sawasawa,alivyotoka kuliangalia hamad akukutana nalo linamfuata huku mkononi lina kipande cha nondo linataka limchenjie.
Ndipo mguu wa kuku ukamwokoa baada ya kulikunguta nyingine kifuani, kikatoa mguno wa basi umenipata!
Ulishawahi kuitumia kumwaga ubongo..?
Naunga mkono hoja, kwa wengi ni mzigo tu... utatamani itokee sababu ya kuitumia na haitokei.
Yaaani kuna kakijana kamoja kana stress kana mguu wa kuku kana kazi ya kutishia tuu mke wake huo mguu wa kuku. Yule sijui walimpaje ile bastola.Tatizo hata ukiitumia kujihami bado kuna maelezo ya kutosha utatakiwa kuyatoa, pia hawa wanaopewa hizi salaha waongezewe mafunzo na afadhali wawe wanapewa mafunzo kila mwaka.
Wanalindia pumbu tu[emoji16][emoji16]Sema kwa siku za karibuni wengi waliokuwa wanazimiliki wamefulia na wamechoka ile mbaya.
Wamebaki nazo hawajui walindie nini.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ninayo na sipendi kujulikana ninayo,naibeba nikiwa nina shughuli za kibenki au safari ndefu,nikilala hotelini naiacha reception na siingii nayo baa wala kumbi za starehe kwa sababu ninazozijua mwenyewe,kila mwaka mpya lazima nifyatue risasi tatu juu kuibless.
Very soon nitakua nayo
Kwani unanijua au nakujua JF is the best.Sasa kama hupendi kujulikana unayo, mbona umeandika hapa? Au kwa sababu umejificha nyuma ya keyboard... ungepita kimya kimya kama hupendi kujulikana, maana hapa tumeshajua mwenye id yako ana bastola!!
... jf bhana, yaani hapa zaidi ya nusu ya wachangia huu uzi wana bastola[emoji23][emoji23]
... maajabu ngoja waulizwe taratibu za kufuata ili umiliki!
Sijui walizinunulia somalia au kule namanga!!
Utakuwa unamfahamu kwa juujuu tuYaaani kuna kakijana kamoja kana stress kana mguu wa kuku kana kazi ya kutishia tuu mke wake huo mguu wa kuku. Yule sijui walimpaje ile bastola.
Mkuu niazime nikasafishe nyota kidogo mtaani, nina mafunzo ya kuitumia na cheti ninacho kabisaNinayo na sipendi kujulikana ninayo,naibeba nikiwa nina shughuli za kibenki au safari ndefu,nikilala hotelini naiacha reception na siingii nayo baa wala kumbi za starehe kwa sababu ninazozijua mwenyewe,kila mwaka mpya lazima nifyatue risasi tatu juu kuibless.
Ningekuazima lakini ni kinyume cha sheria hata nikifa mrithi wake ni serikali siyo familia yangu.Mkuu niazime nikasafishe nyota kidogo mtaani, nina mafunzo ya kuitumia na cheti ninacho kabisa