Kumetangazwa hali ya hatari kimya kimya? Huu utoaji taarifa za Corona ni kinyume cha Sheria. Watanzania tuna Haki ya kupata habari za kweli

Inaongea sheria sio Pascal wala nani.. Soma bandiko tena hili ndo uje kukoment kwa awamu nyingne
Kwani nyie mnataka habari za Covid ili iweje?.Mmeshapata ushauri jinsi ya kujikinga na maambukizi, kutoka kwa serikali na sehemu zingine.Bado mnataka nini na ili iweje!.Hofu ni ugonjwa hatari kuliko Corona.Chapeni kazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi, kila nipatapo fursa, huwa nawaletea zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa zinachapishwa katika gazeti la Habari Leo, kila siku za Jumatano.

Ili kuepuka kuitwa popote na kuhojiwa kuwa nimesema kitu fulani, yaani statements, makala hizi huja kwa mtindo wa maswali, yaani questions nikihoji, Jumatano ya leo, nazungumzia hiki tkinachoendelea huku Tanzania Bara, katika utoaji wa update ya ugonjwa wa Corona.

Declaration of Interest
Unapoibua hoja nzito za kitaifa kama hii yenye maslahi kwa taifa, wakati taifa lako liko vitani, na limeisha tangaza vita, kama hoja hiyo itakwenda kinyume cha status quo, unaweza kuonekana ni msaliti wa vita hii, hivyo ni muhimu ku decrare interest kuwa huu sio usaliti, bali ndiko kulisaidia taifa lako. Naomba kusisitiza mimi Paskali wa JF, naunga mkono msimamo wa rais Magufuli wa kutofanya lockdown na kuzuia Watanzania tusitishane kuhusu haka ka ugonjwa Kalona, ni ka ugonjwa kadogo, ila inapofikia hali ya kutisha kwa watu kufa, kwa Corona, the situation now bado sio ile ile ya Ka Corona, sio kaugonjwa ni janga, na sio tena tusitishane, bali tuambiane ukweli kuwa Corona ni ugonjwa hatari, unatisha!, na watu wanakufa kwa rate ya kutisha!.

Je kuna uwezekano sisi hapa nchini kwetu Tanzania, tumetangaziwa Hali ya Hatari kimya kimya bila Watanzania kutangaziwa rasmi?. Nimeuliza hivi kufuatia kutokuwepo kwa update yoyote ya hali ya ugonjwa wa Corona upande wa Tanzania bara, tangu baada ya Rais Magufuli kulihutubia Taifa akitokea Ikulu ya Chato!

Hiki kinachoendelea cha kutokutolewa kwa update yoyote, kingeweza kufanyika tuu endapo taifa liko kwenye hali ya hatari ambayo inao utaratibu wake kuitangaza, na haiwezi kutangazwa kimya kimya, tena kwa sababu janga hili ni la taifa zima, hali ya hatari haiwezi kutangazwa upande mmoja tuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku upande wa bara tuu pekee yake!, huu utoaji taarifa za Corona unaoendelea huku Tanzania Bara, wa kutotoa update yoyote tangu last Friday ni kinyume cha Sheria ya Haki ya Kupata Habari, The Right to Information, kupitia sheria hiyo, Watanzania tuna haki ya kupata habari sahihi na za kweli kuhusu hali ya maambukizi ya Corona, wangapi wameambukizwa, wangapi wamepona, wangapi wamekufa, wangapi bado wako quarantine, wangapi walikuwa quarantine na wamemaliza.

Mpaka ninapoandika hapa, kwa Tanzania idadi ya waliokufa kwa Corona tangu janga hili lilipoanza kwa mujibu wa taarifa rasmi ni watu 10 tuu!. Kwa sasa tunaishi kwenye the age of information world, tuko kwenye dunia ya utandawazi, information zina flows from every corner, watu tunaona kila kitu, hadi video za mazishi ya usiku usiku, miili inetelekezwa mabarani for days!, watu wanawapoteza wapendwa wao na kutoruhusiwa kuwazika, tangu hiyo Ijumaa tuu mpaka jana, kuna visa zaidi ya 10 vimeripotiwa kwenye media tena wengine ni vigogo wakubwa kabisa, haiwezekani hadi leo Jumatano m, idadi ni ile ile ya vifo 10 toka Alhamisi iliyopita!

This is not right, kama Tanzania tuna sheria ya haki ya kupata habari, haiwezekani serikali yetu ikaendelea kukalia habari kama hizi katika mazingira kama haya, no matter how bad the situation is, Watanzania tuambiwe ukweli hata kama unauma vipi, ndio ukweli wa hali halisi ni haki yetu kujua na kuambiwa ukweli na serikali yetu.

Kwanza naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kutokana na bandiko la mwana jf huyu
Hivi kwanini wananchi tunanyimwa taarifa ya maambukizi mapya na ya wale wanaokufa kwa ugonjwa wa COVID-19? - JamiiForums na hapa ninaomba kunakili sehemu tuu ya bandiko hilo
Mkuu Mystery, naunga mkono hoja, enzi za zamani, mambo ya kutoa habari kwa upande wa serikali ilikuwa iko huru kutoa habari au kutotoa, ikijisikia kutoa habari, inatoa, ikijisikia kutotoa habari, haitoi na hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kuiuliza.

Kupata Habari ni Haki sio Favour
Lakini kuanzia mwaka 2016, Tanzania tumepitisha sheria ya haki ya kupata habari, the right to information act, ambapo sasa kupata habari ni haki, sio favors, serikali inawajibika kutoa habari za kweli kwa wananchi, hiki kinachoendelea sasa kwenye utoaji wa habari za maendeleo ya ugonjwa wa Corona, ni kinyume cha sheria. Watanzania wana haki ya kupata habari, unless rais atangaze hali ya hatari, sheria zote na haki zote zinasimama!.
Kipengele cha Haki ya kupata habari ni hiki
View attachment 1434164
Lakini pamoja na haki hii, sheria hii pia inaipa serikali mamlala ya kuzuia habari andapo sarikali itakuwa na sababu za kuzuia habari fulani isitoke,
View attachment 1434165
kigezo pekee cha serikali kuzuia habari fulani isitoke ni endapo habari hizo zitakuwa na madhara kwa public interest, jee habari za vifo. vya Corona vina madhara kwa public interest?, jee jamii ya Watanzania wakiijua idadi kamili ya watu wanaokufa daily kwa Corona, tunapanic?. Mbona nchi za wenzetu wamekuwa wakitangaza daily na kuna nchi watu walikuwa wanakufa zaidi ya 1000 per day na wanatangaza, sisi tunaogopa nini?!.

Corona ni Janga Kweli, Jee Rais Atangaze Hali ya Hatari?.
Mamlaka ya rais kutangaza hali ya hatari ni haya
View attachment 1434166
Kwa hali ya Janga la Corona lilipofika, rais Magufuli anazo sababu zote za kweli na za kihali za kutangaza hali ya hatari kwa kutumia sababu hizi zilizoainishwa kwenye Katiba
View attachment 1434167
Kwa mujibu wa katiba yetu, rais Magufuli hawezi yeye tuu kuamua kujitangazia tuu hali ya hatari, tangazo la rais kutangaza hali ya hatari lazima liridhiwe na Bunge na kupigiwa kura ya ndio na theluthi mbili za wabunge wote wa Bunge la JMT,
View attachment 1434168

Sasa kwa vile hakuna kitu chochote kama hiki kimefanyika kwa Tanzania, hii withholding updates za Corona, inafanyika kwa sheria gani na mamlaka gani?

Leo Waziri Ummie Atatangaza Update.
Kuna kitu kinaniambia kuwa leo Waziri wa Afya, atatoa update, namuomba wazi Ummy wakati akitoa hiyo update ya leo, pia awe mkweli na muwazi kuhusu idadi halisi ya vifo vya Corona bila kusahau kuifafanua hii sintofahamu iliyotokea hapa katikati ya sababu ya kigugumizi cha ukmya wa siku 5 bila eny update.

Hitimisho.
Namalizia kwa lile swali
Je kuna uwezekano sisi hapa nchini kwetu Tanzania, kuna Hali ya Hatari ya kisiri siri imetangazwa kimya kimya bila Watanzania kutangaziwa rasmi, hivyo huu ukimya wa kutotangaza update ya Corona ni utekelezaji tuu?, vinginevyo hiki kinachoendelea kwenye kutotoa update ya Corona ni kinyume cha sheria ya haki ya kupata habari.

Nawatakia Jumatano njema
Paskali.
Bwana Mayalla, Heshima kubwa kwako ila kuna wakati unanitia ukakasi kwenye hoja zako.
Ninavyoelewa miimi WHO imeweka utaratibu unaohusiana na magonjwa ambayo yanaonekan ni Pandemic.
Utaratibu huu unaanzia tangu pale ugonjwa unaporipotiwa, elimu kwa umma, tiba, wataalam wa tiba na wadau wote na wadau wote wanaohusika hadi namna ya kuzika kwa wale waliofariki na magonjwa hayo.
Sasa wasiwasi wangu kwako ni kama vile unaona serikali haiko wazi kwetu kuhusu gonjwa hili, wakati updates zinapatikana regularly[kwa nchi kama yetu kwa mazingira tuiliyonayo ni vigumu kupata daily updates[nadhani hili unalifahamu.
Hebu naomba usome kidogo hapa ingawa sijapata updated version] WHO wanapendekeza nini itokeapo majanga kama haya....
6.5 Public information: media and outbreak communication
6.5.1 Introduction Dealing with the public and media attention brought about by hosting an MG can be one of the most demanding aspects of the gathering. Effective communication addresses public concerns, educates, encourages appropriate public action, and builds trust in public health and government authorities. Should an event occur, demands in this area change rapidly. Public health crises are characterized by rapidly evolving information, high public concern, confusion, and urgent demands for information.
Successful communication can help manage these factors, and at the very least can prevent the damage that poor communication may cause. Communicable disease alert and response for mass gatherings: key considerations,
June 2008 80 During an MG-related health crisis, providing appropriate and timely public communication underpins the the success of disease control and containment operations. Good media communication aids any outbreak alert and response process. Its principal aims should be to:
• Build, maintain or restore trust
• Improve knowledge and understanding
• Guide and encourage appropriate attitudes, decisions, actions and behaviours
• Encourage collaboration and cooperation.
As a public health crisis will involve many agencies and partners, an effective communication plan must coordinate with these parties to ensure that the provision of information to the public is both rapid and consistent. As many public health incidents can be predicted (food-borne illness, weather-related illness, etc.), so can the resulting demands for information.
Much of the work necessary to prepare information and obtain clearance approvals can – and should – therefore be done
in advance during the planning stages leading up to an MG.

Effective preparation will help manage the intense and sustained communication challenges of a public health crisis that may occur during an MG. For very complex, multi-national, or otherwise challenging gatherings, communication planning should begin as soon as the site and date of the MG is decided. Some of the key considerations on media and risk communication relevant to MGs are presented in the Annexes to this document. The WHO has produced a handbook for communication planning titled Effective Media Communication during Public Health Emergencies: a WHO Handbook – this provides detailed information and planning tools for public, partner and media communications.
 
Wanabodi, kila nipatapo fursa, huwa nawaletea zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa zinachapishwa katika gazeti la Habari Leo, kila siku za Jumatano.

Ili kuepuka kuitwa popote na kuhojiwa kuwa nimesema kitu fulani, yaani statements, makala hizi huja kwa mtindo wa maswali, yaani questions nikihoji, Jumatano ya leo, nazungumzia hiki tkinachoendelea huku Tanzania Bara, katika utoaji wa update ya ugonjwa wa Corona.

Declaration of Interest
Unapoibua hoja nzito za kitaifa kama hii yenye maslahi kwa taifa, wakati taifa lako liko vitani, na limeisha tangaza vita, kama hoja hiyo itakwenda kinyume cha status quo, unaweza kuonekana ni msaliti wa vita hii, hivyo ni muhimu ku decrare interest kuwa huu sio usaliti, bali ndiko kulisaidia taifa lako. Naomba kusisitiza mimi Paskali wa JF, naunga mkono msimamo wa rais Magufuli wa kutofanya lockdown na kuzuia Watanzania tusitishane kuhusu haka ka ugonjwa Kalona, ni ka ugonjwa kadogo, ila inapofikia hali ya kutisha kwa watu kufa, kwa Corona, the situation now bado sio ile ile ya Ka Corona, sio kaugonjwa ni janga, na sio tena tusitishane, bali tuambiane ukweli kuwa Corona ni ugonjwa hatari, unatisha!, na watu wanakufa kwa rate ya kutisha!.

Je kuna uwezekano sisi hapa nchini kwetu Tanzania, tumetangaziwa Hali ya Hatari kimya kimya bila Watanzania kutangaziwa rasmi?. Nimeuliza hivi kufuatia kutokuwepo kwa update yoyote ya hali ya ugonjwa wa Corona upande wa Tanzania bara, tangu baada ya Rais Magufuli kulihutubia Taifa akitokea Ikulu ya Chato!

Hiki kinachoendelea cha kutokutolewa kwa update yoyote, kingeweza kufanyika tuu endapo taifa liko kwenye hali ya hatari ambayo inao utaratibu wake kuitangaza, na haiwezi kutangazwa kimya kimya, tena kwa sababu janga hili ni la taifa zima, hali ya hatari haiwezi kutangazwa upande mmoja tuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku upande wa bara tuu pekee yake!, huu utoaji taarifa za Corona unaoendelea huku Tanzania Bara, wa kutotoa update yoyote tangu last Friday ni kinyume cha Sheria ya Haki ya Kupata Habari, The Right to Information, kupitia sheria hiyo, Watanzania tuna haki ya kupata habari sahihi na za kweli kuhusu hali ya maambukizi ya Corona, wangapi wameambukizwa, wangapi wamepona, wangapi wamekufa, wangapi bado wako quarantine, wangapi walikuwa quarantine na wamemaliza.

Mpaka ninapoandika hapa, kwa Tanzania idadi ya waliokufa kwa Corona tangu janga hili lilipoanza kwa mujibu wa taarifa rasmi ni watu 10 tuu!. Kwa sasa tunaishi kwenye the age of information world, tuko kwenye dunia ya utandawazi, information zina flows from every corner, watu tunaona kila kitu, hadi video za mazishi ya usiku usiku, miili inetelekezwa mabarani for days!, watu wanawapoteza wapendwa wao na kutoruhusiwa kuwazika, tangu hiyo Ijumaa tuu mpaka jana, kuna visa zaidi ya 10 vimeripotiwa kwenye media tena wengine ni vigogo wakubwa kabisa, haiwezekani hadi leo Jumatano m, idadi ni ile ile ya vifo 10 toka Alhamisi iliyopita!

This is not right, kama Tanzania tuna sheria ya haki ya kupata habari, haiwezekani serikali yetu ikaendelea kukalia habari kama hizi katika mazingira kama haya, no matter how bad the situation is, Watanzania tuambiwe ukweli hata kama unauma vipi, ndio ukweli wa hali halisi ni haki yetu kujua na kuambiwa ukweli na serikali yetu.

Kwanza naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kutokana na bandiko la mwana jf huyu
Hivi kwanini wananchi tunanyimwa taarifa ya maambukizi mapya na ya wale wanaokufa kwa ugonjwa wa COVID-19? - JamiiForums na hapa ninaomba kunakili sehemu tuu ya bandiko hilo
Mkuu Mystery, naunga mkono hoja, enzi za zamani, mambo ya kutoa habari kwa upande wa serikali ilikuwa iko huru kutoa habari au kutotoa, ikijisikia kutoa habari, inatoa, ikijisikia kutotoa habari, haitoi na hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kuiuliza.

Kupata Habari ni Haki sio Favour
Lakini kuanzia mwaka 2016, Tanzania tumepitisha sheria ya haki ya kupata habari, the right to information act, ambapo sasa kupata habari ni haki, sio favors, serikali inawajibika kutoa habari za kweli kwa wananchi, hiki kinachoendelea sasa kwenye utoaji wa habari za maendeleo ya ugonjwa wa Corona, ni kinyume cha sheria. Watanzania wana haki ya kupata habari, unless rais atangaze hali ya hatari, sheria zote na haki zote zinasimama!.
Kipengele cha Haki ya kupata habari ni hiki
View attachment 1434164
Lakini pamoja na haki hii, sheria hii pia inaipa serikali mamlala ya kuzuia habari andapo sarikali itakuwa na sababu za kuzuia habari fulani isitoke,
View attachment 1434165
kigezo pekee cha serikali kuzuia habari fulani isitoke ni endapo habari hizo zitakuwa na madhara kwa public interest, jee habari za vifo. vya Corona vina madhara kwa public interest?, jee jamii ya Watanzania wakiijua idadi kamili ya watu wanaokufa daily kwa Corona, tunapanic?. Mbona nchi za wenzetu wamekuwa wakitangaza daily na kuna nchi watu walikuwa wanakufa zaidi ya 1000 per day na wanatangaza, sisi tunaogopa nini?!.

Corona ni Janga Kweli, Jee Rais Atangaze Hali ya Hatari?.
Mamlaka ya rais kutangaza hali ya hatari ni haya
View attachment 1434166
Kwa hali ya Janga la Corona lilipofika, rais Magufuli anazo sababu zote za kweli na za kihali za kutangaza hali ya hatari kwa kutumia sababu hizi zilizoainishwa kwenye Katiba
View attachment 1434167
Kwa mujibu wa katiba yetu, rais Magufuli hawezi yeye tuu kuamua kujitangazia tuu hali ya hatari, tangazo la rais kutangaza hali ya hatari lazima liridhiwe na Bunge na kupigiwa kura ya ndio na theluthi mbili za wabunge wote wa Bunge la JMT,
View attachment 1434168

Sasa kwa vile hakuna kitu chochote kama hiki kimefanyika kwa Tanzania, hii withholding updates za Corona, inafanyika kwa sheria gani na mamlaka gani?

Leo Waziri Ummie Atatangaza Update.
Kuna kitu kinaniambia kuwa leo Waziri wa Afya, atatoa update, namuomba wazi Ummy wakati akitoa hiyo update ya leo, pia awe mkweli na muwazi kuhusu idadi halisi ya vifo vya Corona bila kusahau kuifafanua hii sintofahamu iliyotokea hapa katikati ya sababu ya kigugumizi cha ukmya wa siku 5 bila eny update.

Hitimisho.
Namalizia kwa lile swali
Je kuna uwezekano sisi hapa nchini kwetu Tanzania, kuna Hali ya Hatari ya kisiri siri imetangazwa kimya kimya bila Watanzania kutangaziwa rasmi, hivyo huu ukimya wa kutotangaza update ya Corona ni utekelezaji tuu?, vinginevyo hiki kinachoendelea kwenye kutotoa update ya Corona ni kinyume cha sheria ya haki ya kupata habari.

Nawatakia Jumatano njema
Paskali.
Uzalendo ni pamoja na kuusema udhaifu katika nyanja mbalimbali, na sector ya habari bongo ni utopolo sana
 
My heart, soul,spirit and mind have outgrown fear.

I don't fear anything.

Najua watu wengi Wana hofu ndio maana am.spreading the hope.

Tatizo huu ugonjwa watu wengi wameubeba kwenye akili.

'Quicquid medulla solo solo cedit'... whatever u attach to Ur mind, it becomes a part of it.

And fear is something that was not designed to stay in the heart or mind of a human for over 40 minutes.If it exceeds this prescribed time it conquers a person and overthrow him.

Mwisho wa siku watu wengi wanakufa Kwa pressure, asthma etc.
Hajilishi una fear au hauna ukapata ugonjwa n lazma ukusulubu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzalendo ni pamoja na kuusema udhaifu katika nyanja mbalimbali, na sector ya habari bongo ni utopolo sana
Kaka Paskal kuna haja ya mjadala partial lockdown plus ulazima wa kuvaa barakoa, huna barakoa baki nyumbani na gari za manispaa zipite mtaani kuuza barakoa za buku na maelekezo mengine, vijiwe vivunjwe na bar distance ya 1mita plus barakoa na no story, story tuchat tu kwa simu hata tukiwa bar
 
Acha kuzunguka kwenye vitu rahisi hata mimi naelewa hayo, hizo takwimu unazosema watu wanataka lengo lao ni kusikia vifo ndiyo maana hata waziri akijitokeza akasema vifo ni vile vile 10 hao watapinga.

Hii inatokana na imani yao kuwa kuna hali mbaya inaendelea na maiti kibao zinazikwa usiku usiku, hili ndio lengo hasa kwenye hofu yao japo wanajificha kwenye kivuli cha takwimu.

Nauliza tena, kama kweli idadi inatisha vile hao ndugu za wanaozikwa wamezibwa midomo au wapo dunia gani.?

Zingatia kuwa hayo yasemwayo yote ni Dar es Salaam tu, wandishi wa habari ambao kutwa wapo uswahilini ndani ndani kusaka udaku wasikutane na familia hizi.?
Ndugu wa walio zikwa wanarepot kwa mange tembelea mange fb ujionee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm nahitaji statics labda yeye ndo anaogopa kusikia vifo vimeongezeka
Kwa bahati mbaya mm sio mkazi wa dar es salaam. Na sizunguki ila nakupa fact.
Takwim ya sasa inakuja na hivyo vitu viatu ndani.
Na singukii vitu rahis.. ww unashinikiza watu wanataka habari za vifo.. sio jukumu la wizara kutangaza habari za vifo.. jukumu lao ni kutoa status yote. Na mwanzoni wamefanya hivyo.
Huwezi kuwa ndani ya vichwa vya watu wote nchini eti unajua wanachokitaka? Who are you?

Binafsi mm kaka mm nahitaji statistics nzima. Sil waliokufa tu.. haya waliopona.. na walioathirika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yako haiko consistency
Kila nchi ina mbinu zake za kupigana na gonjwa hili,hata kwenye familia yako ukiwa huna hela ya chakula huwa unaitisha kikao cha familia kuwa jamaani humu ndani leo na kesho hatutakula baba yenu sina hela tuchukue taadhari ,kutangwazwa kwa wagonjwa na waliokufa haitatusaidia sana bali tutashindwa kutoka kutafuta riziki ya kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom