This time i hope watafidiwa

We jamáa bana, usitumie hisia ktk kufikiri tumia uhalisia

Wafidiwe kwa kipi ilhali wamevamia road reserve!??

Yaani ni sawa na Machinga walivovamia road reserve alafu wakitaka kuondolewa wadai fidia
 
Hahaaaaa yaan nikimwangalia SAMIA namuonea huruma tu maana hajui lolote maskini ye anajipigia tu misele hajui kuwa kuna wenzie wanamchonganisha na wanachi kwa makusudi kabisa...
Hili linasemwa sana mitaani,lakini Wabunge wapo kimya!!
 
Ukinywa valuu bila kula,halafu usiku ukashtuliwa na muungurumo wa tumbo,ndiyo unakuwa na mawenge kama hivyo
 
Unaelewa 'effect' ya Building Permit, una issue vipi building permit kwenye road reserve na unatoza kodi ya pango.

Unawapa watu uhalali wa kisheria kwa kutoa haramu (Legitimate Expectation ).
Kwani sheria inasemaje kuhusu kujenga kwenye hifadhi ya barabara? Siyo kila kitu kulalama tu, wabongo bana, hatunaga jema.
 
Back
Top Bottom