Hahahaaaaaaaa mpwaaaaa umetishaaa kabisa mpwa Jana niliamua kuonja vya nyumbani maana nikilamba vya mbali usuku wanatutumia wasiojulikana njian mpwaa ungenshtua nionje baraka za mama unazokula mwenyewe mpwa....
Hahahahahhaaaa mpehigh lifty
Mpwaa si unajuaa tena sisi wengine wa lift
Nisingeweza msimamisha mwenye gari
Maana kama lift nipewe alafu nimsimamishe
Tena asingenielewa

Ova
 
Mpwa ulikuwa unaelekea viunga vyetu NN naamini ....zetu wamesalimika maana meza za mbele walijipanga kuniumiza heart Kama wameambiwa mpwa anakuja tatizo nilikwenda na bajeti kamili hahahaaa maguu katufundisha mengi jaman ntamkumbuka kwamagud
Nilikuwa naelekea kwenye kile kiwanja kabla ya mjengo wa kkobe
Kna mtu nlikuwa naenda mtia ndimu

Ova
 
Hahaaaaa yaan nikimwangalia SAMIA namuonea huruma tu maana hajui lolote maskini ye anajipigia tu misele hajui kuwa kuna wenzie wanamchonganisha na wanachi kwa makusudi kabisa

walianza umeme, wamekuja mafuta, haya makato ya line za simu, bado hapo makato ya luku haya sasa bomoa bomoa karibu kila mkoa yeye yupo yupo tu haelewi lolote maskini mzanzibari wawatu, hazijui fitna za wabara huku yeye anaamini wapo pamoja wanaimba wimbo mmoja kumbe wenzie wana hama tune taratibu kwa ustadi mkubwa.

Yaan wananchi huku hawamwelewi kabisaa na wamesha anza kumchukia kwa sasa maana tangu ashike nchi vitu vya msingi tena vinavyo gusa wananch moja kwa moja vimeanza kupanda bei
Namwonea huruma sana MAMA, ana maadui wengi sana huko ktk system ya maamuzi. Inanikumbusha Marxist Second Laws of Dialectical Materialism, "Unity and Struggle of the Opposite". Yaani gari linatembea kwenda kulee; tairi linataka barabara iharibike gari lisimame, barabara inataka tairi lipasuke gari lisimame na injini inataka mafuta yaishe gari lisimame. Dereva anatakiwa awe makini sana. Kwanza achague njia bora ya kwenda/kupita, tairi imara na mafuta yakutosha kwenda kulee anakotaka kwenda. Asipangiwe yeye bila kujua hiyo safari, njia ya kwenda huko, nyenzo za kutumia na nishati ya kutosha kwenda kulee anakoenda.
 
hawa walishabomolewa na alama za x ziliwekwa kama walirudi ni kosa lao maana tanroads waliwawekea x toka mwaka 2017
Ok labda nikusaidie
Walipobomoa mzigooo ulitunika.120 m tukajadilii Sana HUKU mbona SHERIA aisemi hivi

Kilichofanyika Sasa
Ubungo MPAKA.kibo..walikula.30/30 kushoto/kulia

Walipotoka hapo MPAKA BAHAMA WALIKULA 45/45 SHOTO KULIA KARIBU UANGALIE HIZI TOFAUTI

TOKA BARUTI-MPAKA RESORT KUPITISHWA BUCHA HAWA NAWEZA SEMA WALIKUWA WAJUKUU.PENDWA WA MH DK JPM...HIKI KIPANDE AKIJAGUSWA KABISA ILA SASA NAHISI SABABU NYUMBA NYINGI.ZIKO ALMOST 45/45 LEFT NA RIGHT

SASA HII MPYA WAJUKUU PENDWA WANAADHIBIWA SASA TUSUBIRI SALA ZAO WALIZOFANYA LEO KWA KUHANI MUSA ......

SASA KUANZIA KMR MPAKA ......MBEZI PENDWA WEEE HUKO ZIMEENDA 120 USINIULIZE SHERIA IPI NENDA KAANGALIE KAMA KUNA MASALIA YALIOBAKI UTAONA BOMOA BOMOA YA UBUNGO-BARUTI NA BMOABMOA KMR-MBEZI VITU VIWLI TOFAUTI.......KMR MBEZI WALIADHIBIWA VILIVYO MKUU WACHA TUNYWE DOMPO ...KUONDOA MAWAZO

KAMA UKO MASAKI SI HABA TU.... UKAJAKUSABAHI ENEO KABLA KAZI AIJAENDELEEEEE( 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 rip
 
Utawala wa sheria na haki ni mzuri sana.
Mimi binafsi nampinga shetani mbaguzi aiyesema Kimara vunjeni ila Mwanza acheni.
 
Kama wapo ndani ya hifadhi ya barabara ni sawa
Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.

Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama barua inavyoonesha.

Hii yote ni kwa ajili ya kuendelezwa kwa barabara hiyo na wakala wa barabara TANROADS. Nakala ya notisi hiyo ni kama inavyoonekana hapo chini:


View attachment 1847872
 
Bora wabomoe kabisa maana wakiachiwa wakazoe wataleta taabu mbele ya safari.
kimara, mbezi mpaka kibaha ni barabara kuuu ya kimataifa, ni lango kuu la JiJi la DSM, ni taswira ya JiJi la DSM.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom