Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
1. Dawa za Kulevya - Biashara imerudi kwa kasi sana. Mimi naishi Kinondoni, naona vijana ambao wameamua kwa dhati kabisa kujiendeleza kiuchumi kupitia biashara hii. Si kwa kificho, mkitaka niwape mbinu za kuwakamata nitawapa. Hawa wanasafirisha sehemu mbalimbali.
2. Ufisadi - Upo wazi, tunaona miradi bubu ya wazalendo na miradi bubu ya wawekezaji. Upigaji na sintofahamu ya mabehewa ya train ya SGR. Anuani za makazi na kuzunguka nchi kwa helcopter, matatizo ya umeme na uuzaji majenereta mengi yaliyoingizwa nchini, safari zisizo na tija n.k.
3. Imepelekea kuanzishwa vituo vingi vya mafuta ya gari ambavyo vinatumika kutakatisha pesa hizo haramu na pia kusababisha bei ya mafuta ya gari kupanda kwa kuongezewa kodi na tozo lukuki tofauti na soko la ukweli.
Tunakoelekea ni kubaya zaidi.