fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 6,030
- 6,381
Wuzungu ,waarabu wote washenzi tu,ingawa wazungu kidogo wana utu ila warabu ni makatili na washezi zaidi ndio maana unaona ulaya na marekani kuna mabalck wengi sana mpaka wengine wanapata vyeo serikali ila ni ngumu kukuta mweusi saudia arabia .jamaa walikua wanawaua na wanawaasi,wakizalisha mwanamke mtumwa wanaua mtoto ili kizazi cheusi kisisambae urarabuni,hii ni mpaka leo dadazetu huo uarabuni wanafanyiwa ukatili kila sikuwazungu wanawaafasi wengi sana ukitaka kuamini watakao changia ni wachache sana ukitaka wachangiaji wawe wengi weka habari za waarabu au watawala wetu uone matusi