Kumbukizi: Ushenzi wa wazungu

Kumbukizi: Ushenzi wa wazungu

Hawa jamaa inabidi tuwafungulie kesi Mana walitufanyia uvamizi Kuna miga ama lisu anasemaje jamani.
Watu waliokuwa na pia Mali walizotuibia. Tudai haki yetu Ila tumelala Kuna un ipo itatutetea
Ndio kuna mijitu mingine inasema karma is a bitch. Hakuna karma wala bibi yake karma kwa mateso yote yale ambayo babu zetu walitendewa ndio kwanza wazungu wanazidi kuneemeka
 
Ndio kuna mijitu mingine inasema karma is a bitch. Hakuna karma wala bibi yake karma kwa mateso yote yale ambayo babu zetu walitendewa ndio kwanza wazungu wanazidi kuneemeka
Cops%20abusing%20and%20posing%20with%20a%20black%20man%20who%20was%20p.jpg
 
Tumetoka mbali sana,kwenye shida na taabu ila sasa tunaelekea kwenye dhiki pia maana tumeshikwa fahamu zetu na kuaminishwa kuwa sisi ni wa chini. Tunatumika pasipo kujijua na hata tukijua wachache wanafanya maamuzi ya kutuumiza tulio wengi. Tunakila sababu ya kukataa mambo yao ya kifedhuli kwa kadri tuwezavyo
 
Afu kuna mang’ombe wanawatusi waarabu tu kumbe kuna majuha walikuwa makatili kuliko hao waarabu…

Just imagine na mashuleni hatuonyeshwi haya….!!

Hawa ambao wanawanyea midomoni dada zenu ktk hii karne ya 21, ni washenzi tu
 
Tumetoka mbali sana,kwenye shida na taabu ila sasa tunaelekea kwenye dhiki pia maana tumeshikwa fahamu zetu na kuaminishwa kuwa sisi ni wa chini. Tunatumika pasipo kujijua na hata tukijua wachache wanafanya maamuzi ya kutuumiza tulio wengi. Tunakila sababu ya kukataa mambo yao ya kifedhuli kwa kadri tuwezavyo
Tunakila sababu ya kukataa mambo yao ya kifedhuli kwa kadri tuwezavyo[emoji848]

Ni ngumu kwakuwa viongozi wetu kutwa kucha hawakauki huko kwao wakihemea
 
Miaka 78 iliyopita leo, tarehe 1 Desemba 1944, mamia ya wanajeshi wa Kiafrika waliosaidia kuwashinda Wanazi waliuawa kwa kupigwa risasi na jeshi la Ufaransa kwa sababu waliomba mshahara wao.View attachment 2434351View attachment 2434352
wazungu wanawaafasi wengi sana ukitaka kuamini watakao changia ni wachache sana ukitaka wachangiaji wawe wengi weka habari za waarabu au watawala wetu uone matusi
 
Hawa jamaa inabidi tuwafungulie kesi Mana walitufanyia uvamizi Kuna miga ama lisu anasemaje jamani.
Watu waliokuwa na pia Mali walizotuibia. Tudai haki yetu Ila tumelala Kuna un ipo itatutetea
mahakama gani hiyo ya kuwahukumu wazungu
 
Back
Top Bottom