Kumbukizi: Ushenzi wa wazungu

Kumbukizi: Ushenzi wa wazungu

_%20(38).jpg
 
Usisahau pia kuandika ushenzi wa Waafrika dhidi ya Waafrika wenzao kama yale mauaji ya polisi ya wachimbaji madini 34 kule Marikana, Afrika Kusini mwaka 2012 walipokuwa wamegoma kudai nyongeza ya ujira wao.
 
Ndio kuna mijitu mingine inasema karma is a bitch. Hakuna karma wala bibi yake karma kwa mateso yote yale ambayo babu zetu walitendewa ndio kwanza wazungu wanazidi kuneemeka
KARMA iko na inafanya kazi kama jana leo na kesho.

Tatizo la Africa ili tuweze kuchukua nafasi yetu tunayostahili ni:

1.Umoja.
Ni Lazima Africa tu define Value zetu na kujenga UMOJA ambao utatetewa kwa nguvu kubwa.

Africa as a single standing ONE FAMILY.

2.HAKI:Karma inateremka kutekeleza HAKI.

HAKI HUDAIWA.

LAZIMA PAWEPO NA COLLECTIVE MIND YA AFRICANISM ITAKAYOTUPWA HUKO HEWANI KUDAI HAKI KUTOKA KWA WEUPE..

Nasema collective mind kwa Sababu hata iyo haki ikija na pakakosekana maandalizi ya mapokeo then tayari ni kazi bure!

3.Kukataa neno MSAADA KUTOKA KWA WEUPE...!

TUTAFUTE HAKI KABLA YA KUKUBALI KWAMBA tunachopokea kweli ni MSAADA au la!

Gaddafi alikuwa ndo jibu sahihi la kufanya transformation yote hiyo....

Wakatuwahi...!!
 
Hawa jamaa inabidi tuwafungulie kesi Mana walitufanyia uvamizi Kuna miga ama lisu anasemaje jamani.
Watu waliokuwa na pia Mali walizotuibia. Tudai haki yetu Ila tumelala Kuna un ipo itatutetea
WASHAKUFA WOTE
 
Back
Top Bottom