Kumbukizi: Ushenzi wa wazungu

Kumbukizi: Ushenzi wa wazungu

Juzi juzi nilisikiliza story ya George Stinney, mtoto wa miaka 14 mwenye asili y Afrika aliehukumiwa Kifo kimakosa, aisee yalinitoka machozi.
[emoji24]
Ile story inaumiza kuliko maelezo
 
Wafaransa na wabelgiji ni makatili balaa. Wajerumani nao waliwaua waherero karibu wote huko Namibia. Lengo lilikuwa kuteketeza kabila zima la waherero. Halafu hao hao mabeberu ndo wanatuambia Karma is a bitch huku wao wakizidi kutusua kimaisha licha ya kufanya uovu mwingi sana.
 
Wazungu walitutesa sana black people,nadhani huu ni wakati wetu kuwagonga sana mashoga wa kizungu
 
Chuki roho mbaya kuwauza wenzetu ndiyo kimefanya wazungu wapate nguvu ya kututawala tofauti na hapo wasingetuweza

Tungekuwa na akili tungewateka tungewapora silaha na tungewatumia kama watumwa kutusaidia katika teknolojia kwa kuwa wametuzidi
Hii ndio ilikuwa solution na utumwa usingetokea kamwe, tungekamata wote maana walikuwa wachache an hawakuwa na uwezo wakutuma askari haraka kama sasa, tungewalazimisha kutengeneza hizo bunduki walizokuja nazo na teknolojia zao zote, lakini machifu wetu na tamaa zao ndio walikuwa wa kwanza kuuza watu wao, leo mchina kaona isiwe tabu kawaibia teknoloji yao yote na kuitumia kwenda mbele na sasa anaelekea kuwazidi , itabidi tutumie blueprint ya wachina ili twende mbele la sivyo tutakuwa kama babu zetu waliouza watu wao
 
f998eee4de13625bfb29078b058c0b31.jpg
 
Back
Top Bottom