Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Mfano msafara watu 100 x 120,000 x 45 =540,000,000 nje na mafuta, entertainment n.k, hatari sana. Najaribu kuwaza sina uhakika ni mfano.
Angeweza kununua vifaa vya kuwakinga wahudumu wa afya, akaamua kuwa mbinafsi na Kujifukiza
 
Prof. Frank Snowden wa Yale University akitoa muhadhara juu ya historia ya magonjwa hatari na afya ya umma ( Public health) ktk historia ya dunia na madhara yake kwa jamii, uchumi na imani za watu. Je watu wenye mamlaka kama wanasiasa, askari wa usalama , viongozi kama Askofu Gwajima n.k wanachofanya kipindi hiki kina tofauti na mwaka 1600 au ni marudio ya historia katika zama mpya ....


Over the course of its three pandemics, the plague had major economic, religious, cultural and political implications for affected societies. In its wake, religious beliefs and medical practices were questioned, public authorities tested, and the social fabric strained. 00:00 - Chapter 1. Bubonic Plague 14:03 - Chapter 2. Three Western Pandemics 23:39 - Chapter 3. Etiology 34:10 - Chapter 4. Symptomatology and Pathology
Source : YALEcourses
 
Naona Bavicha hili lishakuwa jukwaa lao la kupunguzia jazba na stress za mwenyekiti Mbowe ! Kazi kutukana watu na kuhoji mambo ya ajabu ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hoja zinazoletwa humu kuhusu wanachoona wananchi na maswali ni ya msingi kabisa katika zama hii ya gonjwa hatari. Ni bora umma uelezwe mbinu za kujikinga na mikakati ya serikali ktk kupambana na tishio la gonjwa hili.
 
Chapeni kazi
2314578_FB_IMG_1582049836707.jpeg
 
Maana ya siku hizi takribani 40 katika historia ya binadamu. Katika vitabu vingi kuna siri kubwa kuhusu siku hizi 40... Na kwanini masuala makubwa ikiwemo hizi siku 45 zinaangaziwa kwa kina hapa, kwako Mackanackyyy over



Genesis Noah siku 40
Moses siku 40 jangwani
Goliath na David
Majasusi ndani ya siku 40
Siku 45 Chato
 
Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?

Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.

Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.

Sent using Jamii Forums mobile app

Angalau umeona hatari ya gonjwa, lakini serikali ya CCM Mpya na wanaLumumba hawajasema sababu ya Mh. Rais kuamua kujichimbia kwa siku zaidi ya 40 kijijini. Siku serikali ikisema rasmi sababu ya Rais kuhamia kijijini kwake itakuwa vyema.
 
Hii hasira kali dhidi ya Rais kwa kutokuwepo Dodoma imeanza kunipa wasi wasi!! Yawezekana hawa watu walikuwa na mpango wa hatari dhidi ya Rais, na walipoona njama zao zimegonga mwamba ndio sasa wanalalamika kwa nini asiwepp Dodoma!! Walitaka awepo Dodoma ili wamfanyeje? Ni vizuri wakachunguzwa!
 
Je kuelekea Chato kulipangwa kimkakati sana kwa kuondoka Dar kwenda Dodoma na baada ya siku 4 kuelekea Chato kama kumbukizi hizi zinavyoonekana ktk online footprint kuelekea Chato

March 24, 2020
Dodoma, Tanzania
Tazama : Rais Magufuli alivyoenda 'kuinjoy' kwenye mawe





March 28, 2020
Chato, Geita
Cheki msafara wa Rais Magufuli ulivyoingia Chato
 
angekuwa ikulu mgefaidika nini ambacho sasa hamfaidiki nyie mamburura!
Anyways endeleeni na hiyo issue maana msipoongelea hilo Makonda atawatafutia topic nyingine.
Clueless arsehead, sasa kama hataki kukaa Ikulu Urais aliutafuta wa kazi gani?
 
Huu uzushi wa ufipa mwisho October

Sacos ya Mbowe mjipange kuishi Bila ruzuku
Ikiwa mwisho October wewe nusu Mbwa nusu Mtu unapata faida gani, nawaonea huruma wazazi wako wamepoteza nguvu bure kuzaa haramu
 
FYI rais yupo kazini 24/7. Baada ya kumaliza kazi ya mwaka mzima kata kabla ya kikao cha budget imemlazimu kupumnzika na kupanga mkakati wa 2020/21 maana kazi aliyofanya si haba. Anasubiri Bunge liishe aanze kufanya kazi ambayo inategemewa na Watanzania kusafisha waporaji na kuwawezesha Watanzania. Good work and continue to show every Tanzanian how is done.
 
Back
Top Bottom