Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Maafisa wa polisi wakiwa wamejipumzisha nje ya kituo cha kupigia kura Jijini Dar ( 775 X 1080 ).jpg
chapa kazi
 
Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?

Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.

Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana nyingine hakuna haja ya kuwa na Ikulu. Mahakimu hakuna haja ya kwenda Mahakamani kwani wao pia wanaweza kitekeleza majukumu yao nje ya Mahakama. Akili zenu mmaziweza wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bavicha mna kazi kweli kweli!

Jana nilimuona Mbowe akiongoza kikao cha kamati kuu kutokea sebuleni kwake sikushangaa!
Kumbe na wewe ni wa "Lumumba"! Mbowe yuko self lockdown, after 14 days atarudi public. sasa huyu siku 45? Mwoga halafu eti ni commander in cheif. Huyu Mwoga in Chief
 
Kwa maana nyingine hakuna haja ya kuwa na Ikulu. Mahakimu hakuna haja ya kwenda Mahakamani kwani wao pia wanaweza kitekeleza majukumu yao nje ya Mahakama. Akili zenu mmaziweza wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yenu hamjiongezi kuwa dunia inapitia kipindi gani, mbona akina Mbowe wamekimbia majukumu bungeni na kwenda majumbani kwao? Akili fupi Sana bavicha!
 
Dunia nzima Trump yupo ikulu, Borris yupo ofisini, Edga lungu yupo ikulu, Kenyata yupo ikulu, museven, maphorisa, wote wnapiga kazi ikulu ila ukitaka kujua mtu muoga njoo tz

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani Pombe ni rais wa ikulu?
Kazi zake zimesimama akiwa Chato( home sweet home)?
Ikiwezekana hiyo ikulu ihamie huko huko Chato tupunguze msongamano mjini.
Wanasemaga urais ni taasisi, possibly anaongoza kitaasisi zaidi.
Inawezekana wasaidizi wake kwenye taaisisi ya urais wanajuwa why yuko Chato muda mrefu kuliko kawaida ila nasi tuendelee na ramli zetu maana Uhuru wa kuongea tunao .

Tujikinge na corona, IPO miongoni mwetu.

https://jamii.app/JFUserGuide you covid19 for putting me ndani kama mwali siku zote hizi.
 
Kasema ugonjwa upo chukueni taadhari kama wataalamu wanavyoelekeza, kakosea wapi, Naye ni mwanadamu tena kiongozi wa nchi anachukua taadhari zote, tuache masihara na kifo. Anawadha sana juu ya watanzania na hili janga kuliko mnavyoleta utani, sio lazima kukopi mbinu za mwingine ambazo hazijaonyesha matokeo makubwa, tumpe sapoti , tumwamini tushirikiane nae kwa ushauri usio na fedhuri
 
Acha nongwa, amejipiga karantini kwao Chato nawe jikarantini, huoni wabunge wametoka bungeni kuunga mkono azimio?
Ulitaka umuone mloganzila au ilala anawavisha barakoa wagonjwa.






QUOTE="Sky Eclat, post: 35312961, member: 106478"]
Wewe ni wa kupuuzwa kama wapuuzi wengine wa Lumumba
[/QUOTE]
nawr
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom