Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Kiongozi muoga. Empty vessels make the most noise. Leo ndo nimeamini huu msemo. Kule kukaripia viongozi wa chini yake,kuwatukana pumbavu.
Yeye leo Coronavirus imemsepesha.
Heko mama Samia na Majaliwa nyie ndo Askari imara.
 
Dunia nzima Trump yupo ikulu, Borris yupo ofisini, Edga lungu yupo ikulu, Kenyata yupo ikulu, museven, maphorisa, wote wnapiga kazi ikulu ila ukitaka kujua mtu muoga njoo tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaacha kujadili issues za maana tunajadili Rais hayupo ikulu?
Upinzani umekosa hoja za msingi na CCM wameshajua udhaifu huo wataendelea kututengenezea vya kujadili.
Juzi MAKONDA katutengenezea hoja akina Lissu na Zitto nao wamekuwa mazuzu - wako busy kujibizana naye.
Hivi UPINZANI huu tuseme aliyekuwaga makini ni Dr Slaa tu?
 
Covid 19 si mchezo..haichagui..

Mkutano wake wa kwanza na vyombo vya usalama wengi tuligundua kitu..

Kikohozi chake kabla hajaletewa glass ya maji..

Kikohozi wakati anaapishwa Waziri wa Katiba..

Mbio za kwenda Madagascar kuchukua juice.. Ni kwa ajili ya chattle sababu anaona aibu kuweka wazi..

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.. Covid 19 si ugonjwa wa aibu..Sema tu ukweli.
 
Kiusalama hii imekaaje kwa Amri Jeshi Mkuu wetu, maana IKULU inakuwa imejengwa kwa kuzingatia haya mambo ya ulinzi na usalama. Kule chato si ni nyumba tu ya kawaida ya binafsi.!!

Kama mnavyojua Rais ni taasisi sasa hao wasaidizi wake, walinzi nk inakuwaje wanavyoishi pale home.
 
Kiusalama hii imekaaje kwa Amri Jeshi Mkuu wetu, maana IKULU inakuwa imejengwa kwa kuzingatia haya mambo ya ulinzi na usalama. Kule chato si ni nyumba tu ya kawaida ya binafsi.!!

Kama mnavyojua Rais ni taasisi sasa hao wasaidizi wake, walinzi nk inakuwaje wanavyoishi pale home.
Watakuwa wanaishi kwenye mahema nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili tukio la mkuu wa nchi kukimbizwa kwenda kijijini ni kutangaza kuwa kuna gonjwa la hatari sana.

Tukio la kukimbia toka mjini kutokana na gonjwa ni marudio katika historia ya binadamu katika harakati ya kujiokoa.

Katika muhadhara wa public health katika chuo Kikuu maarufu cha Yale, Prof. Snowden anasimulia.

Hivyo tulioachwa mijini tukio hili tusilichukulie kwa urahisi bali ni ujumbe tosha tuchukue tahadhari kwani mkuu wa nchi ameshauriwa ahame kwa muda toka Dar es Salaam na Dodoma ktk mawe kwani kuna hatari kubwa ya gonjwa hili hatari.

00:00 - Chapter 1. Responses to the Plague and Miasmatism 09:05 - Chapter 2. Individual Measures of Self-Protection and Scape-Goating 18:52 - Chapter 3. Religiosity 25:51 - Chapter 4. Organized Public Health Measures 37:25 - Chapter 5. Did the Public Health Measures Succeed?
Source: Yalecourses
 
Back
Top Bottom