Kumbe wengi wenu ni memba wa fb...!!!

mimi nina account mbili fb. moja ni yakinyumbani nyingine ya club na vijiweni mademu na kila uchafu. moja ya 2008 nyingine 2010. na zote zipo active. sasa wasemaje? una neno lingine? kwani ukiwa fb unapungukiwa nini? mbona hata marais wenu (kikwete na Slaa) wapo facebook? acha upumbavu wako. mnajifanya mpo juu kumbe wizi mtupu.
 
niliwah kuwa member 2008 wkt namalizia my final chuo nkafiwa na mzaz nikaandika jaman nimefiwa na mzaz wng na npo kwenye paper mijitu si ika like tena wakutosha, pale pale nkajitoa!

Pil cjaona tatzo weng wao wakiwa fb wakijaribu huku wananogewa na kuacha unafik wa fb.
 
Habari ndugu wana jf,
kweli humu ndani wanafki wengi..!!watu munadisi fb na kueleza kwamba hamuna akaunti za fb kumbe unafiki mtupu!!
Memba kibao walikuwa fb kwa mfano rejao,ms,ff,nitonye,invisible,mmk,ngabu na wangne wengi tu.
Hebu tupe link ya account ya FB ya memba yeyote kati ya hao uliowataja!
 
Habari ndugu wana jf,
kweli humu ndani wanafki wengi..!!watu munadisi fb na kueleza kwamba hamuna akaunti za fb kumbe unafiki mtupu!!
Memba kibao walikuwa fb kwa mfano rejao,ms,ff,nitonye,invisible,mmk,ngabu na wangne wengi tu.

Me si mnafiki,nishawahi post sredi humu kuulizia near tandale inakuwaje,nika declare kwamba nina acc fb,kuna watu wakanibeza lkn nikawaambia kwamba kupost humu ni sawa tu coz asilimia 99.99% members wa jf wana fb accounts!
 
Nani anataka nimpe username ya LIZZY, kule fb huwa nina interact nae sana tu
 
Habari ndugu wana jf,
kweli humu ndani wanafki wengi..!!watu munadisi fb na kueleza kwamba hamuna akaunti za fb kumbe unafiki mtupu!!
Memba kibao walikuwa fb kwa mfano rejao,ms,ff,nitonye,invisible,mmk,ngabu na wangne wengi tu.

Kwenye twitter je..

Hukuwaona....?
 
Me si mnafiki,nishawahi post sredi humu kuulizia near tandale inakuwaje,nika declare kwamba nina acc fb,kuna watu wakanibeza lkn nikawaambia kwamba kupost humu ni sawa tu coz asilimia 99.99% members wa jf wana fb accounts!

Ama sijaelewa hii thread vizuri labda...

Hivi utajuaje mpishi alikosea kwa kuweka chumvi nyingi kwenye chakula kabla hujakila?

Kuwa na acc Fb ni swala moja,na kuifahamu inavyotumiwa na members wake, ni swala jingine tofauti na kuwa na acc..
 
Acha kufananisha watu mimi umeniona saa ngapi? Kwanza huko mimi sijawahi kwenda
 
oi Me Nilishakuwemo jf ya fb nikala ban hivi kuna tatizo la member wa jf kuwa member wa fb? mr mzumbe si uliacha Pombe wewe eeh!

Pombe!!hyo ni HARAMU.
Kuwa fb si shida,bali wadau wengi wanadis,kumbe wanashinda fb ku-tag picture
 
Kwani wewe hujaendaga mashindano ya ulimbwende kusaka mr and mrs udsm? Tatizo lako ukiwa chuo ulikuwa unazurura tu na cookie na magari yenu!
Tehe tehe tehe! Mr. na ulimbwende??.. Mke mwenza wewe bana! Unaringa vile mumeo ni PAW...
 
Back
Top Bottom