gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 293
Wengi wapo fb kwsbb wanaandika ***** wao!!
Kesho nitakuja na username za fb=ofisini jf
kama hukuingia twitter kuwatafuta,huna haki ya kusema wengi wako Fb... Sema huko hujafanya uchunguzi wako..
Wengi wapo fb kwsbb wanaandika ***** wao!!
Kesho nitakuja na username za fb=ofisini jf
Kwa hyo unataka nitaje username yako??sema suuu..!
Tehe tehe tehe! Mr. na ulimbwende??.. Mke mwenza wewe bana! Unaringa vile mumeo ni PAW...
Honey naomba uachane naye huyu atatuletea matatizo Paw alishapeleka mahali kwao. Njoo upumzike kifuani hny
Owk owk!Kwani a/c yako hauitambui mpaka unipe shida mtoto wa mwanaume mwenzio.!!lol..
Hivi ilikuwaje ukawa Mr Mzumbe? Ulishiriki mashindano ya ulimbwende?
Kumbe unataka jibu!!kwani dingi wako ameaacha??manake yeye ni mwanzilishi...
Foolish boyz.
Afu na wewe nimeona mwandiko kama wako fb!
Khaaaaa!mbona mie sijawahi kuwa memba!
ndio yeye huyo!eti nae waziri wa jmt
Habari ndugu wana jf,
kweli humu ndani wanafki wengi..!!watu munadisi fb na kueleza kwamba hamuna akaunti za fb kumbe unafiki mtupu!!
Memba kibao walikuwa fb kwa mfano rejao,ms,ff,nitonye,invisible,mmk,ngabu na wangne wengi tu.
Aisee!Nitonye naomba tuheshimiane!!!hooo...!!kwa taarifu huyo honey wako namjua very well, anachuna huyo.Kwa jinsi ninavyokujua wewe,utaishia kushika pembe!!wanaume wa shoka taratibu wanakamua maziwa.
niliwah kuwa member 2008 wkt namalizia my final chuo nkafiwa na mzaz nikaandika jaman nimefiwa na mzaz wng na npo kwenye paper mijitu si ika like tena wakutosha, pale pale nkajitoa!
Pil cjaona tatzo weng wao wakiwa fb wakijaribu huku wananogewa na kuacha unafik wa fb.
[h=6]Barrack Obama