toka ulvyosema utarudsha mpaka sa hv sjaona hata shiling mojaNitazirudisha ujue!! Unaleta jeuri eeh!!
wewe leo si uko kwenye maombi safar uliikataa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hivi huko site mbona hunipeleki? Nishaanza kustuka.
nlikua napita tu nkakuona unataka liftUnakwenda wapi na honda lako?
Haya ngoja nitulie zangu....Ushapata kamchepuko nini!!
ha ha ha kwan jana ulizifata naona ushenda mpaka kwa wakala kuzitoa kabisaYaani ndio unazidi kuniudhi, njoo uchukue hela zako.