eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
isa bin mariam na yesu ni watu wawili tofauti
abubakar we ni **** kweli isa bin mariam ni watu wawili tofauti wakati ni yesu huyohuyo
kila nchi na utaratibu wake! Wewe unajua ukristo na uislamu tu! Umewahi sikia wachina na wahindi kulalamika kuhusu sikukuu zao kutokwepo kwenye kalenda ya nchi yetu?
Kwani siwanamwamini issa bin mariam, sasa kwanini wasisherekee kuzaliwa kwake, hebu wakumbushe quran
Siku nyingine kabla ya kuandika mada au kulaumu kitu jaribu kujitafakari kwanza,
Hivi unafikiri kila nchi Duniani wanafuata utaratibu wa Sikukuu zote kama ilivyo Bongo?
Nafikiri nia yako kubwa ya kuanzisha hii thread ilikuwa ni kujitangaza kuwa na wewe upo Turkey kikazi.
nimesikitika kuona baadhi ya nchi wanaendekeza udini kupita maelezo. nipo uturuki kwa mda kama mwezi kikazi. nimeshangaa kuona leo dunia inaadhimisha sikuku ya kuzaliwa yesu lakini kwa hii nchi tofauti kidogo. watu wameenda kazini, vyuoni, shule na shughuli zote za maendeleo zinaendelea kama kawaida. nimemuuliza dogo mmoja ananiambia ndo ilivo kwa kawaida hakuna mapumziko ya chrismas wala pasaka. mapumziko ni siku za eid tu. nimesikitika kwa kweli nimekumbuka tanzania yangu. sikutegemea kama udini upo juu kiasi hiki kwa nchi kama uturuki!!!