Kumbe show ya Mr. Right ni uongo

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,891
Mr right ni show inaonyeshwa startimes na wasichana wanachaguliwa na wanaume single ili waolewe.

Ila baada ya yote Kuna huyu mmaza alikuwa huko majuzi hapa anahojiwa anadai yupo single na majuzi hapa alipata mchumba hapo Mr right na alidai wanaoana Sasa inakuwaje ni single tena naalikuwa anaolewa? Na mme akakiri kuwa anamuoa baby nai?
 
usije ukaamin kitu pale kuna manz mmoja rafik sio kivile siku hiyo namuona et nae amepata mchumba nilicheka san siku nakutana nae kwenye panton usiku nikaanza kumbana kuhusu kumuona kule nikamchapa maswal "kuwa hutongozw mpk unaamua kutafuta mwanaume" alinijib pale kila kitu ni drama hakuna cha kwel hata punje.

toka siku hiyo vipind km vile naona km vya kifala tu
 
Ile show ni ya kweli ila sasa wanaoenda kutafuta na kutafutwa ndio sio wakweli. Wanaenda ili waonekane kwenye TV.

Hata hivo, hata watu wakipatana kweli baada ya show asilimi za kuachana ni nyingi sana. Kwa sababu mwanaume ndio anajinadi sifa zake.za.mwanamke hakuna zaidi ya mwonekano tu. Unategemea nini?
 
KUPATA MWENZA KWA NJIA YA MTANDAO, REDIO, TV AU INTERNET. NI NJIA YA HATARI BORA HATA YA CORONA.

HUYU ALIPATA MWANAUME, NA WALITEMBELEA REDIO KADHAA, KILICHOFUATIA!?
WALIACHANA HATA KABLA YA KUOANA 😂
 

Attachments

  • InShot_20210923_142631757.jpg
    InShot_20210923_142631757.jpg
    78.1 KB · Views: 29
Hapo ni kama badoo au tinder ya live, hapo unaenda kumdaka manzi unamnyandua then unapita hivi....kama unavyojua binadamu wanaweza endelea kua washikaji tu au ukimaliza kupiga unaingia mitini...Mimi mwenyewe nataka niombe naafasi ya kutafuta mke kwenye hiyo shoo nikishampata ni kunyanduana na kupita hivi, hakuna ndoa inayopatikana vile
 
Ile show ni ya kweli ila sasa wanaoenda kutafuta na kutafutwa ndio sio wakweli. Wanaenda ili waonekane kwenye TV.

Hata hivo, hata watu wakipatana kweli baada ya show asilimi za kuachana ni nyingi sana. Kwa sababu mwanaume ndio anajinadi sifa zake.za.mwanamke hakuna zaidi ya mwonekano tu. Unategemea nini?
Hapa umeongea kitu ambacho hata mimi naamini, kipindi kipo kutafuta mchumba ila wanaoenda ndo wanaleta drama and btw kipindi kipo very entertaining so unachek tu km una time mbona mieleka tunachek na iko scripted
 
Watu saivi wanauzwa kisomi sio mpka aonekane kasino,club na kwengine sasa yule bi dada alikua anatafuta mme kuanzia miaka 20_70 iliishaje maana mwenderezo cjaona😂😂😂😂campas classic 🧭
 
Back
Top Bottom