Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

Sababu ya kihistoria na utunzwaji wake ni baibo iliyotumiwa na H.I.M Kutoka kwa babu yake king solomon..

Wewe hii baibo yako ya kisasa unajuaje km ni og?
Mimi naangalia kilichoandikwa maana ndicho kitiacho uzima. Hata aliyeandika sina shida ya kumjua!
 
Sababu ya kihistoria na utunzwaji wake ni baibo iliyotumiwa na H.I.M Kutoka kwa babu yake king solomon..

Wewe hii baibo yako ya kisasa unajuaje km ni og?
Mzee unaongea vitu usivyovijua au ni story umeisikia kijiweni na wewe umeibeba kama ilivyo

Biblia ya Ethiopia ni ya juzi tu hapa ,ni ya michoro ,Ina vitabu hivi hivi tulivyo navyo kwenye biblia ya hapa hapa TZ ,

Biblia Yao Ina vitabu 85 ,hivo vingine ni vile vya historia,ndio wameviweka humo

Halafu Biblia haikuanzia Ethiopi iliandikwa Mashariki ya Kati kwa Kiebrania, Kiaramu na Kigiriki, halafu baadaye ndiyo ikatafsiriwa kwenye lugha mbalimbali ikiwemo Ge’ez ya Ethiopia.

Kwa hiyo Ethiopia walihifadhi tafsiri yao, si chanzo cha kwanza cha maandiko.

Kuwa na vitabu vingi zaidi haimaanishi ndiyo ya asili; inaonyesha tu kanuni yao ya vitabu (canon) ni pana kuliko ya makanisa mengine.

Hata Kanisa Katoliki na Orthodox ya Mashariki yana orodha tofauti kidogo.

Pia hakuna ushahidi wa kihistoria unaoonyesha Biblia ya Ethiopia ilitoka moja kwa moja kwa Mfalme Sulemani.

Maandiko yote ya Biblia ya Ethiopia, Katoliki au Protestant yanategemea nakala za kale za maandishi yale yale ya awali.

Biblia ya Ethiopia ina karibu vitabu vyote vilivyomo kwenye Biblia ya sasa.
Tofauti ni kwamba wao wameongeza vitabu vingine kama Henoko, Yubilei n.k.

Halafu hiyo biblia mbona ipo ,
 
Kwa muktdha huo wewe sio binadamu wa kawaida kitu ambacho umeshindwa kuniconvice, binadamu Mimi na wewe hatuna tofauti Kama Mimi naamini it means na wewe unahizo feeling because your human lakin si lazima ziwe directly Kwenye the samething na ninachoamini.
That's why huamini Kwenye kuamini..

Lakini unahitaji kujua Kwa ushahidi na uthibitsho which means hivyo vitu vikipatikana na kuthibitika utavunja kanuni Yako ya kuamini kwasababu utakua umejua.

Mimi nimewahi kuota ndoto niko ikulu ya marekani naongea na Trump na tunaelewana kabisa na nikaja nikakupa muonekano wa ikulu ya marekani exactly Kama ilivyo lakini Kama wewe uliwahi kufika utakubali kwakua umewahi kufika marekani ikulu lakini Mimi nikikwambia sijawahi ata kukanyaga marekani huwezi kunielewa. Kwahio lazima uelewe Kuna level ya Elimu ambayo huna ambayo inayokufanya kuwa katka situation uliyonayo, hivyo wew kupinga Kwako ni kwasababu ya levo ya Elimu ulonayo kuhusu maarifa ya uungu.

Zamani nilipokua mdogo tulikua na tabia ya kuchezea zile cassette zenye uzi mweusi, na kipindi hicho tulikua tunabishana kuhusu watu wanaoimba music wako ndani ya zile nyuzi imagine! Ni kwasabu level yetu ya uelewa katka Hilo eneo ulikua mdogo hivyo wewe unakataa uchawi ni Elimu ambayo huna tu, lakini ikienda ujerumani Kuna chuo kikuu, naskia na Nairobi kimefunguliwa ukienda pale chuoni unaweza rudi namtazamo tofauti kabisa
Haya wewe mwenye hiyo Elimu ya Uungu. Thibitisha huyo Mungu yupo.

Mthibitshe huyo Mungu yeye kama yeye, bila kumhusisha na kitu chochote kile.
 
Sawa mkuu wengine baibo ni kama gazeti la udaku
karatasi zake tunavutia ganja
jah bless you!
Mkuu hii si inategemea na utashi wa mtu
Kuna mwingine anaona Quran haina maana yoyote, Kuna wewe au mwingine ataona biblia haina maana yoyote

Kuheshimu hivi vitabu inategemea na utashi.

Haya mambo ya kitabu kipi cha kweli au Cha uongo ndio hufanya watu wakajaribu. Kule mbagala 2012 ulizuka ubishi kuwa ukikojolea Quran unageuka sijui mbwa, akatokea mmoja akakojolea lakini hakugeuka chochote, badala yake zikazuka vurugu akakamatwa na polisi, masheikh wakagoma wanataka wakabidhiwe wamuadhibu.

Morogoro kilosa 2020 ulizuka pia ubishi kuwa ukichana Quran unageuka chizi, akatokea yule jamaa akachana lakini hakuwa chizi.
 
Mtoa mada hajakosea kabisa kwa maana zile karatasi zilizo tumika kuandika hivi vitabu sio karatasi halisi

Kwanza tukumbuke hata hizo karatasi za mwanzo nazo hazikuwa halisi kabisa,kwakuwa hayo maandishi awali kabisa yaliandikwa kwenye mbao,mfano amri kumi za Musa ,hata qur'an iliandikwa kwenye vitu vingine

Kwa muktadha huo ipo hivyo,lkn tunapoongelea maandiko au maandishi ya vitabu khususani qur'an ,mzigo upo vile vile,hakuna upungufu wa herufi au ongezeko la herufi yoyote ile

Nadhani sauti imesikika vizur kabisa
 
Kwenye manuscript zilizopo

Walioandika Quran hii ya Leo wametoa wapi ikiwa hakuna nakala ya karne ya 7 hata moja?
Quran imeshushwa Kwa mtindo wa Aya na baadhi zimeshuka Kwa sura kamili.
Kila Aya unayoiona kwenye Quran imepita Kwa jibril ikaenda Kwa Muhammad ndo wakasomewa watu.hakuna Aya Wala sura hata Moja iliyotungwa na binadamu.ndo maana mfumo wa kusoma Quran ulikuwa ni WA kuuhifadhi moyoni .wakarithishwa vizazi na vizazi mpaka Leo hii.
Aya niambie biblia asili ipo wapi?
 
Quran imeshushwa Kwa mtindo wa Aya na baadhi zimeshuka Kwa sura kamili.
Kila Aya unayoiona kwenye Quran imepita Kwa jibril ikaenda Kwa Muhammad ndo wakasomewa watu.hakuna Aya Wala sura hata Moja iliyotungwa na binadamu.ndo maana mfumo wa kusoma Quran ulikuwa ni WA kuuhifadhi moyoni .wakarithishwa vizazi na vizazi mpaka Leo hii.
Aya niambie biblia asili ipo wapi?
NILETEE kipande cha Quran ya karne ya 7

Sitaki porojo
 
NILETEE kipande cha Quran ya karne ya 7

Sitaki porojo
Quran yote unayoiona sasa.ndo ilikuwa kipindi Cha Muhammad.
Hyo sio nguo useme utakata kipande.
Hakuna maandishi yaliyopunguzwa Wala kuongezwa
 
NILETEE kipande cha Quran ya karne ya 7

Sitaki porojo
Na ndyo maana Quran imeshuka Kwa kiarabu na mpaka Leo imebakia lugha yake ya asili ni KIARABU.
Ila biblia sasa.agano la kale limeandikwa kiebrania ,agano jipya limeandikwa kigiriki
 
Angalia hizo Aya za biblia kwenye nahumu 3 Aya ya 5.
Utasema biblia ni Moja?
 

Attachments

  • Screenshot_20260208-233916.jpg
    Screenshot_20260208-233916.jpg
    31.5 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260208-233722.jpg
    Screenshot_20260208-233722.jpg
    32.8 KB · Views: 14
Leo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi.

Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo nakala kama ni vitu vitakatifu.

Kasema kiuhalisia nakala hizo zinatokana na vitabu halisi lakini zenyewe siyo vitabu halisi. Kasema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa na Biblia au Quran halisi.

Kazi ipo.
Vitabu halisi ni vipi hivyo kwa fikra zako au ulitaka yaani miaka 2000 nyuma walivyokuwepo wakina Yesu na Muhammad wangevifungia kabatini hadi leo uje kuvikuta wewe ama umelenga nini kusema neno halisi?
 
Na ndyo maana Quran imeshuka Kwa kiarabu na mpaka Leo imebakia lugha yake ya asili ni KIARABU.
Ila biblia sasa.agano la kale limeandikwa kiebrania ,agano jipya limeandikwa kigiriki
NILETEE kipande cha Quran ya karne ya 7

Sitaki porojo
 
Quran yote unayoiona sasa.ndo ilikuwa kipindi Cha Muhammad.
Hyo sio nguo useme utakata kipande.
Hakuna maandishi yaliyopunguzwa Wala kuongezwa
NILETEE kipande cha Quran ya karne ya 7

Sitaki porojo
 
NILETEE kipande cha Quran ya karne ya 7

Sitaki porojo
Hakuna kitu kinachoitwa lipande Cha Quran Cha Karne ya saba..
Acha uongo.
Quran yote unayoiona hapa Sasa ndo ile aliyopewa MTUME MUHAMMAD
 
Hakuna kitu kinachoitwa lipande Cha Quran Cha Karne ya saba..
Acha uongo.
Quran yote unayoiona hapa Sasa ndo ile aliyopewa MTUME MUHAMMAD
Leta Ushahid ,acha uongo

Hakuna popote pale dunian,nakala ya Quran ya karne ya 7

Kadanganye watoto wa madrasa
 
Back
Top Bottom