hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,669
- 27,559
Mchakato wa biblia unajulikana na upo wazi,Kama siyo vitabu halisi kumbe kurasa zake tunaweza kufungia maandazi kama tu tunavyotumia magazeti ya kawaida?
hamis77 Kiranga Infropreneur
Biblia ya zaman kabisa ni Septuaginta LXX hata Yesu kazikuta ,iliandikwa kwa Kigiriki kule Alexandria misri kwa wayahudi waliokuwa Misri
Agano jipya nakala zake zipo pia za awali
Na manuscripts nyingi zipo
Ni jambo ambalo kwenye Ukristo linakulikana ,na hata vitabu vya apokrifa vinajulikana kwanini waprotestant hawavikubali
Mchakato biblical canonization unajulikana na upo wazi
Shida ipo kwa Quran mchakato huo unafichwa kama Bangi, na muumini wa kawaida hatakiwi kujua , anatakiwa kuambiwa tu Quran ilishushwa kutoka juu, haijawahi kubadilika,kitu ambacho sio kweli ,mchakato wake Hadi inaandikwa hapo Al Azhar University 1924 unajulikana ,
Manuscript zake za karne ya 7 hazipo ,maana Uthman alichoma moto Quran zote,aliyobaki nayo haijulikani ipo wapi