Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

Yoda

hizi ni sababu kwanini qur'an inahifadhika kirahisi

Qur’an imekuwa rahisi kuhifadhika si kwa bahati, bali kwa mkusanyiko wa hekima ya kimungu na muundo wa kipekee unaofanya maneno yashike kama alama moyoni

Haya ndiyo sababu kuu:
1. Ahadi ya Allah Mwenyewe
Qur’an inajitambulisha kwa kauli iliyo wazi:
“Na hakika Sisi tumeifanya Qur’an iwe rahisi kwa kukumbuka, je, yupo anayekumbuka?”
(Qur’an 54:17)

Hapa, urahisi wa kuhifadhi ni ahadi, si mbinu ya binadamu.

2. Muundo wa sauti unaovutia akili
Qur’an ina:
Mdundo wa maneno (rhythm)
Marudio yenye maana
Mizani ya sauti (tajwid)
Hata mtoto asiyefahamu Kiarabu anaweza kuikamata kwa kusikia tu. Masikio hufungua mlango, moyo huikaribisha.

3. Marudio yenye hekima
Maneno, misemo na aya zinajirudia kwa mtindo usioboa, bali unaimarisha kumbukumbu.
Marudio haya ni kama kupiga muhuri mara kadhaa kwenye kumbukumbu ya moyo.

4. Lugha iliyo wazi na thabiti
Kiarabu cha Qur’an:
Kina mizizi ya maneno inayounganika
Neno moja linafungua maana nyingi
Maneno yana uhusiano wa kimaana
Hii husaidia akili kushona aya kwa aya, si kuzikariri kama orodha kavu.

5. Inahifadhiwa kwa kusomwa pamoja
Qur’an haikuja kwa kusomwa kimya pekee, bali:
Masjid
Swala
Tarawehe
Darsa za Qur’an

Hii huifanya ikumbukwe kwa kusikia, kuona, na kurudia. Kumbukumbu ya jamii huimarisha kumbukumbu ya mtu binafsi.

6. Usafi wa dhamira ya mhifadhi
Wengi huihifadhi:
Kwa ibada
Kwa mapenzi
Kwa unyenyekevu
Nia safi hufungua mlango wa baraka. Qur’an haingii kwa nguvu, huingia kwa unyoofu wa moyo.

7. Inalingana na umri wote
Mtoto mdogo huihifadhi
Mzee asiyejua kusoma huihifadhi
Mtu kipofu huihifadhi
Hii inaonyesha kuwa Qur’an haitegemei uwezo wa kielimu, bali mwanga wa Mwenyezi Mungu.
Kwa sababu haujawahi kufahamu Biblia ni kubwa mara kumi zaidi ya Quran.
 
Leta Ushahid ,acha uongo

Hakuna popote pale dunian,nakala ya Quran ya karne ya 7

Kadanganye watoto wa madrasa
Quran sio gazeti Kila mara nakwambia.
Hata ukiangalia jinsi ilivyokuja unaona kabisa mtiririko wake .imetoka Kwa Mungu akampa jibril akamsomea mtume ambaye hajui kusoma Wala kuandika.ila ana uwezo wa kuuhifadhi na mtume akawasomea WATU.
Njoo Sasa uone Kona Kona kwenye biblia 🤣🤣🤣.Kuna hadi barua za watu
 
Leta Ushahid ,acha uongo

Hakuna popote pale dunian,nakala ya Quran ya karne ya 7

Kadanganye watoto wa madrasa
Haya mzigo huo hapo.niambie biblia ipi ni sahihi hapo
 
Attachments

  • Screenshot_20260208-233916.jpg
    Screenshot_20260208-233916.jpg
    31.5 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260208-233722.jpg
    Screenshot_20260208-233722.jpg
    32.8 KB · Views: 8
Haya mzigo huo hapo.niambie biblia ipi ni sahihi hapo
JIBU unachoulizwa

Leta Ushahid ,acha uongo

Hakuna popote pale dunian,nakala ya Quran ya karne ya 7

Kadanganye watoto wa madrasa
 
Quran sio gazeti Kila mara nakwambia.
Hata ukiangalia jinsi ilivyokuja unaona kabisa mtiririko wake .imetoka Kwa Mungu akampa jibril akamsomea mtume ambaye hajui kusoma Wala kuandika.ila ana uwezo wa kuuhifadhi na mtume akawasomea WATU.
Njoo Sasa uone Kona Kona kwenye biblia 🤣🤣🤣.Kuna hadi barua za watu
Leta Ushahid ,acha uongo

Hakuna popote pale dunian,nakala ya Quran ya karne ya 7

Kadanganye watoto wa madrasa
 
JIBU unachoulizwa

Leta Ushahid ,acha uongo

Hakuna popote pale dunian,nakala ya Quran ya karne ya 7

Kadanganye watoto wa madrasa
Kwa hyo unataka ujibiwe wewe tu.ila kuulizwa hautaki?
alafu wewe umekaa Kwa ajili ya kubishana sio kuelewa.umeshaambiwa Quran unayoiona Sasa ndo ilikuwepo kipindi Cha mtume.sasa unabisha nini?
 
Kwahiyo Mungu ndio alisema "Jua linazama kwenye matope?😂😂😂
 
Leta Ushahid ,acha uongo

Hakuna popote pale dunian,nakala ya Quran ya karne ya 7

Kadanganye watoto wa madrasa
Hakuna Aya Wala sura iliyotungwa baada ya mtume kufariki.haipo na haitakuwepo.
Kama unabisha bisha tu.
 
Kwa hyo unataka ujibiwe wewe tu.ila kuulizwa hautaki?
alafu wewe umekaa Kwa ajili ya kubishana sio kuelewa.umeshaambiwa Quran unayoiona Sasa ndo ilikuwepo kipindi Cha mtume.sasa unabisha nini?
Hujajibu na hata kwenye ule Uzi umekimbia hoja kwa staili hii hii

Unajifanya uislamu una majibu

Ukipigwa maswali wala hujibu unakimbilia kuuliza

Kule hivi hivi Hadi umekimbia ,

Nataka wenye ELIMU tu ,wewe nishakuweka kundi la maamuma

Nakupuuza ,maana hata kwenye ule Uzi umerukaruka hivi na yule mwenzako

Kwasasa nataka wenye elimu ,nyie fata upepo mnanipotezea muda
 
Ule Uzi mimi sijakimbia nimekuacha sababu nilishamaliza Kila kitu ila ulikalia ubishi.
Ulisema Israel maana yake aliyeshindana na Mungu akamshinda.ukasema hawakushindana kinguvu ila kiroho nikakuuliza hayo maelezo umeyatoa wapi kwenye biblia haukujibu .
Ila mimi nikikwambia maana ya Israel ni MJA WA MWENYEZI una taka wapi sheikh alipoandika.na hata nilipokuonesha bado haukuelewa ndo maana nikaona naumiza kichwa Bure tu
 
Leo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi.

Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo nakala kama ni vitu vitakatifu.

Kasema kiuhalisia nakala hizo zinatokana na vitabu halisi lakini zenyewe siyo vitabu halisi. Kasema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa na Biblia au Quran halisi.

Kazi ipo.
Na ukaamin bila kuchuja
 
Allen Kilewella

Sasa hivi nyuzi zako nitakuwa siji , wapotoshaji na wanaoleta story za kijiweni nikishaleta hoja wazijibu wanaingia mitini
Mkuu hao hawakosekani kila uzi,kupitia upotoshaji wao tunachota elimu kutoka kwenu pale mnapoweka facts,
A Blessing in disguise
 
Ule Uzi mimi sijakimbia nimekuacha sababu nilishamaliza Kila kitu ila ulikalia ubishi.
Ulisema Israel maana yake aliyeshindana na Mungu akamshinda.ukasema hawakushindana kinguvu ila kiroho nikakuuliza hayo maelezo umeyatoa wapi kwenye biblia haukujibu .
Ila mimi nikikwambia maana ya Israel ni MJA WA MWENYEZI una taka wapi sheikh alipoandika.na hata nilipokuonesha bado haukuelewa ndo maana nikaona naumiza kichwa Bure tu
Huwa mtu anayejibu vitu bila reference kwangu namuona ni muongo

Ndio wewe sasa ,

Israel ni Mja wa Mungu kwa reference ipi

Ukamsingizia ibn kathiri,cha ajabu umeshindwa kuleta wapi kasema 😂😂

Wewe uislamu Bado sana ,
 
😄😄😄.HUNA jipya.
Niambie biblia amepewa mtume gani?
Umeshindwa kuleta hata kipande cha karatasi cha Quran ya karne ya 7 ,

Unakimbilia kutafuta kichaka

Waislamu kama nyie ni vipofu mnaoburuzwa
 
Mungu wa Quran wa ajabu sana hana nguvu za kutetea dini yake mpaka ategemee waumini wake waitete dini, huyu ana utofauti gani na mtoto mdogo asiye na uwezo wa kujitetea zaidi ya kusubiri watu wazima wamtetee?, hizo nguvu zake, miujiza mnayofundishana misikitini hivi kiuhalisia kuna hata muujiza mmoja ashawai kuufanya?, afadhali hata ile dini ya ukristo japo nao matapeli lkn Mungu wao hatetewi na waumini kaachwa ajitetee mwenyewe japo naye hana huo uwezo lkn miujiza ya maigizo huko makanisani si mnaiona?, kuna shekhe hata mmoja anauwezo wa kutibu hata Homa kupitia utapeli wa Quran?
 
Back
Top Bottom