Ukiachana na Quran una orodha yoyote ya vitabu vyovyote vya kihistoria ulivyosoma kuzipa nguvu hoja zako? Au nawewe ndio wale wale mnaotumia maandiko ya kitabu cha dini kutetea na kujenga hoja?.
Hivi kwanini nnje ya vitabu vya dini zenu, matukio na matendo ya matukio hayo hayana ushahidi wa uwepo wake? Hivi historia za manabii wenu na huyo Mungu wenu aliandikwa ktk biblia na Quran pekee?,😂😂.
ukisoma historia za mafalao, falme za misri, Ethiopia, sudan, Mali na hata ulaya, china, india kote huko historia zao zina maelfu ya miaka lkn zimeandikwa ktk nakala nyingi kuprove ushahidi wa uwepo wake, je nje ya Quran kuna ushahidi wa uwepo wa Ishmael?, Musa?, huyo adamu?, au basi hata huyo Issa wa marium je?.
Amkeni mnachezewa na hizo dini
Kuna matukio yapo kwenye kumbukumbu za kihistoria nje ya Biblia. Kuhusu Yesu Kristo, hasa miujiza aliyoitenda, kuhukumiwa na kuuawa msalabani, hayo yameandikwa na wanahistoria wa Kiyahudi na Kirumi.
Kama lugha inapanda vizuri, soma hapa chini. Haya ni maelezo kwa kifupi ya wanahistoria wasio na imani ya kidini, walimzungumzia Yesu Kristo, tena wanaelezea mpaka mwonekano wake. Ukisumbuliwa na lugha, weka wazi, tukutafsirie:
Several ancient non-Christian historians and writers, including Tacitus, Josephus, and Pliny the Younger, provide critical, independent evidence for the historical existence of Jesus Chris:
Key Historical Reports Outside the Bible
- Flavius Josephus (c. 93–94 AD): A Jewish historian who mentioned Jesus twice in Antiquities of the Jews. He describes Jesus as a wise man, a teacher, and a worker of "startling deeds" who was crucified, and he also mentions the death of James, identified as Jesus' brother.
- Tacitus (c. 116 AD): The Roman historian, writing in Annals, reports that "Christus" was executed under procurator Pontius Pilate during Tiberius's reign, marking the start of a "mischievous superstition" (Christianity).
- Pliny the Younger (c. 112 AD): A Roman governor who wrote to Emperor Trajan describing early Christians singing hymns to Christ "as to a god," confirming early worship of Jesus.
- The Talmud: Mentions the execution of "Yeshu" on the eve of Passover, acknowledging his death and role as a teacher, while justifying the execution.
- Thallus (c. 52 AD): While his writings are lost, fragments quoted by others indicate he (a non-Christian) tried to explain the darkness during the crucifixion as an eclipse, validating that a crucifixion and related, unusual events occurred.
- Execution: Multiple sources agree on the crucifixion.
- Character: He was viewed as a teacher and worker of wonders.
- Physical Description: Based on the time and region, scholars suggest he had olive-brown skin, dark hair, and brown eyes, as mentioned in this History.com article.