Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

Umeshindwa kuleta hata kipande cha karatasi cha Quran ya karne ya 7 ,

Unakimbilia kutafuta kichaka

Waislamu kama nyie ni vipofu mnaoburuzwa
Quran imeshushwa KUTOKA Kwa Mungu akampa jibril akamsomea mtume ambaye alikwenda kuwasomea WA watu.
Haya tuambie biblia kapewa mtume gani?
 
Huwa mtu anayejibu vitu bila reference kwangu namuona ni muongo

Ndio wewe sasa ,

Israel ni Mja wa Mungu kwa reference ipi

Ukamsingizia ibn kathiri,cha ajabu umeshindwa kuleta wapi kasema 😂😂

Wewe uislamu Bado sana ,
Kwani wewe uliposema yakobo na Mungu hawakushindana kinguvu ila kiroho nilipokuuliza hyo maana uliitoa wapi .UMEJIBU?
 
Hivi maana ya nakala ni nini?!
Nikiandika barua kwenda idara/taasisi 'A' halafu nakala zake nikazituma sehemu tofauti tatu, nne, tano au zaidi..... hizo nakala zitakuwa na mapungufu gani kulinganisha na ile barua halisi niliyoandika?!
 
Hazina tofauti, sasa waislamu hata hizo nakala hakuna
 
Quran imeshushwa KUTOKA Kwa Mungu akampa jibril akamsomea mtume ambaye alikwenda kuwasomea WA watu.
Haya tuambie biblia kapewa mtume gani?
Ndio ulivyodanganywa?

Haya naomba nakala ya Quran ya karne ya 7
 
Ndio ulivyodanganywa?

Haya naomba nakala ya Quran ya karne ya 7
Quran yote unayoiona hapa Dunia.ndo Quran hyo unayoitaka ya Karne ya saba.
Hakuna anayeweza kutunga Quran na hatakuja KUWEPO.
 
Tukianza na historia kabisa tuchukue nakala halisi za historia na nakala za biblia kuanza kukagua mambo, tutagundua hata huyo Yesu hajawai kuwepo maana miaka 2000 iliyopita kama mnavyoaminishana alikuwepo huyo jamaa, hutopata ushahidi wowote wa kihistoria, kijiografia, kifizikia mpaka kibiolojia hakuna huo ushahidi wa uwepo wa yesu wala taifa la israel hapo Middle East zaidi zaidi ilikuwa ardhi ya koloni la wazungu walipoishi waarabu pia na si taifa la israel na wala historia za hao manabii uchwara hazipo.

sasa turudi kwenye mada je hayo maandiko hayajawai kufanyiwa mabadiriko?, kwanini kuna nakala na matoleo mengi?, je maana ktk nakala za zamani una uhakika ndizo hizi hizi unazotumia wewe kanisani?, yaani mzungu mrumi aliyeuchezea ukristo na muanzilishi wa ukristo na kuleta hii migawanyiko utegemee akupe nakala halisi?.

Hivi wafia dini akili huwa mnaweka wapi, soma historia
Isee, sasa imekuwa kama vile ni ufahari kupinga uwepo wa Mungu! Kwamba kihistoria Yesu hakuwepo! Pole sana.
 
"In the 1930s, papyrus manuscripts discovered in Egypt came to be known as the Chester Beatty Biblical Papyri. Dating to the 2nd and 3rd centuries CE, these texts contain substantial portions of the Old Testament in Greek (the Septuagint) along with much of the New Testament, including the Gospels, Acts, and the letters of Paul.
Their early dating demonstrates how widely Scripture was copied, preserved, and circulated within just a few generations of the apostles, underscoring the care with which the biblical text was transmitted."

FB_IMG_1770916255145.jpg
 
Quran imeshushwa KUTOKA Kwa Mungu akampa jibril akamsomea mtume ambaye alikwenda kuwasomea WA watu.
Haya tuambie biblia kapewa mtume gani?
Ona huyu muongo! Mudi mnayekubali kuwa hakujua kusoma wala kuandika alikwenda 'kuwasomea' vipi watu?!
 
Ona huyu muongo! Mudi mnayekubali kuwa hakujua kusoma wala kuandika alikwenda 'kuwasomea' vipi watu?!
Alikuwa anakariri.yaani anasomewa na yeye alikuwa anakwenda KUWASOMEA.kumbuka kusoma unatumia mdomo ila.kuandika unatumia mkono.
Kwa hyo Kila alilosomewa na jibril yeye alikuwa anakariri
 
Ona huyu muongo! Mudi mnayekubali kuwa hakujua kusoma wala kuandika alikwenda 'kuwasomea' vipi watu?!
Na hyo ndo inaaminika ndo Aya ya kwanza kushushiwa mtume
Anaambiwa SOMAAA.
Mtume akajibu nisomee nini mimi sijui kusoma.ndipo akaambiwa soma Kwa jina la mola wako
 
Attachments

  • Screenshot_20260212-205159.jpg
    Screenshot_20260212-205159.jpg
    141.1 KB · Views: 5
Alikuwa anakariri.yaani anasomewa na yeye alikuwa anakwenda KUWASOMEA.kumbuka kusoma unatumia mdomo ila.kuandika unatumia mkono.
Kwa hyo Kila alilosomewa na jibril yeye alikuwa anakariri
Kusoma unasoma yaliyoandikwa au unatamka uliyokariri?!
 
Kutamka uliyokariri ndo kusoma kwenyewe.maana Quran ilikuwa inashushwa Kwa mfumo wa aya.ni kitabu sio maongezi.
Isee, mimi hapa nimesoma reply yako kwa sababu umeiandika kwa maandishi, unasema kutamka uliyokariri ndiyo kusoma! Na kusoma yaliyoandikwa ni kufanyaje?!
 
Back
Top Bottom