Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

Kwahyo Luten hawez kumpigia salute Nyota 3{ASP} wa police!!
Ndio. Luteni amekamisheni na rais mwenyewe lakini Inspekta wa polisi hajakamisheni na rais. Kwa upande wa polisi, magereza, zimamoto na majeshi yote yaliyopo Tanzania anaekamisheni na rais ni kuanzia kamishna pekee kwenda juu, vyeo vya chini ya hapo hawana kamisheni.
 
Askari wa Jwtz humpigia Afisa ambaye ni comission ya rais tofauti na hapo ni salamu tu ya non officer usitegemee police,magereza,uhamiaji,tanapa,sijui nani huna kamisheni ukategemea salute sahau na futa
uko wrong sana soma ueleweshwe
 
vaz

i la kaptula jeshini as vazi kamili ndo nalisikia kwako...ni depo ipi umefundishwa hivi?
Kuwa mwelewa nilichomaanisha ni kuwa anaepiga saluti ndio anatakiwa awe kavaa proper lakini anaepigiwa saluti anaweza kupigiwa hata kama hajavaa proper
 
[QUOTE="Ebe, post: 23921430, Kwa akiri zenu mnafikiri ili askari awe commissioned officer ni lazima anapopewa cheo Rais awepo mbele... Lt, Cpt, Maj, LtCol, Col, na wengineo..wanapopewa vyeo vyao Rais huwa anakuwepo?? Officer wowote wa Jeshi lolote ni commissioned officer. Ni elimu za ma-instructors wa kizamani .[/QUOTE] Mkuu hapo kidogo Kama matango pori yameusika hivi!

Kwanza ili uwe kamisheni lazima Rais akupe na awepo. Ikitokea hayupo itoaji kamisheni utahairishwa hadi Rais arudi other wise in some big case.

Pia umeteleza kidogo Uliposema ofisa yeyote wa jeshi lolote ni kamisheni. So private nae ni commissioned? Jibu Hapana sio kila ofisa ni kamisheni.

Kwa mapolisi wao wote ni Maafisa.

Kwa JWTZ ofisa ni kuanzia warranty officer class 2 kwenda mbele
 
[QUOTE="Ebe, post: 23921430, Kwa akiri zenu mnafikiri ili askari awe commissioned officer ni lazima anapopewa cheo Rais awepo mbele... Lt, Cpt, Maj, LtCol, Col, na wengineo..wanapopewa vyeo vyao Rais huwa anakuwepo?? Officer wowote wa Jeshi lolote ni commissioned officer. Ni elimu za ma-instructors wa kizamani .
Mkuu hapo kidogo Kama matango pori yameusika hivi!

Kwa JWTZ ofisa ni kuanzia warranty officer class 2 kwenda mbele[/QUOTE]
Upo sahihi, zidi kutoa darasa kwa vichwa ngumu wasioelewa[emoji106] [emoji106]
 
Kuna kipindi nlikua na matatizo polisi nikawekwa ndani. Niliwasiliana na kaka angu ambaye yeye alikua ni captain wa jeshi alimuagiza rafiki yake ambaye pia ni captain aje ashughulikie swala langu(bro alikua anafanya kazi kituo nje ya mkoa)lakini wakati nipo kwa OCD alikuja yule captain na kumpigia saluti OCD tukayamaliza. Baafa ya hii mada nimemuuliza bro inakuaje kaniambia kuwa JW ndio senior army hivyo kuwa waliwa askari wawili wa JW na polisi wenye nyota mbili na kama hivyo polisi anatakiwa ampigie saluti wa JW ila kama wa polisi ni ana nyota tatu wa JW atampigia wa polisi kwa ku neutralize km anampigia captain akiwa kambini.
 
[QUOTE="Ebe, post: 23921430, Kwa akiri zenu mnafikiri ili askari awe commissioned officer ni lazima anapopewa cheo Rais awepo mbele... Lt, Cpt, Maj, LtCol, Col, na wengineo..wanapopewa vyeo vyao Rais huwa anakuwepo?? Officer wowote wa Jeshi lolote ni commissioned officer. Ni elimu za ma-instructors wa kizamani .
Mkuu hapo kidogo Kama matango pori yameusika hivi!

Kwanza ili uwe kamisheni lazima Rais akupe na awepo. Ikitokea hayupo itoaji kamisheni utahairishwa hadi Rais arudi other wise in some big case.

Pia umeteleza kidogo Uliposema ofisa yeyote wa jeshi lolote ni kamisheni. So private nae ni commissioned? Jibu Hapana sio kila ofisa ni kamisheni.

Kwa mapolisi wao wote ni Maafisa.

Kwa JWTZ ofisa ni kuanzia warranty officer class 2 kwenda mbele[/QUOTE]
Afisa wa jeshi anaetakiwa kupigiwa salute ni 2lt hadi CDF na kuwa afisa wa jeshi lazima ukamisheni na rais ndo anatoa kamisheni warant officer ni mteule wa rais siyo kamisheni kama hutaelewa sema tukueleweshe ndgu
 
Askari wa TPDF atampia saluti yule tu aliyeteuliwa Na Rais wa Jamuhuri ya TANZANIA. Sio wote Police walio teuliwa Na Rais. Na Magereza pia. POLICE kuna wanaopata vyeo vyao kupia Waziri. Na Magereza pia. Na kuna Wakuu wa POLICE na NAGEREZA wanapandishwa vyeo Na Rais. Wale ambao uteuliwa Na Rais ndio upigiwa saluti na Askari wa TPDF. Walioreuliwa Na Waziri watapigiwa Na wao kwa police Na Magereza. TPDF Kuazia 2Lt > Gen. Na askari wote wa police na Magereza watawapia Saluti. Na Kwa Majeshi yote. Ukiona askari wa TPDF anawapia saluti G/Ofisa ni mapenzi yake tu. Ili G/of is a ndiye wanatakiwa kumpigia saluti 2Lt > Gen ata kama wamevaa nyota kama kama za major. Kwa sababu yeye ni G/Ofisa. Na 2Lt yeye ni Comm/Ofisa
Samahan mkuu nimekuelewa lakini naomba uwo mwongozo wa kisheria kwa mujibu Wa kanuni na sheria ipi ya jeshi ili nipate ushahidi isije kua ni maneno ya kijiweni
 
Afisa wa jeshi anaetakiwa kupigiwa salute ni 2lt hadi CDF na kuwa afisa wa jeshi lazima ukamisheni na rais ndo anatoa kamisheni warant officer ni mteule wa rais siyo kamisheni kama hutaelewa sema tukueleweshe ndgu[/QUOTE]

Simba songea said

Mkuu soma kwanza maelezo yangu uelewe afu ndo ubishe.

Sikusema Warranty officer ni kamisheni bali kwa JWTZ ofisa anaanzia Warranty officer. Ila kwa mapolisi kwao wote ni Maafisa so hadi constable ni ofisa wa polisi.
 
Nyerere alikua na malengo mazuri sana kuwafanya watu wote/vijana wote wapitie JKT lakini baadaye ilikuja kushindikana kwa sababu za kiuendeshaji, ingawa sasa naona hali imeanza kurudi taratibu.

Mkuu, siyo magereza tu, askari yeyote wa jeshi lolote, liwe la police, magereza, uhamiaji, JWTZ, humpigia salute askari aliyejuu yake ktk maana ya Rank za kijeshi.

Kwa maana hiyo, hata wa JWTZ humpigia salute askari wa jeshi lingine lolote liwe police, magereza nk, kinacho matter ni kuzidiana RANKS za kijeshi.
napenda ulivyo elezea maana ndivyo ilivyo, protocal lazima zifuatwe, kujua ni kuzuri na kunasaidia asiyejua kufahamu
 
Jwtz inajitofautisha na majeshi mengine hapa nchini kwetu kwasababu tu hawana cadet, laiti kama wangekuwa wanakwenda kadeti basi kivyeo wangekuwa sawa na wangehishimiana kivyeo na jwtz.
Lakini mbona India Polisi wanakwenda cadet[emoji116]
Student Police Cadet Project - Wikipedia
Kwanini na hapa kwetu wasiende kadet ili kuwa na mlingano na heshima sawa kiveo na jwtz?
 
Acha uongo kama hujui kitu kaa kimya. Unajua NCOs' kwa Polisi na Magereza maake ni nini na ni wepi? na COs'? ni wepi?. . Kwa akiri zenu mnafikiri ili askari awe commissioned officer ni lazima anapopewa cheo Rais awepo mbele... Lt, Cpt, Maj, LtCol, Col, na wengineo..wanapopewa vyeo vyao Rais huwa anakuwepo?? Officer wowote wa Jeshi lolote ni commissioned officer. Ni elimu za ma-instructors wa kizamani jeshini wasiotaka kujifunza ndo walitoa elimu hizo za uongo.

Jeshi katika nchi sio kikundi tu cha askari, Jeshi huanzishwa kwa mujibu wa sheria za nchi husika. Waliopitisha kuundwa kwa JWTZ, ndo hao hao walipitisha kuundwa kwa Polis na Magereza n.k. kwa uzito ule ule, kwahiyo yote ni majeshi kinachopishana ni majukumu tu. Hivyo hata seniority yao inaendana hivyo hivyo jeshi lipi lilianza kuundwa. Wakiwepo askari watatu; Lt, Inspector wa Polis na wa Magereza, Lt anakuwa senior. Ila akiwepo ASP kati yao hata kama ni wa Magereza atakuwa ndio mkubwa hapo na ndiye atakayepaswa kutoa ripoti.
Ulishamaliza kazi yako kiongozi 💪
 
Meja jenerali, Gaudence Milanzi akisalimiana na Maafisa waandamizi wa jeshi la Magereza.

Hivi ni Magereza pekee au majeshi mengine Pia uwapigia salute JWTZ
3bd798368ba57420a0623e9bcceaac9b.jpg
Salute ni salamu kwa kiongozi aliye na rank ya juu zaidi ya huyo anayempigia haijalishi ni JWTZ au zimamoto. Vyeo vya Polisi, Magereza,Uhamiaji na zimamoto vinafanana na vyote vina corresponding status kwenye JWTZ. Mfano inaeweza kuwa Assistant commissioner akawa sawa na Captain.
 
Mkuu hapo kidogo Kama matango pori yameusika hivi!

Kwanza ili uwe kamisheni lazima Rais akupe na awepo. Ikitokea hayupo itoaji kamisheni utahairishwa hadi Rais arudi other wise in some big case.

Pia umeteleza kidogo Uliposema ofisa yeyote wa jeshi lolote ni kamisheni. So private nae ni commissioned? Jibu Hapana sio kila ofisa ni kamisheni.

Kwa mapolisi wao wote ni Maafisa.

Kwa JWTZ ofisa ni kuanzia warranty officer class 2 kwenda mbele
Upo sahihi, zidi kutoa darasa kwa vichwa ngumu wasioelewa[emoji106] [emoji106]
[/QUOTE]
Pamoja man. Mkuu unajua hivi vyeo uchanganya kama haupo chomboni au si mfuatiliaji wa haya mambo. Nashangaa watu wanavyobishana na ukweli. Ila Mkuu nmekubali Reply zako zipo Correct
 
Mkuu hapo kidogo Kama matango pori yameusika hivi!

Kwanza ili uwe kamisheni lazima Rais akupe na awepo. Ikitokea hayupo itoaji kamisheni utahairishwa hadi Rais arudi other wise in some big case.

Pia umeteleza kidogo Uliposema ofisa yeyote wa jeshi lolote ni kamisheni. So private nae ni commissioned? Jibu Hapana sio kila ofisa ni kamisheni.

Kwa mapolisi wao wote ni Maafisa.

Kwa JWTZ ofisa ni kuanzia warranty officer class 2 kwenda mbele
Afisa wa jeshi anaetakiwa kupigiwa salute ni 2lt hadi CDF na kuwa afisa wa jeshi lazima ukamisheni na rais ndo anatoa kamisheni warant officer ni mteule wa rais siyo kamisheni kama hutaelewa sema tukueleweshe ndgu
[/QUOTE]
Kwani nani kasema Warranty officer ni Kamisheni? Kama umenireply mimi basi Usikurupuke. Kuhusu hivyo vyeo unidanganyi kitu hapo mkuu navielewa A to Z
 
Back
Top Bottom