Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

Si kweli,TPDF atampigia salute officer wa juu sana ambaye anapewa cheo na Rais yaani commissioned police or prison officer. Hawa sijui nyota au ngao sijui kamanda wa mkoa akipigiwa na TPDF ni maanuzi tu,ila officer yeyote wa TPDF kuanzia nyota moja anapigiwa na majeshi mengine coz amepewa cheo na Rais
MAAFISA WENGINE WANAPEWA NA WANANCHI? DELEGATION OF POWER!
 
Kama namuona brigedia zawadi madawili mwana mke wa kwanza Tanzania kushika cheo hicho cha juu sana kwa Jeshi ingawa hakizid vyote ,

hapo ni miaka michache toka awe mnadhimu mkuu wa kuingoza gwalide la Uhuru pale Taifa. Ama alitisha san kwa namna alivyokuwa akitoa amri kwa makamanda wote pale uwanjani, Mama madawili ni kamanda shupavu sana.

Nilikuwa nawasoma nijue comment zenu. Huu sasa ndo ukweli:

Vyeo vya jeshi utavitambua kwa njia mbalimbali mfano sare zao za jeshi. Mwanajeshi anayeruhusiwa kuvaa suti za jeshi ni maofisa tu Yaani warranty officer class 2 kwenda mbele Yaani afisa mteule daraja LA pili hadi general
c6f318ede816589b360350ce7a045a9c.jpg

Jeshini kuna commissioner na non commissioner. wanajeshi wote wa jwtz walio na nyota ni commissioner .
Wasio na nyota ni non commissioner.

Cheo cha Kamishna wa jwtz na polisi upewa na Rais, Inshort polisi mwenye ngao na nyota ni kamishna na jwtz ambao wanaanzia nyota moja ni makamishna.

Rais uwapa kamisheni jwtz kuanzia nyota moja huku polisi upewa kamisheni kuanzia kamishna msaidizi wa polisi(DEPUTY COMMISSIONER OF POLISI/ anakuwa na nyota na ngao)

kwahiyo wanajeshi ambao ni non commissioned uwapigia salute polisi kuanzia wale vyeo upewa na Rais Yaani kuanzia Deputy commissioner of police( kamishna msaidizi wa polisi).
 
Kama namuona brigedia zawadi madawili mwana mke wa kwanza Tanzania kushika cheo hicho cha juu sana kwa Jeshi ingawa hakizid vyote ,

hapo ni miaka michache toka awe mnadhimu mkuu wa kuingoza gwalide la Uhuru pale Taifa. Ama alitisha san kwa namna alivyokuwa akitoa amri kwa makamanda wote pale uwanjani, Mama madawili ni kamanda shupavu sana.
Madawili amestaafu akiwa major General
 
Nyerere alikua na malengo mazuri sana kuwafanya watu wote/vijana wote wapitie JKT lakini baadaye ilikuja kushindikana kwa sababu za kiuendeshaji, ingawa sasa naona hali imeanza kurudi taratibu.

Mkuu, siyo magereza tu, askari yeyote wa jeshi lolote, liwe la police, magereza, uhamiaji, JWTZ, humpigia salute askari aliyejuu yake ktk maana ya Rank za kijeshi.

Kwa maana hiyo, hata wa JWTZ humpigia salute askari wa jeshi lingine lolote liwe police, magereza nk, kinacho matter ni kuzidiana RANKS za kijeshi.
Nyongeza katika hili ni kwamba mpiga saluti na anayepigiwa ni lazima wawe kwenye uniform!
 
Jeshini meja jenerali ni kamanda wa divisheni ambapo divisheni ndio formation kubwa kuliko zote, kwa hiyo nadhani tukienda kihaki kabisa mtu anaehold rank ya commissioner inabidi ampigie saluti meja jenerali sababu kamishna anaongoza divisheni ya mgawano wa majukumu ya kiutawala wakati meja jenerali anaongoza divisheni ambayo ni kundi kubwa standard la mapigano.

Ila tukienda kwenye vyeo kama SP_vs_Major kweli hao wapo sawa kwa rank.
SP na Major hawako sawa kwa rank wewe! SP sio commissioned
 
Sasa swali kuu linakuja hapa...
Bashite ana cheo gani cha kijeshi kiasi cha kupigiwa saluti na askari?
Ni askari wa cheo kipi ndio anaweza kumpigia saluti Bashite na yupi hapaswi?

Je, inaruhusiwa kupigiwa saluti kama hauko kwenye sare za kijeshi(kama umevaa Kapelo, fulana, jeans)?
ni COMMISSIONER
 
Wakuu wa mikoa na wilaya ni wametunukiwa kamishna na Rais. JWTZ lazima waanguke salute
 
VYEO VYA POLISI:
fd810d1ca21fa52a282376d9fc63cf49.jpg
0bd003bc66b19db8dc78edfa8cd422d7.jpg
7bcabdf6241b2b130beafb15bf475fbb.jpg

VYEO VYA JWTZ
0d74a1fc3c2973546031f6ba70c25d96.jpg
a4a0bf764ddc0fcd3b4db32512e03779.jpg

Note: jwtz hivyo juu ni vya zamani. Vya mwaka 2015 shuka chini.

UTARATIBU WA WANAJESHI KUWAPIGIA SALUTE POLICE:

1. SECOND LIEUTENANT(Nyota moja) ni sawa na ASSISTANCE COMMISSIONER OF POLICE. (Hawa wapo sawa kivyeo wote ndo kamisheni yao ya kwanza kuvikwa na Rais). SECOND LIEUTENANT ataanza kumpigia salute S.A.C.P(Senior Assistant of Police) Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi.

2. FIRST LIEUTENANT(Nyota Mbili) ni sawa na DEPUTY COMMISSIONER OF POLICE. hawa wako sawa kivyeo. FIRST LIEUTENANT ataanza kumpigia salute C.P(Kamishna Wa Polisi).

3. CAPTAIN(Nyota Tatu) ni sawa na INSPECTOR GENERAL OF POLICE. CAPTAIN ndo cheo cha kwanza cha JWTZ ambacho hakipigi salute kwa cheo chochote kile cha Polisi.

4. Kuanzia CAPTAIN, MAJOR, LIEUTENAT COLONEL, COLONEL, BRIGEDIER GENERAL, MAJOR GENERAL, LIEUTENANT GENERAL na GENERAL hawawapigii salute polisi yeyote yule.
 
Acha uongo bana mbona makanal wengi tu tunaona wanampigia salut IGP, Iweje Captain awe saw kicheo na IGP.. we n private na ndy mnajitoaga ufaham.
 
VYEO VYA POLISI:
fd810d1ca21fa52a282376d9fc63cf49.jpg
0bd003bc66b19db8dc78edfa8cd422d7.jpg
7bcabdf6241b2b130beafb15bf475fbb.jpg

VYEO VYA JWTZ
0d74a1fc3c2973546031f6ba70c25d96.jpg
a4a0bf764ddc0fcd3b4db32512e03779.jpg

Note: jwtz hivyo juu ni vya zamani. Vya mwaka 2015 shuka chini.

UTARATIBU WA WANAJESHI KUWAPIGIA SALUTE POLICE:

1. SECOND LIEUTENANT(Nyota moja) ni sawa na ASSISTANCE COMMISSIONER OF POLICE. (Hawa wapo sawa kivyeo wote ndo kamisheni yao ya kwanza kuvikwa na Rais). SECOND LIEUTENANT ataanza kumpigia salute S.A.C.P(Senior Assistant of Police) Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi.

2. FIRST LIEUTENANT(Nyota Mbili) ni sawa na DEPUTY COMMISSIONER OF POLICE. hawa wako sawa kivyeo. FIRST LIEUTENANT ataanza kumpigia salute C.P(Kamishna Wa Polisi).

3. CAPTAIN(Nyota Tatu) ni sawa na INSPECTOR GENERAL OF POLICE. CAPTAIN ndo cheo cha kwanza cha JWTZ ambacho hakipigi salute kwa cheo chochote kile cha Polisi.

4. Kuanzia CAPTAIN, MAJOR, LIEUTENAT COLONEL, COLONEL, BRIGEDIER GENERAL, MAJOR GENERAL, LIEUTENANT GENERAL na GENERAL hawawapigii salute polisi yeyote yule.
Wewe ni Kilaza wa kiwango cha lami!
 
SP na Major hawako sawa kwa rank wewe! SP sio commissioned

Sio lazima nao wapewe kamisheni na rais ndio wawe sawa. Maafisa wa jeshi(JWTZ) hupewa commission na rais/mfalme kama dhamana ya madaraka kwa sababu nyingi:

(1) kwa sababu ya mapinduzi ya kijeshi. Rais/mfalme kuwapa commission moja kwa moja inawafanya waone kama wana dhamana direct kutoka kwa mtawala na hivyo kuwa waaminifu kurudisha fadhila kwa mtawala na utiifu wa hali ya juu. Hivyo inakuwa ngumu kwa maafisa wa jeshi(JWTZ) kustage coup sababu wanakuwa wanajiona wameaminiwa kuwa watiifu kwa mtawala.

(2) Kamisheni kama dhamana ya uwakilishi wa rais/mfalme uwanja wa vita. Afisa wa jeshi(jwtz) ni mtawala sehemu/ardhi anapopiganisha majeshi yake, hivyo umuhimu wa kamisheni unaonekana tena.

Tukirudi kwenye usawa wa SP na major:

(1) Wote wanaongoza makundi yenye ukubwa sawa kabisa.

(2)Wote ni lazima wapewe wasaidizi zaidi ya mmoja wenye nyota tatu tatu

(3) Insignia zao begani zinafanana copy right kabisa.

(4) na mengineyo mengi!
 
Mbona nimeeleweka? Chini ya assist commissioner wa polisi anapewa na mkuu wa polisi pia magereza,ila TPDF kuanzia nyota moja ni Rais. Naona umenielewa
Hata hivyo mkuu, chini ya ACP huyo si commissioner, ni officer tu wa police. Ambaye officer anatakiwa kuanzia Assistant Inspector yaani nyota moja. Kuna rank pia inaitwa staff Sargent, hana nyota nadhani naye yuko kwenye kundi la maofisa wa police. Hawa wengine sijui Sargent au corporal au constable utasikia maofisa wa police, hii huwa ni heshima tu, lakini kijeshi siyo maofisa. Na macommissioner ni ACP and above.
 
Nyongeza katika hili ni kwamba mpiga saluti na anayepigiwa ni lazima wawe kwenye uniform!
Anayepigiwa si lazima kuwa kwenye uniform, kama anayepiga salute anamfahamu atampigia tu na yeye atabana mikono kuipokea hiyo salute. Kama wote hawako katika uniform, watabaniana mikono, zote hizo bado ni salute. Salute ni ile kuonyesha heshima kwa mkubwa na mkubwa huipokea hiyo heshima kwa vitendo pia.
 
Sio lazima nao wapewe kamisheni na rais ndio wawe sawa. Maafisa wa jeshi(JWTZ) hupewa commission na rais/mfalme kama dhamana ya madaraka kwa sababu nyingi:

(1) kwa sababu ya mapinduzi ya kijeshi. Rais/mfalme kuwapa commission moja kwa moja inawafanya waone kama wana dhamana direct kutoka kwa mtawala na hivyo kuwa waaminifu kurudisha fadhila kwa mtawala na utiifu wa hali ya juu. Hivyo inakuwa ngumu kwa maafisa wa jeshi(JWTZ) kustage coup sababu wanakuwa wanajiona wameaminiwa kuwa watiifu kwa mtawala.

(2) Kamisheni kama dhamana ya uwakilishi wa rais/mfalme uwanja wa vita. Afisa wa jeshi(jwtz) ni mtawala sehemu/ardhi anapopiganisha majeshi yake, hivyo umuhimu wa kamisheni unaonekana tena.

Tukirudi kwenye usawa wa SP na major:

(1) Wote wanaongoza makundi yenye ukubwa sawa kabisa.

(2)Wote ni lazima wapewe wasaidizi zaidi ya mmoja wenye nyota tatu tatu

(3) Insignia zao begani zinafanana copy right kabisa.

(4) na mengineyo mengi!
haha SP no commission
 
SP na Major hawako sawa kwa rank wewe! SP sio commissioned
Nadhani huyu anaangalia lile limwenge linalokua begani akafikiri yule wa police na wa TPDF wako sawa, siyo sawa hawa. Huyu wa police SP hajafikia commissioned rank ambayo ni kuanzia ACP, wakati huyu wa TPDF Major ameshakuwa commissioned tangu akiwa na nyota moja (luteni usu) second lieutenant.
 
Back
Top Bottom