Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,483
- 20,045
Sasa kaangalieni timu za kazi maalumu mkajue nani ni nani
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
Kwakifupi nikwamba majeshi ni Kama zilivyo familia zetu majumbani mwetu kwafano Kuna kaka mkubwa mdogo anayefuata hadi wamwisho ndivyo tunavyo heshimiana kwenye familia,tukirudi kwenye majeshi kwamfano wakakutana askari wawili wamajeshi mawili tafauti wenye vyeo vinavyolingana mfano police mwenye nyota 3 akakutana na nyota3 wa Jwtz hapo polisi ndiyeatakaye anza kupigia salute mwenzake hii ni kwasababu kimfumo JWTZ inachukuliwa kuwa ni jeshi mama la majeshi mengine na hili siyo Tanzania tu bali ni dunia nzima.kwahiyo kwahapa kwetu jaribu kuchunguza Kama kunadhifa za kitaifa wakikaa viongozi wakuu wa ulinzi na usalama kulia anaanza CDF anafuata IGP anakuja mkuu wa usalama wa taifa,anakuja kamishina wa magereza,uhamiaji n.k, jaribu kuchunguza,na huu ni utaratibu wa kawaida sema watanzania tunapenda kuleta uchochezi kwenye mambo ambayo hatuna uhakika nayo.Swali langu ni wanatambuaje fulani ni mkubwa, mfano kapteni wa nyota tatu jeshini, kina nani a polisi wanampigia saluti?? Na kapteni huyo kwa polisi ni cheo gani??
Nakubaliana na wewe, utafikiri kuna kipato cha ziada Wanapata Kwa kujiona wakubwa.Humu Kuna tuwanajeshi tunapenda kujikweza sana [emoji1]
Mpuuzi wa kiwango cha lami yaani Mtu aongoze Regiment ya mizinga na mtu usemi aongoze kikundi wabebe SAR wawe sawa mtu asotee nyota mwaka mzima mafunzo magumu na aliyekaa mjini miezi minne kuchua nyota wawe sawa you can't be serious broSio lazima nao wapewe kamisheni na rais ndio wawe sawa. Maafisa wa jeshi(JWTZ) hupewa commission na rais/mfalme kama dhamana ya madaraka kwa sababu nyingi:
(1) kwa sababu ya mapinduzi ya kijeshi. Rais/mfalme kuwapa commission moja kwa moja inawafanya waone kama wana dhamana direct kutoka kwa mtawala na hivyo kuwa waaminifu kurudisha fadhila kwa mtawala na utiifu wa hali ya juu. Hivyo inakuwa ngumu kwa maafisa wa jeshi(JWTZ) kustage coup sababu wanakuwa wanajiona wameaminiwa kuwa watiifu kwa mtawala.
(2) Kamisheni kama dhamana ya uwakilishi wa rais/mfalme uwanja wa vita. Afisa wa jeshi(jwtz) ni mtawala sehemu/ardhi anapopiganisha majeshi yake, hivyo umuhimu wa kamisheni unaonekana tena.
Tukirudi kwenye usawa wa SP na major:
(1) Wote wanaongoza makundi yenye ukubwa sawa kabisa.
(2)Wote ni lazima wapewe wasaidizi zaidi ya mmoja wenye nyota tatu tatu
(3) Insignia zao begani zinafanana copy right kabisa.
(4) na mengineyo mengi!
mmesoma Sheria kweli ila ikifika Sheria ya rais kutoa kamisheni CD inascratch soma Nini maana commissioned officer na gazzeted officer !Acha uongo kama hujui kitu kaa kimya. Unajua NCOs' kwa Polisi na Magereza maake ni nini na ni wepi? na COs'? ni wepi?. . Kwa akiri zenu mnafikiri ili askari awe commissioned officer ni lazima anapopewa cheo Rais awepo mbele... Lt, Cpt, Maj, LtCol, Col, na wengineo..wanapopewa vyeo vyao Rais huwa anakuwepo?? Officer wowote wa Jeshi lolote ni commissioned officer. Ni elimu za ma-instructors wa kizamani jeshini wasiotaka kujifunza ndo walitoa elimu hizo za uongo.
Jeshi katika nchi sio kikundi tu cha askari, Jeshi huanzishwa kwa mujibu wa sheria za nchi husika. Waliopitisha kuundwa kwa JWTZ, ndo hao hao walipitisha kuundwa kwa Polis na Magereza n.k. kwa uzito ule ule, kwahiyo yote ni majeshi kinachopishana ni majukumu tu. Hivyo hata seniority yao inaendana hivyo hivyo jeshi lipi lilianza kuundwa. Wakiwepo askari watatu; Lt, Inspector wa Polis na wa Magereza, Lt anakuwa senior. Ila akiwepo ASP kati yao hata kama ni wa Magereza atakuwa ndio mkubwa hapo na ndiye atakayepaswa kutoa ripoti.
akili za tatu mzuka kamisheni inaambana na Rais period haya ulikamisheni lini chukwani?Kwaakili yako ya kipumbavu uikadhani kupewa commission kunaishia na uwepo wa Rais...???
Mpuuzi wa kiwango cha lami yaani Mtu aongoze Regiment ya mizinga na mtu usemi aongoze kikundi wabebe SAR wawe sawa mtu asotee nyota mwaka mzima mafunzo magumu na aliyekaa mjini miezi minne kuchua nyota wawe sawa you can't be serious bro
Gazetted officer ni ofisa wa ngazi ya juu wa serikali ambaye uteuzi wake lazima utangazwe katika gazeti la serikali. Hakuna maofisa wa aina hiyo katika jeshi lolote Tanzania. Katika majeshi yote kuna NCOs na COs.mmesoma Sheria kweli ila ikifika Sheria ya rais kutoa kamisheni CD inascratch soma Nini maana commissioned officer na gazzeted officer !
Hivi Polisi mwenye nyota mbili ndio Inspekta? Jibu ni ndiyo Huyu ni Full InspectorHivi Polisi mwenye nyota mbili ndio Inspekta?
[emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Unavijua kweli vyeo vya Polisi
Haya nielezee kuhusu Provisional (Sub Inspector), Assistant Inspector na Ispector
Nijuavyo mimi Inspector wa Polisi ni Nyota tatu. [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Box ndio naniHivi ni kweli mpk mke wa box nae anapigiwa salu T
Acha unanga na uwongo wako wwNyerere alikua na malengo mazuri sana kuwafanya watu wote/vijana wote wapitie JKT lakini baadaye ilikuja kushindikana kwa sababu za kiuendeshaji, ingawa sasa naona hali imeanza kurudi taratibu.
Mkuu, siyo magereza tu, askari yeyote wa jeshi lolote, liwe la police, magereza, uhamiaji, JWTZ, humpigia salute askari aliyejuu yake ktk maana ya Rank za kijeshi.
Kwa maana hiyo, hata wa JWTZ humpigia salute askari wa jeshi lingine lolote liwe police, magereza nk, kinacho matter ni kuzidiana RANKS za kijeshi.
Mke wa box ni nani huyo tenaHivi ni kweli mpk mke wa box nae anapigiwa salu T
Hahaha mike umeamua kumkataa jamaa...Acha unanga na uwongo wako ww
"Askari ni kikosi kinachodharaulika kwa JWTZ"JWTZ wanaumoja sifikiri kama wataadhibiana kwa sababu ya kosa alofanyiwa askari. Nahisi askari ni kikosi kinachodharaulika mbele ya JWTZ