Ebe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 917
- 1,139
Acha uongo kama hujui kitu kaa kimya. Unajua NCOs' kwa Polisi na Magereza maake ni nini na ni wepi? na COs'? ni wepi?. . Kwa akiri zenu mnafikiri ili askari awe commissioned officer ni lazima anapopewa cheo Rais awepo mbele... Lt, Cpt, Maj, LtCol, Col, na wengineo..wanapopewa vyeo vyao Rais huwa anakuwepo?? Officer wowote wa Jeshi lolote ni commissioned officer. Ni elimu za ma-instructors wa kizamani jeshini wasiotaka kujifunza ndo walitoa elimu hizo za uongo.Hakuna kitu cha namna hiyo..
Afisa wa JWTZ hata awe na nyota moja huyo Commissioned Officer hao wengine kama Commission yao hawajapewa na Rais lazima waanguke salute kwa Afisa wa JWTZ
Jeshi katika nchi sio kikundi tu cha askari, Jeshi huanzishwa kwa mujibu wa sheria za nchi husika. Waliopitisha kuundwa kwa JWTZ, ndo hao hao walipitisha kuundwa kwa Polis na Magereza n.k. kwa uzito ule ule, kwahiyo yote ni majeshi kinachopishana ni majukumu tu. Hivyo hata seniority yao inaendana hivyo hivyo jeshi lipi lilianza kuundwa. Wakiwepo askari watatu; Lt, Inspector wa Polis na wa Magereza, Lt anakuwa senior. Ila akiwepo ASP kati yao hata kama ni wa Magereza atakuwa ndio mkubwa hapo na ndiye atakayepaswa kutoa ripoti.