Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
Kwa hiyo hao jamaa wa magereza waliompigia saluti Millanzi walikosea?Hiyo post nilikuja ku edit nikaongezea kwamba ranks za kundi la kwanza haziendi sawa na zile za kundi la pili. Yaani Kopolo wa TPDF si sawa na kopolo wa polisi. Nyota tatu za polisi siyo sawa na nyota tatu za JWTZ.