Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

simba songea

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2016
Posts
1,496
Reaction score
1,219
Meja jenerali, Gaudence Milanzi akisalimiana na Maafisa waandamizi wa jeshi la Magereza.

Hivi ni Magereza pekee au majeshi mengine pia huwapigia salute JWTZ
3bd798368ba57420a0623e9bcceaac9b.jpg
 
Meja jenerali, Gaudence Milanzi akisalimiana na Maafisa waandamizi wa jeshi la Magereza.

Hivi ni Magereza pekee au majeshi mengine Pia uwapigia salute JWTZ
3bd798368ba57420a0623e9bcceaac9b.jpg
Hayo yote ni majeshi ya Tanzania na afisa wa chini yeyote kati yao humpigia saluti afisa mwenye cheo kikubwa kuliko chake. Kwa hiyo siyo ajabu mwanajeshi wa TPDF akampigia saluti afisa wa Police.
 
Meja jenerali, Gaudence Milanzi akisalimiana na Maafisa waandamizi wa jeshi la Magereza.

Hivi ni Magereza pekee au majeshi mengine Pia uwapigia salute JWTZ
3bd798368ba57420a0623e9bcceaac9b.jpg
Nyerere alikua na malengo mazuri sana kuwafanya watu wote/vijana wote wapitie JKT lakini baadaye ilikuja kushindikana kwa sababu za kiuendeshaji, ingawa sasa naona hali imeanza kurudi taratibu.

Mkuu, siyo magereza tu, askari yeyote wa jeshi lolote, liwe la police, magereza, uhamiaji, JWTZ, humpigia salute askari aliyejuu yake ktk maana ya Rank za kijeshi.

Kwa maana hiyo, hata wa JWTZ humpigia salute askari wa jeshi lingine lolote liwe police, magereza nk, kinacho matter ni kuzidiana RANKS za kijeshi.
 
Meja jenerali, Gaudence Milanzi akisalimiana na Maafisa waandamizi wa jeshi la Magereza.

Hivi ni Magereza pekee au majeshi mengine Pia uwapigia salute JWTZ
3bd798368ba57420a0623e9bcceaac9b.jpg
Unakijua cheo cha meja jenero?? Juu yake kuna vyeo viwili tu.
 
Nyerere alikua na malengo mazuri sana kuwafanya watu wote/vijana wote wapitie JKT lakini baadaye ilikuja kushindikana kwa sababu za kiuendeshaji, ingawa sasa naona hali imeanza kurudi taratibu.

Mkuu, siyo magereza tu, askari yeyote wa jeshi lolote, liwe la police, magereza, uhamiaji, JWTZ, humpigia salute askari aliyejuu yake ktk maana ya Rank za kijeshi.

Kwa maana hiyo, hata wa JWTZ humpigia salute askari wa jeshi lingine lolote liwe police, magereza nk, kinacho matter ni kuzidiana RANKS za kijeshi.
Swali langu ni wanatambuaje fulani ni mkubwa, mfano kapteni wa nyota tatu jeshini, kina nani a polisi wanampigia saluti?? Na kapteni huyo kwa polisi ni cheo gani??
 
Humpigia..... Katika jeshi ni ranks ndizo zinazoangaliwa. Yote hayo ni majeshi mkuu na nidhamu ya jeshi iko pale pale. Na siyo lazima awe IGP hata police mwingine aliyejuu ya askari wa JWTZ atapigiwa salute tu.
Nidhamu ndio inavosema.... Utekelezaji je? Tunaona askari wanavonyanyaswa na majeshi.... In short majeshi yanapenda kunyanyasa hadi raia. Yaani ukiharibikiwa na gari karibu na eneo lao utajuta.... Badala ya kukusaidia wanakupa adhabu...
 
Hivi ni kweli mpk mke wa box nae anapigiwa salu T
 
Jeshini meja jenerali ni kamanda wa divisheni ambapo divisheni ndio formation kubwa kuliko zote, kwa hiyo nadhani tukienda kihaki kabisa mtu anaehold rank ya commissioner inabidi ampigie saluti meja jenerali sababu kamishna anaongoza divisheni ya mgawano wa majukumu ya kiutawala wakati meja jenerali anaongoza divisheni ambayo ni kundi kubwa standard la mapigano.

Ila tukienda kwenye vyeo kama SP_vs_Major kweli hao wapo sawa kwa rank.
 
Back
Top Bottom