Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

Hata hivyo mkuu, chini ya ACP huyo si commissioner, ni officer tu wa police. Ambaye officer anatakiwa kuanzia Assistant Inspector yaani nyota moja. Kuna rank pia inaitwa staff Sargent, hana nyota nadhani naye yuko kwenye kundi la maofisa wa police. Hawa wengine sijui Sargent au corporal au constable utasikia maofisa wa police, hii huwa ni heshima tu, lakini kijeshi siyo maofisa. Na macommissioner ni ACP and above.
Mkuu upo very wrong kwanza maelezo yako yanajichanganya. Inshort mapolisi wote ni Maafisa rudi kwenye mwongozo wao usome.
 
JWTZ upewa Kamisheni na Rais wakafanye kazi kwa niaba yake. Popote umuonapo Mwanajeshi ambaye commissioned ni Rais Yaani Mwanajeshi kwa niaba ya Rais.

Rais haendi vitani, hapigi mizinga wala hajishughulishi na ishu za medani Basi Mwanajeshi ambaye commissioned ufanya kwa niaba Yake. Ndo maana ya kamishna am here to represent Mr President .
 
20171011_194527.jpg
Hao tu ndio sio commission kuanzia nyota moja ni commissioned.
Hata hivyo mkuu, chini ya ACP huyo si commissioner, ni officer tu wa police. Ambaye officer anatakiwa kuanzia Assistant Inspector yaani nyota moja. Kuna rank pia inaitwa staff Sargent, hana nyota nadhani naye yuko kwenye kundi la maofisa wa police. Hawa wengine sijui Sargent au corporal au constable utasikia maofisa wa police, hii huwa ni heshima tu, lakini kijeshi siyo maofisa. Na macommissioner ni ACP and above.
 
Akimchukulia hatua,huyo askar anayegoma kupiga salute anafukuzwa.
Acha ujinga wewe, yaani afukuzwe kazi Kapteni wa JWTZ kisa hajampigia salute Mwanasiasa SIRRO? acheni ujinga aisee, hivi mnavyo ona polisi wakifukuzwa kazi hovyo na JWTZ hali ni hiyo hiyo?

Mwanajeshi ni Mwanajeshi na itakuwa hivyo daima, siyo hao walio acha kulinda raia na mali zake now wanafanya kazi ya TRA, wajaa visa na wala rushwa wakubwa.
 
Sio kazi rahisi kuvaa vijogoo vyekundu kwenye kola hapo
 
Hahahahaha! police naona wameitana wanatoka povu wanamtetea IGP wao, wanapenda kujifananisha na militarized officers! naitabiria huu uzi utafika mbali sana, ila before sijaenda kwenye hitimisho naomba niwaulize polisi maana najua polisi wengi hasa wale upande wa FFU wamepita JKT na wengi wao walipenda kuvaa baka baka tatizo ukakamavu wa kiraia yaani polisi uliwapenda zaidi, swali la kwanza! police ni army/military...!? au force!? nendeni mkasome tena tofauti ya maneno haya kwenye lugha ya kiingereza kiswahili kitawapoteza sana kujiita jeshi! pili kwanini CDF yaani mkuu wa jwtz anaitwa mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama na sio IGP..!? tatu kwanini vyeo vya military/army mfano jwtz/tpdf vinaitwa ni international ranks iwe ni askari wa kawaida au afisa wa jeshi.!? nne kwanini majeshi yote duniani yanatumia neno"defense force" na sio polisi...!? tano kwanini jeshi lina police wake na mahakama zake..!?, kwanini nyinyi polisi msitumike jeshini..!? mkinijibu nitarudi tena, muwe mnaambian ukweli polisi, chuki zenu kwa jeshi hazitasaidia, msitake kujiona mko sawa na watu waliofukuza M23 kule congo mtaumia!!!
 
Acha ujinga wewe, yaani afukuzwe kazi Kapteni wa JWTZ kisa hajampigia salute Mwanasiasa SIRRO? acheni ujinga aisee, hivi mnavyo ona polisi wakifukuzwa kazi hovyo na JWTZ hali ni hiyo hiyo?

Mwanajeshi ni Mwanajeshi na itakuwa hivyo daima, siyo hao walio acha kulinda raia na mali zake now wanafanya kazi ya TRA, wajaa visa na wala rushwa wakubwa.
Unaliwa
 
In general, Police are civilians, while Army is military. Army is not required, nor encouraged to salute civilian law enforcement. But Police are indeed a para-military force, they indeed salute ranking officers such as General, Brigadier, Colonel, Colonel, Major, Captain and Lieutenant.

Again, generally speaking, the salute is a private club kind of thing. It is a military thing, and a show of mutual respect. The military enlisted person salutes the military officer as a show of respect, and the officer returns the salute as a show of respect. For either to fail this is an insult, and disregard for respect.
 
Hahahahaha! police naona wameitana wanatoka povu wanamtetea IGP wao, wanapenda kujifananisha na militarized officers! naitabiria huu uzi utafika mbali sana, ila before sijaenda kwenye hitimisho naomba niwaulize polisi maana najua polisi wengi hasa wale upande wa FFU wamepita JKT na wengi wao walipenda kuvaa baka baka tatizo ukakamavu wa kiraia yaani polisi uliwapenda zaidi, swali la kwanza! police ni army/military...!? au force!? nendeni mkasome tena tofauti ya maneno haya kwenye lugha ya kiingereza kiswahili kitawapoteza sana kujiita jeshi! pili kwanini CDF yaani mkuu wa jwtz anaitwa mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama na sio IGP..!? tatu kwanini vyeo vya military/army mfano jwtz/tpdf vinaitwa ni international ranks iwe ni askari wa kawaida au afisa wa jeshi.!? nne kwanini majeshi yote duniani yanatumia neno"defense force" na sio polisi...!? tano kwanini jeshi lina police wake na mahakama zake..!?, kwanini nyinyi polisi msitumike jeshini..!? mkinijibu nitarudi tena, muwe mnaambian ukweli polisi, chuki zenu kwa jeshi hazitasaidia, msitake kujiona mko sawa na watu waliofukuza M23 kule congo mtaumia!!!

Kijana acha kuropoka unaaibisha wanajeshi.

Cdf hajawahi na hatakuja kuwa mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama,huyu ni mkuu wa jeshi la ulinzi.

I bet hujui hata tofuti kati ya army na force.

Eti vyeo vya jwtz ni international,hata vya polisi duniani kote ni sawa tofauti ni isignia ambayo hata jwtz inatofautiana na majeshi ya inchi nyingine.au ukisikia ASP unadhani anapatikana tz tu!!!!

Halafu hata jeshi lenyewe hulijui,eti lina police wake,MP unajua ansgughulika na nini,au kisa umeona polisi hapo mbele ukajua kila kitu poa
 
Nyerere alikua na malengo mazuri sana kuwafanya watu wote/vijana wote wapitie JKT lakini baadaye ilikuja kushindikana kwa sababu za kiuendeshaji, ingawa sasa naona hali imeanza kurudi taratibu.

Mkuu, siyo magereza tu, askari yeyote wa jeshi lolote, liwe la police, magereza, uhamiaji, JWTZ, humpigia salute askari aliyejuu yake ktk maana ya Rank za kijeshi.

Kwa maana hiyo, hata wa JWTZ humpigia salute askari wa jeshi lingine lolote liwe police, magereza nk, kinacho matter ni kuzidiana RANKS za kijeshi.
sahihi kbs
 
Hahahahaha! police naona wameitana wanatoka povu wanamtetea IGP wao, wanapenda kujifananisha na militarized officers! naitabiria huu uzi utafika mbali sana, ila before sijaenda kwenye hitimisho naomba niwaulize polisi maana najua polisi wengi hasa wale upande wa FFU wamepita JKT na wengi wao walipenda kuvaa baka baka tatizo ukakamavu wa kiraia yaani polisi uliwapenda zaidi, swali la kwanza! police ni army/military...!? au force!? nendeni mkasome tena tofauti ya maneno haya kwenye lugha ya kiingereza kiswahili kitawapoteza sana kujiita jeshi! pili kwanini CDF yaani mkuu wa jwtz anaitwa mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama na sio IGP..!? tatu kwanini vyeo vya military/army mfano jwtz/tpdf vinaitwa ni international ranks iwe ni askari wa kawaida au afisa wa jeshi.!? nne kwanini majeshi yote duniani yanatumia neno"defense force" na sio polisi...!? tano kwanini jeshi lina police wake na mahakama zake..!?, kwanini nyinyi polisi msitumike jeshini..!? mkinijibu nitarudi tena, muwe mnaambian ukweli polisi, chuki zenu kwa jeshi hazitasaidia, msitake kujiona mko sawa na watu waliofukuza M23 kule congo mtaumia!!!
Elimu ndogo ndio tatizo lako!
 
JWTZ wanaumoja sifikiri kama wataadhibiana kwa sababu ya kosa alofanyiwa askari.

Nahisi askari ni kikosi kinachodharaulika mbele ya JWTZ
 
Back
Top Bottom