Nilikuwa nawasoma nijue comment zenu. Huu sasa ndo ukweli:
Vyeo vya jeshi utavitambua kwa njia mbalimbali mfano sare zao za jeshi. Mwanajeshi anayeruhusiwa kuvaa suti za jeshi ni maofisa tu Yaani warranty officer class 2 kwenda mbele Yaani afisa mteule daraja LA pili hadi general
Jeshini kuna commissioner na non commissioner. wanajeshi wote wa jwtz walio na nyota ni commissioner .
Wasio na nyota ni non commissioner.
Cheo cha Kamishna wa jwtz na polisi upewa na Rais, Inshort polisi mwenye ngao na nyota ni kamishna na jwtz ambao wanaanzia nyota moja ni makamishna.
Rais uwapa kamisheni jwtz kuanzia nyota moja huku polisi upewa kamisheni kuanzia kamishna msaidizi wa polisi(DEPUTY COMMISSIONER OF POLISI/ anakuwa na nyota na ngao)
kwahiyo wanajeshi ambao ni non commissioned uwapigia salute polisi kuanzia wale vyeo upewa na Rais Yaani kuanzia Deputy commissioner of police( kamishna msaidizi wa polisi).