Chura
Platinum Member
- Sep 22, 2009
- 1,425
- 2,528
CGP akitembelea lugalo base kwa ziara ya kikazi unajua kuwa atachapwa saluti na Wajeshi hii ni heshima tu kwa visitor, tena hususani visitor akiwa manyota wa chombo kingine so usiwaze sana.Meja jenerali, Gaudence Milanzi akisalimiana na Maafisa waandamizi wa jeshi la Magereza.
Hivi ni Magereza pekee au majeshi mengine pia huwapigia salute JWTZ
![]()
Sherehe za jeshi akialikwa Polisi mf kufunga mafunzo JKT akaenda ACP wa polisi unakuta Kanali anamchapa saluti kiroho safi..
Kiprotakali sasa nakujenga mzee Afisa wa jeshi anaweza kuwa mkuu wa vyombo vingine vyote vya ulinzi na usalama mf BG anaweza akawa IGP, CPG, CGI, DGIS, CGF nk.... Afisa wa polisi anaweza kuwa mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mpaka wavaa suti lakini sio JWTZ yes mf CP anaweza kuwa DGIS, CPG, CGI, CGF, Mkurugenzi PCCB nk..... inakuja Magereza afu uhamiaji afu wale walio kwenye mfumo wa kiraia.....Yani seniority ya chombo inaenda inapungua kutokana na uwezo wa chombo kutoa mkuu kwenye chombo kingine.
Maana yangu ni hii kwenye ulinzi na usalama Jeshi la mipaka ni oversee wa vyombo vingine vyote vya ulinzi na usalama ndo maana CDF ni mwenyekiti wakuu wa vyombo wakat Rais akiwa Mwenyekiti wa kuu taifa sijui unanielewa?