Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,921
😀 Inasikitisha sana.Mkuu ile ya msukuma niliimaliza mbona si ndiyo alinitwanga ngumi penzi letu likaishia hapo
😀 Inasikitisha sana.Mkuu ile ya msukuma niliimaliza mbona si ndiyo alinitwanga ngumi penzi letu likaishia hapo
Ulijua wajinga hufa wakiwa vijana?Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.
Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.
Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.
Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.
Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.
Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
Hata mimi nimehisi hivyo maana kuhusu ndoa alikuja kuniambia baadae hadi tukae kwanza anichunguze, yaani tuwe hata tunaishi wote, hapo nikawaza huyu anataka kunichakaza.Huyo alikuwa anatafuta mapoozeo tu. Kuna tofauti kati ya kupenda na kutamani. Mwanamke ukiweza kutofautisha haya wala haikusumbui.
Nimesikitika sana, mzee kuwa wa hovyo hiviUlijua wajinga hufa wakiwa vijana?
Huwa wanazeeka pia
fanya haraka ukikaidi utapigwa2Ngoja nipumuzike sasa nisije nikapigwa jiwe la kichwa bure
Alilia sana na kujutia hajawahi kuheal kabisa maana hakuna mwanamke atakayeweza kumvumilia kama niluvyomvumilia mimi, yaani mtu wivu mwingi kuhudumia kwa manati😂😂 sema alinikutaga bado sina akili vizuri.😀 Inasikitisha sana.
Sawa mkuufanya haraka ukikaidi utapigwa2
Mkuu hii ni kahawaHii Chai au Chibuku ?
Siyo kwa huyu mzee nitapata laana bureNENDA WEWE KILELENI KUTAMU
Inasikitisha sanaNa wahuni huzeeka pia,wapumbavu huzeeka na upumbavu wao,usidhani mvi za wapumbavu huwala hekima
Achana na huyo Mzee njoo kwangu nitakuwa nakupaisha mawinguni Kila tunapotenda tendo la ndoa.Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.
Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.
Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.
Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.
Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.
Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
Loh! Huko si ntaanguka nivunjike na kiunoAchana na huyo Mzee njoo kwangu nitakuwa nakupaisha mawinguni Kila tunapotenda tendo la ndoa.
La hasha.Loh! Huko si ntaanguka nivunjike na kiuno
Anataka afike ngarenaro kwanza kabla ya kufika Kilimanjaro yaani download sectionHutaki mzee akufikishe huko kilimanjaro
Funga macho, nenda tu ! Vijana wanaisugua ila hawana cash , huyo mzee anaweza kuweka hapo mkono pakakucha bila bila na utahudumiwa vizuriNi mnene ana likitambi nimemuogopa
Inavyoonekana huyu anapenda sana mizagamuano asije akanikeshea akhaaa, sitakiFunga macho, nenda tu ! Vijana wanaisugua ila hawana cash , huyo mzee anaweza kuweka hapo mkono pakakucha bila bila na utahudumiwa vizuri
Akhaa! Waonyeshe wengineLa hasha.
Kama huamini njoo ujionee mwenyewe
Acha hivyo basi.Akhaa! Waonyeshe wengine