Kumbe kuna wazee wa hovyo hivi hapa Duniani

Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.

Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.

Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.

Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.

Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.

Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
Huyo alikuwa anatafuta mapoozeo tu. Kuna tofauti kati ya kupenda na kutamani. Mwanamke ukiweza kutofautisha haya wala haikusumbui.
 
Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.

Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.

Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.

Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.

Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.

Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
Haya basi njoo kwangu. Mimi Mzee mwaminifu.
 
Kwanza umetuchosha na tunachoshana, nimekuja kugundua huyo mbabu wa miaka46 na wengine unaowasimulia zote ni chai, story ya ukweli ya msukuma hauileti unaificha!

Mpenzi wako asiongee na wewe kuhusu mzabzabuano, unataka ajadili na wewe kuhusu kuchukua fomu ya ubunge ama!
Mkuu ile ya msukuma niliimaliza mbona si ndiyo alinitwanga ngumi penzi letu likaishia hapo
 
Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.

Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.

Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.

Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.

Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.

Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
Kwahiyo binti sayuni umeolewa na ndege JOHN sasa unaitwa Mama Ndege ?
 
unadhani hadi tajiri kufuta tatoo na kuchora tatoo ya masikini ni mchezo, mambo magumu kwa wanajukwaa!
Ngoja nipumuzike sasa nisije nikapigwa jiwe la kichwa bure🥲😁
 
Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.

Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.

Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.

Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.

Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.

Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
NENDA WEWE KILELENI KUTAMU
 
Back
Top Bottom