Kumbe kuna wazee wa hovyo hivi hapa Duniani

Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.

Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.

Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.

Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.

Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.

Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
Wewe unataka kupanda milima ya Kibangu tu?
 
Mimi nimekereka tu kumuita kijana wa miaka 46 mzee. Mwanaume mwenye miaka46 ni kijana mdogo sana acha kumzeesha.
 
Sasa miaka 46 ndio mzee mbona unataka kunizeesha binti sayuni, unataka uninyime nini?
 
Tafuta watoto wenzako wakuoe, achana na sisi wazee, kwanza hamshindwi kutuua nyie.
 
Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.

Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.

Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.

Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.

Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.

Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
Asipo ongelea ngono atapoteza TOUCH kama yule wa 53yrs alie ambiwa akivua cheni napoteza TOUCH
 
Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.

Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.

Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.

Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.

Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.

Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
Na mie nakula ujana, angeenda kukuchuna ngozi
 
Hahaha! Mtu wa makamu kafeli kitu kidogo sana, kwamba umemgundua hana mipango thabiti ya kimaisha zaidi ya kuwaza ngono!
 
Back
Top Bottom