Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,014
- 57,830
Uko poa lakini? 🤣🤣🤣Asante kwa kushiriki
Uko poa lakini? 🤣🤣🤣Asante kwa kushiriki
Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.
Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.
Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.
Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.
Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.
Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
Duh! Ya nini kujitesa si aoe tuHuyo Mzee alikuwa anakutumia kupiga puli
Wakina nani?Muachage umalaya
Niko poa, mbona unanicheka kaka mkubwa?Uko poa lakini? 🤣🤣🤣
Ndiyo sitaki majaribio mieAcha hivyo basi.
Itabidi nirudie ID ya zamani hii nanyanyasika sanaKumbe ulibadili I'd bila kutujulisha... Nilikumiss eti 😇
Mzee mpenda mambozUmeogopa ligi ya mzee
Mzee mpenda mambozUmeogopa ligi ya mzee
Rudisha ileile au uniambie unaishi wapi, unapenda nini, rangi yako pamoja na umbo lako nikuchagulie jina 🤗Itabidi nirudie ID ya zamani hii nanyanyasika sana
T-shirt umeleta kweli mh ila tutakula tshet?Nenda upelekwe milimani huko k'njaro !
"Niliwaahidi t-shirt nimeleta sijaleta ?
we mpe uone kama utafika kilimanjaroMzee mpenda mamboz
Yangu siyo ya mazoezi, akale huko anapokulaga😂😂we mpe uone kama utafika kilimanjaro
Muungwana ni vitendo
Yangu siyo ya mazoezi, akale huko anapokulaga
Niko poa, mbona unanicheka kaka mkubwa?