Kumbe kuna wazee wa hovyo hivi hapa Duniani

Kumbe kuna wazee wa hovyo hivi hapa Duniani

Mbona kama tuna complicate life ?; Quid Pro Quo wewe ukiona kuna kitu unapata huko na yeye kuna kitu anapata kutoka kwako mnaingia katika contract....



So long as kila mtu ananufaika kwa namna moja au nyingine nadhani its all good; Tatizo ni watu kutokuwa na matarajio realistically. Tena bora anayekudanganya atakuoa alafu hakuoi kuliko anayekuoa na kukuweka gerezani (abuse).... Ukizingatia akufukuzaye hakwambii Toka...

hizi ndoa za chap chap nazo zina shida , unakuta mtu anataka kumtumia mwanamke kwa miaka 2 au 3 anatangaza ndoa anafyonza utamu wote then after 2 or 3 years anabwaga

 
Back
Top Bottom