elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
Mind ukiiset kuamini kitu flani basi utatafta jinsi yoyote kujustify unaloamini.
kuna watu uwa wanaimani za kurogwa basi wao uwa wanaenda kwa waganga daily hasa wasipofanikiwa hata ikiwa hawafanikiwi kwa uzembe na uvivu wao.
Kwanini ufikirie kuwa hizo ni sita, kwanini usifikirie kuwa ni kitu kingine maana kwa kutazama tu huzioni hizo sita mpaka u set mind yako ili kuziona.
Freemasons sijui nini mimi naona nyingi ni story za kahawa tu wanazopenda watu kusikia