Kumbe kuna ushetani ndani GOOGLE CHROME

Kumbe kuna ushetani ndani GOOGLE CHROME

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......
 
We unaamini kama duniani kuna shetani ?
 
Weka picha ya hiyo nembo ili tukubali wazo lako !
 
We unaamini kama duniani kuna shetani ?

Duh! Kasheshe! yaani wewe u binadamu mwenye nafsi na mwili kisha unadai hakuna Shetani? Si ajabu wewe kusema hakuna Mungu. kumbuka Mungu ni Roho na hata Shetani ni roho. hawaonekani kwa macho.
 
Na wewe unaamini Duniani kuna Shetani ?
 
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......

Ukiambiwa microchips zote zina alama ya 666 utaacha kutumia electronics zote zenye microchips?

Hakuna ushahidi kwamba kuna mungu wala shetani.

Mengine yote ni details.
 
Duh! Kasheshe! yaani wewe u binadamu mwenye nafsi na mwili kisha unadai hakuna Shetani? Si ajabu wewe kusema hakuna Mungu. kumbuka Mungu ni Roho na hata Shetani ni roho. hawaonekani kwa macho.

jamaa hajasema kama anaamini au haamini uwepo wa shetani ila amekuuliza wewe unaamini uwepo wa shetani?
 
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......

Una uhakika gani kuwa hicho kifaa chako ulichotumia kuwa hakina alama ya sita tatu? Ukiambiwa kuna alama ya sita tatu unafanyaje!?
 
jamaa hajasema kama anaamini au haamini uwepo wa shetani ila amekuuliza wewe unaamini uwepo wa shetani?

Ndiyo. Udhihirisho wake ni uovu unaotendeka huku duniani. Mtu ye yote anayetenda yaliyo kinyume na Mungu ana roho ya Shetani.
 
ndio maana waafrica hasa watanzania tuna kufa maskini.
 
Weka picha ya hiyo nembo ili tukubali wazo lako !

google-chrome-logo.jpg
 
Sasa unashangaa nini, tunaoamini uwepo wa Mungu na shetani pia tunaamini kuwa shetani anacontrol dunia. Maadamu unaishi kubaliana na hayo vinginevyo fanya mpango u R.I.P faster.
 
Sasa unashangaa nini, **na*amini uwepo wa Mungu na shetani pia **naamini kuwa shetani anacontrol dunia. Maadamu unaishi kubaliana na hayo vinginevyo fanya mpango u R.I.P faster.

Nimefanya correction ya sentensi yako hapo juu!
 
Sasa huyo Shetani au huo ushetani wa Google Chrome ume kuaffect nini labda katika kumtafuta Mungu...

Na je ukiambiwa Mozila,explorer,Opera,Ucbrowser n.k zote zina alama za shetani utaacha kabisa na kuingia JF.
 
Back
Top Bottom