Kumbe kuna ushetani ndani GOOGLE CHROME

Kumbe kuna ushetani ndani GOOGLE CHROME

ulichoulizwa sio ulichojibu. ila ubarikiwe sana kwa ufahamu wako.

Kama hutaweza kueleza kwa nini unasema kitu ni haramu kama nilivyouliza hauoni utakua umeishia njiani kwenye jukumu lako la kuelimisha?

Mimi nilipotolea mfano wa maziwa nilimaanisha kwamba, kama kitu hakipo sawa ni lazima upate madhara yake (Yawe ya moja kwa moja kwenye mwili au dhambi). Na kwa mujibu wa Biblia 666 itakapokuja haitakua jambo la siri na mtu atapokea kwa hiari yake. Ndio maana nikasema kama 666 ipo kwenye google chrome na sijapata impact yake, kwa nini niamini kwamba 666 inayoongelewa kwenye Biblia ndio hiyo iliyopo kwenye chrome ambayo nayo inaonyeshwa kwa taabu?

Bila kuongelea chochote kuhusu dhana iliyokua kwenye post yangu, ukauliza kwamba hivyo vitu ni haramu? Ulitaka nisemeje kama husemi ni kwa mtazamo upi? au ulitaka tu ni jibu kitu ambacho hakijakaa sawa?
 
Sasa kama ukiangalia huzioni basi huyo shetani 666 hawezi kukuletea taabu, if at all 666 ni shetani badala ya namba. Na ukisoma tu comment yangu umekwisha maana sita zangu hazikujificha.

Uko sahihi, nategemea kitu chenye madhara kisiwe cha kuelezewa, na 666 za kusaka kwa kurunzi. Unashindwa ushike kipi kwa sababu watu wengi wanakuja na 666 kwenye vitu vingi kitu kinachoonyesha kwamba hata uelewa mzima wa 666 kwa watu huenda ni mdogo au hawaelewi kabisa.

Unajua hii ni sawa na mtu leo aje akwambie kwamba maziwa ni sumu. Kama unajua kwamba maziwa ni sumu na yanaua, na wewe umekua ukitumia maziwa kwa muda mrefu bila kujua kwamba ni sumu, kisha akaja mtu akakwambia kwamba maziwa ni sumu, na wewe ukaacha kutumia bila kuangalia yamekuathiri vipi (Kama kweli ni sumu) itakua si busara.

Kama mleta uzi anajua madhara ya 666 na amekua akitumia google chrome bila kupata madhara ya hiyo 666 matokeo yke anakuja mbio kutoa tetesi za 666, nashindwa kuendelea na maelezo ya kuelezea hiyo hali.
 
You evaded the central question concerning the stated biblical authority against the lukewarm.

The church should heed that scripture and either embrace scrutiny completely or outlaw it vehemently.

It us not doing so, hence going against biblical authority.

I am not sure if you grasped this contradiction, as you have not addressed it.

Your point here is that scrutiny in the scriptures is being done but impartially. Which school of thought advocates that it shouldn't be otherwise but fully? As I stated before, the problem here is that you are trying to employ your own means of knowledge inquiry into a discipline that they (such means) are completely irrelevant!
 
I talked about the scriptures specifying thst the lord despises the lukewarm, and that he will vomit them out.

That they have to be hot or cold, for scrutiny or not.
 
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......

Shetani Mkuu ni UPEO WAKO. ukiwa na upeo/akili ndogo wajanja watakutumia na kukuweka bize na mambo ya kijinga. Amka.
 
Hahaha, kwahyo ukitumia na wewe unakuwa unamwabudu?
 
Ndio nembo yenyewe hiyo?Hizo 666 ziko wapi?mbona sijaziona,nisaidie kuzitambua mkuu!
Hakikaa mimi zezeta ! nimetoa mimacho,kodolea mpaka basi namtafuta huyo kibwengo kwenye hiyo nembo sioni kitu!hebu nitoeni tongo tongo nami nimuone huyo kibwengo!
 
Na barabara wanazojenga STRABAG,zina nembo za Freemasons pia

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mwisho wa dunia upo nautakuja hizi nyingne mbwembwe maana vitabu vya mungu vimeandika
 
Mimi haya maswala ya Freemason nimesha yachoka jamani!! Sasa hizo 666 hata ziwe mpaka Chooni wewe zinakuhusu nini, zinakunyima kula wewe?? Kama huo ushetani si wao kwani wako ???? Acha utahira wewe! Usiishi maisha ya Movie! Yani jitu zima na midevu unaleta mada za kipuuzi hapa! Umelazimishwa kutumia Google? Alaaaah
 
Je?? SAMSUNG, TECNO, HTC, NOKIA, LG

Naombeni mwongozo....
 
Mimi haya maswala ya Freemason nimesha yachoka jamani!! Sasa hizo 666 hata ziwe mpaka Chooni wewe zinakuhusu nini, zinakunyima kula wewe?? Kama huo ushetani si wao kwani wako ???? Acha utahira wewe! Usiishi maisha ya Movie! Yani jitu zima na midevu unaleta mada za kipuuzi hapa! Umelazimishwa kutumia Google? Alaaaah
imeandikwa : maisha si kula na kunywa tu
 
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......
mie nimeona 999. jee pia niache kutumia chrome??
 
Shetani alishakufa miaka ya zamani sana kipindi cha Garika kuu enzi za Noa sasa huyu unaemzungumzia hapa sijui ni nani labda mzimu wake anyway usitumie hiyo google chrome usije ukaenda motoni
 
Tusifundshane Uwoga?
Kama Watoa Ushuhudah Makanisani Tupo Nao Wote Apa Duniani Tuna Washanga Wanaenda Madhabahuni Eti Walikua Mbinguni Au Walitoka Kuzimuni Jamani
Aya Maisha Bwana Ni Shidah Duh
,
 
Kutojua maandiko kazi kweli kweli. Mnawafanya watu kama Kiranga wapate sababu za kuendelea kujidanganya.
Where is new Soda with name Sprite 666?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom