kama ulikuwa hujui hata WWW=666. Kila URL tunaanza na WWW hii ni sawa na 666 kwamba umekiri kumsujudia shetani ndo unaanza kuperuzi humu mitandaoni.

Mara zote mawazo haya huwa wanayo wanao sali makanisa ya kilokole nahisi na wewe ni mmoja wao.
human stupidity is infinity - Einstein
Hahahaaa
hapana mkuu umekosea ramli sipo pande hizo.