KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 876
Huu ni uongo mkubwa huwezi kutudanganya hapa juu ya Kakobe!!!Kakobe alianza kuaminisha watu mnazi mmoja kwa kutebmea kwenye kamba. Cahnga la machoooooooooooooooooooooooooo.
View attachment 127324
Huyu hoja zake zimetikisa CCM hada kuyumba na haya ndo matokeo yake/
Mkuu hukumuona pale Jangwani wakati wa Maandamano ya Katiba mpya??
Acha utapeli wa mawazo!!