Serikali ni vema kujua kuwa wananchi wengi ni masikini sana na wenye shida nyingi kimaisha. Pia idadi kubwa ya watu hawana elimu na hawana uwezo wa kuchanganua utapeli na ukweli. Sasa sio vema Serikali kukaa kimya na kuacha jamii ikizidi kut
Hata kama serikali haina dini lakini sio vema kuruhusu uholela unaopitiliza. Serikali ni vema kujua kuwa wananchi wengi ni masikini sana na wenye shida nyingi kimaisha, pia idadi kubwa ya watu hawana elimu na hawana uwezo wa kuchanganua utapeli na ukweli. Sasa sio vema serikali kukaa kimya na kuacha jamii ikizidi kutapeliwa tu.
Wapo wachungaji wengi tu ambao ni wa kweli katika kazi zao lakini wapo wengine wachache ambao ni matapeli sana. Kuhusu mchungaji mashimo sina haja ya kuulezea utapeli wake lakini serikali ikitaka kumjua ni siku mbili tu. Licha ya utapeli wa kutumia huduma ya injili lakini ameshakuwa na kiburi sana, nakumbuka miezi kama mitatu nyuma nikiwa mbezi stand nikashangaa alivyokuwa anawatukana watu maneno yasiyofaa , yaani alitoka kwenye neno la mungu na kuanza kufokea watu kwa hasira na kuwatishia kisa tu walionyesha kutokukubaliana naye.
Pia ni aina ya mtu anayependa kujitengenezea ujiko wa utabiri kama juzi alivyosema kuwa siku kadhaa zinazokuja taifa litazizima kwa majonzi maana mungu atamuondoa kiongozi mmoja mkubwa ili taifa lipone. Mashimo akipitisha bakuli lake la sadaka akiona mtu hachangii anatoa neno la dhihaka.
Kuna scenario nyingi sana zisizofaa za huyu mtu ambazo kama serikali ya wilaya ya ubungo ingekuwa makini na inayojali maadili ingeshampiga marufuku kuhudumu katika stand ya mbezi. Hata maadili hana na pia hana lugha ya staha anapoongea mbele za watu , mara kadhaa unakuta anataja mkundu, mikundu nk nk nk.
Kuna wahubiri wengi tu katika maeneo yale ya stand lakini wana maadili, wanaheshimu na wanathamini utu. Najiuliza huyu mch mashimo yeye ni nani hasa anayeachwa tu na mamlaka za wilaya ya ubungo afanye na kuongea lolote analoona linamfaa yeye hata kama halina afya kwa nchi na jamii.
Pia najiuliza vyombo vyetu vya dola ubungo vinafanya kazi ofisini tu?