Nani kati yetu wana jf ameshawahi kuona ndugu,mwanafamilia kipofu,kiziwi,kilema kaombewa kapona? marehemu kafufuliwa?
Kakobe alianza kuaminisha watu mnazi mmoja kwa kutebmea kwenye kamba. Cahnga la machoooooooooooooooooooooooooo.Watu ni wengi sana!Pembeni lilipaki Hummer kubwa jekundu. Majukwaa makubwa kabisa na maspika yasiyopungua 50 yanaashiria uwepo wa Mch mahiri na kijana kabis Gwajima hapa Morogoro! Waimbaji wakubwa nchini Flora Mbasha,John Lissu na wengine wanasifu kwa bidii sana! Baada ya sifa Mch anaalikwa na anaanza kuhubiri sana kuhusu uchawi. Ameelezea aina za misukule na kwa nini hakumrudisha Amina Chifupa. Amepiga mkwara sana na kusema leo wanarudishiwa uhai.
Kweliii...
Baada ya mahubiri anaomba kwa bidii na kuita njoooo... Watu kadhaa wanaanguka chini, wengine wanatembea kama wanyama, wengi wanakimbia kwenda mbele, baadhi ya watu wanakimbia kuogopa mikiki mikiki! Wanaoitwa misukule baaadhi wanatoa shuhuda walikokuwa wamefichwa!
Lakini nikajiuliza maswali kadhaa:
1. Mchungaji mbona anautajiri mkubwa sana?
2. Hawa misukule ni halisi na je, ndugu zao watawapokea ikiwa watajua kweli ni wao (maana kuna mmoja kadai alichukuliwa na mpangaji wao miaka 5 ilopita)
3. Hii injili inaelekea wapi? Sio kwamba hapa tunapigwa changa la macho?
4. Kwa uchunguzi mdogo, wengi wanaoenda wanapelekwa na kushangaa misukule, je jamaa anatumia nguvu za Kristu kweli aliye hai?
Please, mwenye historia kidogo ya huyu mchungaji atujuze.
Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Jamani naombeni niwaulize kwa pamoja!
'hivi kuna misukule wa kizungu'?
Kakobe alianza kuaminisha watu mnazi mmoja kwa kutebmea kwenye kamba. Cahnga la machoooooooooooooooooooooooooo.
View attachment 127324
Mtaje huyo mchungaji, "ukweli utawapeni uhuru"Hiyoo siyoo misukulee ni usanii tuu, kuna chuo kbsaa cha kufunza misukule kipo huku Maeneo ya Ubungo cha mchungaj fulan maarufu hivii,,,, ngoja niishie hapa kwa leo
Mimi pia nimewahi kuombewa na nikapona ila kwa style ya Mch Gwajima, sina amani hata nikiwa ktk mkutano wake!Mimi ndugu zangu wengi wamepona magonjwa mengi kwa kuombewa,mpaka mwenye ukimwi aliombewa
na akapona' Mimi mwenyewe ni shuhuda niko hivi nilivyo kwa sababu ya maombi'
Mimi hapa nimeona na mimi nimeombewa nikapona,acha ushamba fani sio yako unatoa comment kama unajua,onja uone utamu wake.Nani kati yetu wana jf ameshawahi kuona ndugu,mwanafamilia kipofu,kiziwi,kilema kaombewa kapona? marehemu kafufuliwa?
Mkuu nilichokua nazungumzia ni lile hekalu la Suleiman na Kwa sasa Tunaita makanisa! Sijui mpaka hapo nimeweka sawa?
Mimi pia nimewahi kuombewa na nikapona ila kwa style ya Mch Gwajima, sina amani hata nikiwa ktk mkutano wake!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kakobe alianza kuaminisha watu mnazi mmoja kwa kutebmea kwenye kamba. Cahnga la machoooooooooooooooooooooooooo.
View attachment 127324
Umeeleweka mkuu'
Watu ni wengi sana!Pembeni lilipaki Hummer kubwa jekundu. Majukwaa makubwa kabisa na maspika yasiyopungua 50 yanaashiria uwepo wa Mch mahiri na kijana kabis Gwajima hapa Morogoro! Waimbaji wakubwa nchini Flora Mbasha,John Lissu na wengine wanasifu kwa bidii sana! Baada ya sifa Mch anaalikwa na anaanza kuhubiri sana kuhusu uchawi. Ameelezea aina za misukule na kwa nini hakumrudisha Amina Chifupa. Amepiga mkwara sana na kusema leo wanarudishiwa uhai.
Kweliii...
Baada ya mahubiri anaomba kwa bidii na kuita njoooo... Watu kadhaa wanaanguka chini, wengine wanatembea kama wanyama, wengi wanakimbia kwenda mbele, baadhi ya watu wanakimbia kuogopa mikiki mikiki! Wanaoitwa misukule baaadhi wanatoa shuhuda walikokuwa wamefichwa!
Lakini nikajiuliza maswali kadhaa:
1. Mchungaji mbona anautajiri mkubwa sana?
2. Hawa misukule ni halisi na je, ndugu zao watawapokea ikiwa watajua kweli ni wao (maana kuna mmoja kadai alichukuliwa na mpangaji wao miaka 5 ilopita)
3. Hii injili inaelekea wapi? Sio kwamba hapa tunapigwa changa la macho?
4. Kwa uchunguzi mdogo, wengi wanaoenda wanapelekwa na kushangaa misukule, je jamaa anatumia nguvu za Kristu kweli aliye hai?
Please, mwenye historia kidogo ya huyu mchungaji atujuze.
Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu kama umenisoma vizuri, pale mwishoni nimesema nina wasiwasi na observation yako kama ni sahihi. Sentensi hiyo haina maana kwamba nimekupinga. Nilikuwa natafuta kujua zaidi kutoka kwako. Biblia ni kitabu chenye neno la Mungu. Na neno la Mungu lilienezwa dunia kote kupitia taasisi mbali mbali ambazo ndizo hizo wewe unakataa kwamba hazipashiw kuwepo au kuwepo kwake ni batili. Sasa niambie kwa kifupi tu, dini ipi ni halali ambayo haikupitia kwa jina la mji ilikoanzishiwa au kuna na jina la Mwanzilishi.
Tiba