Kumbe hii ndiyo Misukule ya Mchungaji Gwajima?

Status
Not open for further replies.
Watu ni wengi sana!Pembeni lilipaki Hummer kubwa jekundu. Majukwaa makubwa kabisa na maspika yasiyopungua 50 yanaashiria uwepo wa Mch mahiri na kijana kabis Gwajima hapa Morogoro! Waimbaji wakubwa nchini Flora Mbasha,John Lissu na wengine wanasifu kwa bidii sana! Baada ya sifa Mch anaalikwa na anaanza kuhubiri sana kuhusu uchawi. Ameelezea aina za misukule na kwa nini hakumrudisha Amina Chifupa. Amepiga mkwara sana na kusema leo wanarudishiwa uhai.
Kweliii...
Baada ya mahubiri anaomba kwa bidii na kuita njoooo... Watu kadhaa wanaanguka chini, wengine wanatembea kama wanyama, wengi wanakimbia kwenda mbele, baadhi ya watu wanakimbia kuogopa mikiki mikiki! Wanaoitwa misukule baaadhi wanatoa shuhuda walikokuwa wamefichwa!
Lakini nikajiuliza maswali kadhaa:
1. Mchungaji mbona anautajiri mkubwa sana?
2. Hawa misukule ni halisi na je, ndugu zao watawapokea ikiwa watajua kweli ni wao (maana kuna mmoja kadai alichukuliwa na mpangaji wao miaka 5 ilopita)
3. Hii injili inaelekea wapi? Sio kwamba hapa tunapigwa changa la macho?
4. Kwa uchunguzi mdogo, wengi wanaoenda wanapelekwa na kushangaa misukule, je jamaa anatumia nguvu za Kristu kweli aliye hai?
Please, mwenye historia kidogo ya huyu mchungaji atujuze.
Asanteni.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Kwani ilivyoandikwa katika Bible juu ya Wahubiri wa Uoongo ulidhania wakija watakuwa na label-HII NI MAIGIZO\UTANI TUU (usijaribu nyumbani)? Vitu vingine jamani tutumie waiitayo Common sense (japo siyo common kabisaaaa)
 
Mchungaji kuwa tajiri sio neno bali wanaojenga hoja hiyo ni wale wanao wadharau watumishi wa Mungu na mara nyingi wanatoka CCM

Ukweli hapo ni kwamba hoja ya kuita misukule inakiuka imana kwa kuwa neno la Mungu linasema kuwa Mtu akisha kufa ,hakuna anayeweza kuwasiliana naye tena.
Hakuna mawasiliano na wafu!!!
Hii ndio ponit ya msingi, kwamba ni kwa vip Huyo anayejiita Mchungaji wa Misukule awasiliane na wafu wakati ni dhambi kufanya hivyo??

Hoja ya pili Mch Gwajima anadai ameitwa kwa huduma ya misukule tu , huduma ambayo ni dhambi kwa kuwa huwa inafanywa na waganga wa kienyeji kuwatapeli wasiomjua Kristo!!!

Mch Gwajima ana amini katika vifo vya utata na vifo visivyo kuwa na utata.
Mbele za Mungu kifo ni kifo tu na Kila mtu amewekewa kufa na baada ya kufu ni hukumuEbra 9:27.
Kazi ya kupambanua kifo chenye utata ni ya polisi kwa mambo ya Dunia , hivyo Mch Gwajima anawatapeli watu kwa kutumia mtazamo wa Polisi.

Suala la kumufufua mtu aliyekufa lipo lakini kazi hiyo Yesu aliifanya kwa uwazi na katika ya umati wa watu!!!
Sasa Gwajima huwa anafufua watu kwa siri ambapo maiti huwa haionekani ,harafu anasema wamefufuka!!! Huu ni utapeli nakumbuka kuna watu walimpelekea maita kutoka Amana pale Kawe akashindwa
 
Watu ni wengi sana!Pembeni lilipaki Hummer kubwa jekundu. Majukwaa makubwa kabisa na maspika yasiyopungua 50 yanaashiria uwepo wa Mch mahiri na kijana kabis Gwajima hapa Morogoro! Waimbaji wakubwa nchini Flora Mbasha,John Lissu na wengine wanasifu kwa bidii sana! Baada ya sifa Mch anaalikwa na anaanza kuhubiri sana kuhusu uchawi. Ameelezea aina za misukule na kwa nini hakumrudisha Amina Chifupa. Amepiga mkwara sana na kusema leo wanarudishiwa uhai.
Kweliii...
Baada ya mahubiri anaomba kwa bidii na kuita njoooo... Watu kadhaa wanaanguka chini, wengine wanatembea kama wanyama, wengi wanakimbia kwenda mbele, baadhi ya watu wanakimbia kuogopa mikiki mikiki! Wanaoitwa misukule baaadhi wanatoa shuhuda walikokuwa wamefichwa!
Lakini nikajiuliza maswali kadhaa:
1. Mchungaji mbona anautajiri mkubwa sana?
2. Hawa misukule ni halisi na je, ndugu zao watawapokea ikiwa watajua kweli ni wao (maana kuna mmoja kadai alichukuliwa na mpangaji wao miaka 5 ilopita)
3. Hii injili inaelekea wapi? Sio kwamba hapa tunapigwa changa la macho?
4. Kwa uchunguzi mdogo, wengi wanaoenda wanapelekwa na kushangaa misukule, je jamaa anatumia nguvu za Kristu kweli aliye hai?
Please, mwenye historia kidogo ya huyu mchungaji atujuze.
Asanteni.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

MIUJIZA:MTOTO ALIYEKUWA AMEFARIKI AOMBEWA NA KUFUFUKA....!!

DSCN0932.JPG

Mtoto aliyefufuka (katikati) akiwa ameshikwa na Mch. Gwajima (kulia) na Mch. Costa (kushoto)

Ni jumapili tulivu katika viwanja vya kanisa jipya la Ufufuo na Uzima jijini Arusha; ambapo
Mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Tanzania, Mch. Josephat Gwajima ameendelea na ziara yake mkoani humo kwa kuwafundisha viongozi wapya wa masomo ya kumtumikia Mungu maarufu kama Potential shepherd. Mwisho wa Ibada ya Asubuhi ambayo ilitawaliwa na mafundisho zaidi ilifungua pazia kwa ibada ya jioni ambayo ilikuwa ni fursa kwa wale ambao hawakuweza kuwepo asubuhi nao kushiriki.

Majira ya saa kumi kamili, sifa zilivuma na baadaye kufuatiwa na ukaribisho wa Mch. Gwajima kutoa neno la Uzima. majira ya saa kumi na mbili kasoro;
akaingia mama mmoja katikati ya ibada akiwa amembeba mwanaye ambaye kwa muonekano wa awali alikuwa amelegea mwili wote yaani amekufa.
Mama huyo ambaye alikuwepo katika mafundisho ya asubuhi na kujiunga na mafundisho hayo ya potential shepherd; aliendelea kusema kuwa baada ya kuona mwanaye hapumui wala mapigo ya moyo hayasikiki hakuona msaada wa haraka zaidi ya kumkimbiza kanisani hapo Ufufuo na Uzima.

DSCN0933.JPG
Aliingia kanisani wakati Mch. Josephat Gwajima akiwa anahubiri hivyo kupokelewa na Mchungaji Msaidizi aitwaye Yeconia Bihagaze ambaye alimuombea mtoto huyo palepale na muda mfupi uliofuata mtoto alifufuka kutoka kwa wafu. Mungu ameendelea kudhihirisha neno la Mchungaji Josephat Gwajima ndani ya jiji la Arusha hali inayosababisha maelfu ya watu kuingia na kutoka katika viwanja hivyo kwaajili ya maombezi.

1402325_545849728823174_1255083214_o.jpg

Jackson Benty akiimba katika ibada kanisani hapo.
Hata hivyo GK ilipotaka kupata maelezo zaidi kuhusiana na mambo yalivyokuwa mpaka mtoto huyo kufikishwa madhabahuni, mwanahabari wetu kutoka Ufufuo hakupata nafasi ya kukutana na mama huyo kwa maelezo zaidi kutokana na mwanahabari wetu kutingwa na kazi nyingi za media kanisani hapo.

DSCN0935.JPG

Mchungaji Gwajima akifundisha kanisani hapo. Picha na shuhuda zaidi tembelea

mwakasegebibiliablog
 
kama ulitoa sadaka nakupa pole. huyo ni msanii kama masanja ila yeye anatishia watu kwa majini. misukule n.k. ni wapi kwenye biblia misukule imetajwa. hana lolote mwizi tu huyu.

kwani hiyo sadaka ya sh 500 ndo inatosha kununua hili Hammer?
 
Watu ni wengi sana!Pembeni lilipaki Hummer kubwa jekundu. Majukwaa makubwa kabisa na maspika yasiyopungua 50 yanaashiria uwepo wa Mch mahiri na kijana kabis Gwajima hapa Morogoro! Waimbaji wakubwa nchini Flora Mbasha,John Lissu na wengine wanasifu kwa bidii sana! Baada ya sifa Mch anaalikwa na anaanza kuhubiri sana kuhusu uchawi. Ameelezea aina za misukule na kwa nini hakumrudisha Amina Chifupa. Amepiga mkwara sana na kusema leo wanarudishiwa uhai.
Kweliii...
Baada ya mahubiri anaomba kwa bidii na kuita njoooo... Watu kadhaa wanaanguka chini, wengine wanatembea kama wanyama, wengi wanakimbia kwenda mbele, baadhi ya watu wanakimbia kuogopa mikiki mikiki! Wanaoitwa misukule baaadhi wanatoa shuhuda walikokuwa wamefichwa!
Lakini nikajiuliza maswali kadhaa:
1. Mchungaji mbona anautajiri mkubwa sana?
2. Hawa misukule ni halisi na je, ndugu zao watawapokea ikiwa watajua kweli ni wao (maana kuna mmoja kadai alichukuliwa na mpangaji wao miaka 5 ilopita)
3. Hii injili inaelekea wapi? Sio kwamba hapa tunapigwa changa la macho?
4. Kwa uchunguzi mdogo, wengi wanaoenda wanapelekwa na kushangaa misukule, je jamaa anatumia nguvu za Kristu kweli aliye hai?
Please, mwenye historia kidogo ya huyu mchungaji atujuze.
Asanteni.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Wenye macho ya rohoni wanaelewa kinachoendelea
 
Mkuu Tunataka Imani iliyokuja kuwakomboa watu Wote duniani!

Sio Kanisa la jina mtu!

Sio Kanisa la Jina la mji Au nchi!

Sio makanisa ya majina ya waasisi wao Wa zamani Au majina ya mataifa yalikotoka hayo makanisa!

Tunataka Imani isiyo na jina la mtu wala nchi ilikotoko Wala Jina la mji!

Sasa ukitazama majina ya makanisa mengi ni ya miji Au waanzirishi Au nchi, kitu ambacho kwenye bibilia Hakuna.

Someni bibilia Au maandiko mpate maarifa.

Kwa hiyo according to you hata Roman Catholic ni kanisa fake!!!!! Ukifuata hiyo kwenye RED, then hatuna kanisa halali hata moja hapa duniani. Kwa sababu Roman Catholic lina maana ni kanisa la Roma la duniani kote, Lutheran ni linatoka na mwanzilishi Martin Luther, Anglican ni kanisa lilianzishwa na mtawala wa Uingereza na kubeba jina hilo. Nina wasiwasi observation yako haiko sahihi.

Tiba
 
Kwa hiyo according to you hata Roman Catholic ni kanisa fake!!!!! Ukifuata hiyo kwenye RED, then hatuna kanisa halali hata moja hapa duniani. Kwa sababu Roman Catholic lina maana ni kanisa la Roma la duniani kote, Lutheran ni linatoka na mwanzilishi Martin Luther, Anglican
ni kanisa lilianzishwa na mtawala wa Uingereza na kubeba jina hilo. Nina wasiwasi observation yako haiko sahihi.

Tiba

Mkuu Tiba umeupinga uchunguzi wangu Kwa hoja ya mdomoni tu!

Nikuombe kitu kimoja fungua Biblia kuanzia kitabu Cha Mwanzo mpaka Ufunuo Kama utaona makanisa unayoyatetea yapo!?

Narudia tena ktk bibilia Mimi Sijaona hayo makanisa!

Na Kanisa halali Au Imani ya kweli ipo kabisa! Soma maandiko vizuri utaona Imani ya kweli ni ipi!
 
Mkuu kama umenisoma vizuri, pale mwishoni nimesema nina wasiwasi na observation yako kama ni sahihi. Sentensi hiyo haina maana kwamba nimekupinga. Nilikuwa natafuta kujua zaidi kutoka kwako. Biblia ni kitabu chenye neno la Mungu. Na neno la Mungu lilienezwa dunia kote kupitia taasisi mbali mbali ambazo ndizo hizo wewe unakataa kwamba hazipashiw kuwepo au kuwepo kwake ni batili. Sasa niambie kwa kifupi tu, dini ipi ni halali ambayo haikupitia kwa jina la mji ilikoanzishiwa au kuna na jina la Mwanzilishi.

Mkuu nashurukuru Kwa hoja zako Nzuri!

Ningependa turudi kwenye wakati Wa Yesu! Yesu alipokua hapa Dunia alifanya shughuli zake za injili bila kujihusisha na taasisi zilizokuwepo na km unakumbuka kulikua na Kanisa la Mfalme Suleiman na viongozi Wa Kanisa walikuwepo lkn Yesu alikwenda kubatizwa na Yohana Kule kwenye mto Yordan. Na sio viongozi Wa Kanisa Wa wakati ule Ndo waliombatiza!
Hii inaonesha Kua Kanisa Kwa wakati ule lilikua limeacha njia sahihi na kufata mafundisho ya Dunia na ndio maana Yesu alirudi na kuanza kuwafundisha wale viongozi Wa Kanisa! Na Hao Hao viongozi ndio walifanya mpango Wa kumuua Yesu! Kwa Hiyo utaona Yesu hakua na mpango Wa kujenga taasisi na makanisa ki vile!

Nikirudi kwenye hoja yako Kua ni Kanisa gani ndani ya bibilia lisilo jina la mtu Au nchi Au mji!

Nikuombe kwanza wewe ufanye utafiti kuanzia mwanzo mpaka ufunuo uone Kama hayo makanisa yamo!
 
Na ishara hizi zitafuatana na waaminio. (Marko 16:15-17)

Pia ishara kama hizo zitafanywa na manabii wa uongo kuwapotosha watafuta ishara!

We were not called to follow the preachers, but Christ! And if the preacher doesn't present that, then be on your guard!

I personally believe miracles are real, but I don't buy every miracle (much less hii ya msukule). Howver, am not saying that it is impossible to happen, because there is nothing impossible with God. Since my life centres on Christ, I let the "dead bury their dead", and leave everything to God.

Those who move in search for miracles are the ones at risk! Because miracles are with those who believe and aren't meant to be searched for, followed or foundational to our faith. Miracles are the result of one's firm relationship with their Creator!

So is Gwajima's miracles authentic or not? I would bother much about that. if he is preaching Christ, every man's work shall be put to a fire-test! If he preaches anything apart from christ, I would even worry much because he still not the first one to do so (recall Moses and Pharaoh's magicians in Exodus).
 
Mkuu Tunataka Imani iliyokuja kuwakomboa watu Wote duniani!

Sio Kanisa la jina mtu!

Sio Kanisa la Jina la mji Au nchi!

Sio makanisa ya majina ya waasisi wao Wa zamani Au majina ya mataifa yalikotoka hayo makanisa!

Tunataka Imani isiyo na jina la mtu wala nchi ilikotoko Wala Jina la mji!

Sasa ukitazama majina ya makanisa mengi ni ya miji Au waanzirishi Au nchi, kitu ambacho kwenye bibilia Hakuna.

Someni bibilia Au maandiko mpate maarifa.

Kanisa la mchungaji Gwajima linaitwa glory of christ tanzania church maarufu kama ufufuo na uzima, huo sio mji wala jina lake
 
"Glory of Christ Tanzania Church" Tunaweza kulitafuta kwenye maandiko tukalipata? Na Hiyo Tanzania hapo kwenye Jina Ina maana gani? Maana Imani inatakiwa Kua Kwa walimwengu Wote!

Alafu Hilo Kanisa ni Mali ya nani Gwajima Au walimwengu?
 
Watu ni wengi sana!Pembeni lilipaki Hummer kubwa jekundu. Majukwaa makubwa kabisa na maspika yasiyopungua 50 yanaashiria uwepo wa Mch mahiri na kijana kabis Gwajima hapa Morogoro! Waimbaji wakubwa nchini Flora Mbasha,John Lissu na wengine wanasifu kwa bidii sana! Baada ya sifa Mch anaalikwa na anaanza kuhubiri sana kuhusu uchawi. Ameelezea aina za misukule na kwa nini hakumrudisha Amina Chifupa. Amepiga mkwara sana na kusema leo wanarudishiwa uhai.
Kweliii...
Baada ya mahubiri anaomba kwa bidii na kuita njoooo... Watu kadhaa wanaanguka chini, wengine wanatembea kama wanyama, wengi wanakimbia kwenda mbele, baadhi ya watu wanakimbia kuogopa mikiki mikiki! Wanaoitwa misukule baaadhi wanatoa shuhuda walikokuwa wamefichwa!
Lakini nikajiuliza maswali kadhaa:
1. Mchungaji mbona anautajiri mkubwa sana?
2. Hawa misukule ni halisi na je, ndugu zao watawapokea ikiwa watajua kweli ni wao (maana kuna mmoja kadai alichukuliwa na mpangaji wao miaka 5 ilopita)
3. Hii injili inaelekea wapi? Sio kwamba hapa tunapigwa changa la macho?
4. Kwa uchunguzi mdogo, wengi wanaoenda wanapelekwa na kushangaa misukule, je jamaa anatumia nguvu za Kristu kweli aliye hai?
Please, mwenye historia kidogo ya huyu mchungaji atujuze.
Asanteni.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Nimevutiwa sana na namna yako ya uandishi,ni hilo tu.
 
mimi nimewahi kuona kichaa kabisaaa na kilema wanapona baada ya maombezi...though sio maombezi ya siku moja.walifanyiwa maombezi ya kila siku kwa kama wiki mbili na wakapona kabisaaaaa

Je ao vichaa unawafahamu kabla ya kuja kuombewa au umewajulia apoapo?
 
Kwani ilivyoandikwa katika Bible juu ya Wahubiri wa Uoongo ulidhania wakija watakuwa na label-HII NI MAIGIZO\UTANI TUU (usijaribu nyumbani)? Vitu vingine jamani tutumie waiitayo Common sense (japo siyo common kabisaaaa)

Mbona watu tumekuwa tukimpa shetani utukufu, kuliko tunavyompa Mungu utukufu, mtumishi wa Mungu yeyote anapohibiri na miujiza ikatendeka, watu humshambulia kuwa anatumia nguvu za giza, hii inamaanisha Mungu hawezi tenda hayo mambo makuu ila shetani.

Sijawahi kuona mtu hapa JF anasifia na kukubali kazi ya mtumishi wa Mungu yeyote hapa Tanzania!! Kweli sasa naamini lile andiko mungu wa dunia hii (shetani) amepofusha fikra zao isiwazukie nuru ya wokovu!!

Binafsi sijawahi hudhuria kusanyiko la huyo mch Gwajima, lakini si anahubiri kwa jina la Yesu?? Aniaminiye mimi (Yesu) kazi nifanyazo atazifanya, naamu hata kubwa kuzidi hizo
 
Mkuu nashurukuru Kwa hoja zako Nzuri!

Ningependa turudi kwenye wakati Wa Yesu! Yesu alipokua hapa Dunia alifanya shughuli zake za injili bila kujihusisha na taasisi zilizokuwepo na km unakumbuka kulikua na Kanisa la Mfalme Suleiman na viongozi Wa Kanisa walikuwepo lkn Yesu alikwenda kubatizwa na Yohana Kule kwenye mto Yordan. Na sio viongozi Wa Kanisa Wa wakati ule Ndo waliombatiza!
Hii inaonesha Kua Kanisa Kwa wakati ule lilikua limeacha njia sahihi na kufata mafundisho ya Dunia na ndio maana Yesu alirudi na kuanza kuwafundisha wale viongozi Wa Kanisa! Na Hao Hao viongozi ndio walifanya mpango Wa kumuua Yesu! Kwa Hiyo utaona Yesu hakua na mpango Wa kujenga taasisi na makanisa ki vile!

Nikirudi kwenye hoja yako Kua ni Kanisa gani ndani ya bibilia lisilo jina la mtu Au nchi Au mji!

Nikuombe kwanza wewe ufanye utafiti kuanzia mwanzo mpaka ufunuo uone Kama hayo makanisa yamo!

Ndugu yangu, kama una jibu nipe, mimi huo muda wa kufanya "utafiti" kwa kweli sina.

Tiba
 
Hiyoo siyoo misukulee ni usanii tuu, kuna chuo kbsaa cha kufunza misukule kipo huku Maeneo ya Ubungo cha mchungaj fulan maarufu hivii,,,, ngoja niishie hapa kwa leo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom