Kumbe hii ndiyo Misukule ya Mchungaji Gwajima?

Status
Not open for further replies.
Yah, nakubali. Neno ni la muhimu sana ila kama Mungu akikuongoza kufanya chochote kati ya hayo waweza kufanya.

Hii ndio kanuni ya Yesu! Sasa Swali ni kwamba Kwa Mfano Hawa Wachungaji wanafundisha kwanza neno Au wanahubiri Hiyo miujiza?
 
Kimsingi naungana nawe, ila naomba uniongezee maarifa uliyonayo kuhusu hili, kanisa linahusisha taratibu za kuabudu n.k., Hema pia "uyahudi wakati huo". Viliwezaje kwenda sambamba vitu viwili vyenye itikadi tofauti, kwani tunafahamu kanisa na sinagogi "uyahudi" vinapishana baadhi ya misimamo ya kimsingi.
Ndio, lilikuwepo. MATENDO 7:38 ' Yeye ndiye aliyekuwa ktk kanisa jangwani pamoja na yule malaika aliyesema naye ktk mlima Sinai, tena pamoja na baba zetu, ndiye aliyepokea maneno ya uzima atupe sisi.
 
Misukule ni wafu?
Sikumbuki kama nimeliona suala la misukule kwenye Biblia.
Binadam anaweza kuishi kiroho nje ya mwili wake kabla hajafa, na kwa muda gani (kama inawezekana)?

Hilo la binadamu kuishi nje ya mwili labda aje akujibu Pasco au Mshana Jr japo nami nishawahi kusikia kuwa mtu aweza kuuacha mwili wake chumbani na roho yake ikaenda kuishi kwa muda mahali na kufanya mambo mbali mbali. Hapa kuna kitu kinaitwa bi location (google).
Misukule ni watu walochukuliwa kichawi.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kimsingi naungana nawe, ila naomba uniongezee maarifa uliyonayo kuhusu hili, kanisa linahusisha taratibu za kuabudu n.k., Hema pia "uyahudi wakati huo". Viliwezaje kwenda sambamba vitu viwili vyenye itikadi tofauti, kwani tunafahamu kanisa na sinagogi "uyahudi" vinapishana baadhi ya misimamo ya kimsingi.

Edit tena swali lako ili nilielewe kimapana, maana jinsi nilivyolielewa nahisi naweza kukujibu tofauti na wewe ulivyouliza.
 
Sio Kanuni.

Mkuu unapokataa nakua sielewi!

Hebu tuangalie Kazi ya Yesu Kwa ujumla alifanya Vipi!?

Na sisi Kama wanafunzi Wa Yesu yatupasa kuenenda Kama alivyoenenda Yesu!

Sasa unapokubali Kua neno kwanza then nikisema hii Ndo kanuni ya Yesu Alafu unakataa nakua sielewi!

Yesu alifundisha kwanza Yani aliweka neno mbele then pale ilipobidi ndipo alipofanya miujiza! Hakufanya miujiza Kua mbele na Kama angefanya hivyo basi ulimwengu Wote ungaliamini Kwasababu Yesu ndio mfalme Wa MIUJIZA
 
Usijali, nauliza kitu ambacho sikielewi hivyo nashindwa kukijengea picha kieleweke na mtu mwingine.
Ila kama hutojali matendo 7:38, inaongelea malaika yupi? Wa sura ya kijiti?
Edit tena swali lako ili nilielewe kimapana, maana jinsi nilivyolielewa nahisi naweza kukujibu tofauti na wewe ulivyouliza.
 
Hilo la binadamu kuishi nje ya mwili labda aje akujibu Pasco au Mshana Jr japo nami nishawahi kusikia kuwa mtu aweza kuuacha mwili wake chumbani na roho yake ikaenda kuishi kwa muda mahali na kufanya mambo mbali mbali. Hapa kuna kitu kinaitwa bi location (google).
Misukule ni watu walochukuliwa kichawi.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Mkuu ktk bibilia Hilo swala halipo!
 
Wafuasi wa budha wanaamini hivyo, pia baadhi ya wafanyao 'meditation' Paulo kaliongelea kidogo japo si katika mtindo wa kuweza kuuelewa sana kwa mtu kama mimi 2wakorinto 12:1-6
Hilo la binadamu kuishi nje ya mwili labda aje akujibu Pasco au Mshana Jr japo nami nishawahi kusikia kuwa mtu aweza kuuacha mwili wake chumbani na roho yake ikaenda kuishi kwa muda mahali na kufanya mambo mbali mbali. Hapa kuna kitu kinaitwa bi location (google).
Misukule ni watu walochukuliwa kichawi.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Yah, nakubali. Neno ni la muhimu sana ila kama Mungu akikuongoza kufanya chochote kati ya hayo waweza kufanya kwasababu sio sheria kwamba ni lazima Neno kisha ndo Ishara au Ishara kwanza kisha Neno. Inategemea na R/Mtakatifu atavyoamua muda huo.

Hapa ulipo hariri umeongeza vitu ambayo vinapinga sentesi yako ya ukubali Wa neno iliyopo mwanzo!

Na pia unapomzungumzia Roho mtakatifu ktk mazingira haya Mimi nashindwa kuelewa!
 
Hilo la binadamu kuishi nje ya mwili labda aje akujibu Pasco au Mshana Jr japo nami nishawahi kusikia kuwa mtu aweza kuuacha mwili wake chumbani na roho yake ikaenda kuishi kwa muda mahali na kufanya mambo mbali mbali. Hapa kuna kitu kinaitwa bi location (google).
Misukule ni watu walochukuliwa kichawi.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Katika Uumbaji wa mwanadamu Mungu ameumba vitu vitatu tofauti. Mwili, Nafsi na Uhai. Kinachokufa ni Nafsi na si roho kama watu wanavyodai ila Roho haifi ndio maana Mungu akasema ametuumba kwa Mfano wake, Mungu ni Roho 'Yohana 4:24' japokuwa huyo Pasco alikuwa anasema Mungu ni Powers, labda alikuwa anamaanisha Shetani lakini SI Mungu alieziumba Mbingu na Nchi. Kwahiyo Mungu amesema sisi ni mfano wake kwasababu tuna Roho pia, Wanyama, ndege n.k vyote hivi havina Roho ila Mwanadamu anayo.
Turudi kwenye mada, MSUKULE ni mtu aliehai kabisa, narudia tena MSUKULE NI MWANADAMU ALIEHAI. Ila Ushirikina unafanyika pale ni kwamba wanaondoa Ufahamu na kuuzindika Uchawi ule mwili ili kwamba kwa haya macho ya nyama mtu wa kawaida usione chochote.
Sikiliza, mfano mtu anaitwa chiku. Ana miaka 18 ila amechukuliwa kwa mazingira ya kutatanisha kwa kuchukuliwa msukule. Huyu Chiku nafsi yake ni HAI ambayo itaendelea kuishi hapa duniani mpaka pale siku ya kupangikiwa kufa itakapofika. Labda amepangiwa aishi miaka 28, kwahiyo miaka 10 yote atautumikia USUKULE kisha atafariki. Na akishafariki hawezi kurudi tena ktk hali ya Ubidamu wa nyama maana ule mwili wake umeshamishwa na kuwa ktk Ulimwengu wa Roho. Hivyo basi wachawi wanaweza kuendelea kumtumikisha tena, sijajua hasa Msukule anaishi kwa muda gani.
Nitaendelea nikiwa na muda mzuri.
 
Mkuu unapokataa nakua sielewi!

Hebu tuangalie Kazi ya Yesu Kwa ujumla alifanya Vipi!?

Na sisi Kama wanafunzi Wa Yesu yatupasa kuenenda Kama alivyoenenda Yesu!

Sasa unapokubali Kua neno kwanza then nikisema hii Ndo kanuni ya Yesu Alafu unakataa nakua sielewi!

Yesu alifundisha kwanza Yani aliweka neno mbele then pale ilipobidi ndipo alipofanya miujiza! Hakufanya miujiza Kua mbele na Kama angefanya hivyo basi ulimwengu Wote ungaliamini Kwasababu Yesu ndio mfalme Wa MIUJIZA

Sio kila mahali ambapo Yesu alifika basi alitoa Neno, sehemu zingine alitenda Ishara na kuondoka.
 
Hapa ulipo hariri umeongeza vitu ambayo vinapinga sentesi yako ya ukubali Wa neno iliyopo mwanzo!

Na pia unapomzungumzia Roho mtakatifu ktk mazingira haya Mimi nashindwa kuelewa!

Hatuongozwi na Sheria bali Roho.
 
Hatuongozwi na Sheria bali Roho.

Mkuu twende taratibu! Niliposema juu ya Roho mtakatifu nilikua namaanisha mambo kadhaa! Siku Hizi kila kitu watu wamekua wakimsingizia Roho mtakatifu!

Sasa Ukisoma John 16:12 utaona kazi ya roho mtakatifu ni kutuongoza ktk kweli yote! Yani kweli ya neno la Mungu lote!

Sasa wakati mwingine Tujaribu kuangalia Huyu roho anatumikaje? Kwa Mfano wewe hapa umesema Kua MISUKULE ni watu walio hai si Wafu sasa Kwa kauli yako Hiyo inaonekana ata Hiyo roho itendayo kazi ya MISUKULE unamashaka nayo! Ndo maana mi nikasema tuangalie matumizi ya roho!

Kazi ya roho ni kutuongoza katika kweli yote na Biblia anasema ukawatakase Kwa ile kweli neno lako ndio kweli! Kwahiyo yatupasa kuifuata Biblia yote! Sio kushika Hichi Alafu kile tukakiacha!

Huko kwenye sheria nisingependa tufike kwanza ingawa umeanza kunipa angalizo!
 
Mkuu twende taratibu! Niliposema juu ya Roho mtakatifu nilikua namaanisha mambo kadhaa! Siku Hizi kila kitu watu wamekua wakimsingizia Roho mtakatifu!

Sasa Ukisoma John 16:12 utaona kazi ya roho mtakatifu ni kutuongoza ktk kweli yote! Yani kweli ya neno la Mungu lote!

Sasa wakati mwingine Tujaribu kuangalia Huyu roho anatumikaje? Kwa Mfano wewe hapa umesema Kua MISUKULE ni watu walio hai si Wafu sasa Kwa kauli yako Hiyo inaonekana ata Hiyo roho itendayo kazi ya MISUKULE unamashaka nayo! Ndo maana mi nikasema tuangalie matumizi ya roho!

Kazi ya roho ni kutuongoza katika kweli yote na Biblia anasema ukawatakase Kwa ile kweli neno lako ndio kweli!

Huko kwenye sheria nisingependa tufike kwanza ingawa umeanza kunipa angalizo!

Sijui wewe Roho huwa anakuongozaje, mi huwa ananiongaza hata ktk mambo yangu mengine na si kwenye Neno tu.
 
Katika Uumbaji wa mwanadamu Mungu ameumba vitu vitatu tofauti. Mwili, Nafsi na Uhai. Kinachokufa ni Nafsi na si roho kama watu wanavyodai ila Roho haifi ndio maana Mungu akasema ametuumba kwa Mfano wake, Mungu ni Roho 'Yohana 4:24' japokuwa huyo Pasco alikuwa anasema Mungu ni Powers, labda alikuwa anamaanisha Shetani lakini SI Mungu alieziumba Mbingu na Nchi. Kwahiyo Mungu amesema sisi ni mfano wake kwasababu tuna Roho pia, Wanyama, ndege n.k vyote hivi havina Roho ila Mwanadamu anayo.
Turudi kwenye mada, MSUKULE ni mtu aliehai kabisa, narudia tena MSUKULE NI MWANADAMU ALIEHAI. Ila Ushirikina unafanyika pale ni kwamba wanaondoa Ufahamu na kuuzindika Uchawi ule mwili ili kwamba kwa haya macho ya nyama mtu wa kawaida usione chochote.
Sikiliza, mfano mtu anaitwa chiku. Ana miaka 18 ila amechukuliwa kwa mazingira ya kutatanisha kwa kuchukuliwa msukule. Huyu Chiku nafsi yake ni HAI ambayo itaendelea kuishi hapa duniani mpaka pale siku ya kupangikiwa kufa itakapofika. Labda amepangiwa aishi miaka 28, kwahiyo miaka 10 yote atautumikia USUKULE kisha atafariki. Na akishafariki hawezi kurudi tena ktk hali ya Ubidamu wa nyama maana ule mwili wake umeshamishwa na kuwa ktk Ulimwengu wa Roho. Hivyo basi wachawi wanaweza kuendelea kumtumikisha tena, sijajua hasa Msukule anaishi kwa muda gani.
Nitaendelea nikiwa na muda mzuri.

Mkuu Hebu linganisha haya mafungu;

Genesis 2:7

And The Lord God formed man of the dust of ground, and breathed into his nostrils the breath of life; and man became a living being

Eccl 12:7
Then dust will return to the earth as it was, and the spirit will return to God who gave it!

Nilichotaka Kusema Mungu ktk uumbaji aliumba MWILI NA AKAPULIZA PUMZI YA UZIMA/ROHO. ni vitu viwili!

Na ndio maana mtu akifa mwili hurudi udongoni na PUMZI/roho hurudi Kwa mtoaji!
 
Hapo nyuma kulikuwa na tuhuma nyingi kuhusu Gwajima (sijui ni askofu au mtume???) kutumia ndumba kwenye huduma zake. Hizi tuhuma bado zipo na zinahukishwa sana na huduma zake kuwa na usiri mkubwa.

Nimejaribu kuunganisha urafiki wa Gwajima na Lowassa na wafuasi vipofu wengi wanaoshangilia mabadiliko ya kisanii. Je kutakua na kosa kama nikisema kuwa inawezekana hizi ndumba za Gwajia zimetumika kuwafunga macho na akili baadhi ya watu wae na mapenzi yaliyopitiliza kwa lowassa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom