FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
mmmh jamani hii hadithi ni nzuri sana Mwanakijiji hongera jinsi navyoendelea kuisoma napata shauku ya kuendelea na kuendelea
Swali ambalo ni tete kwangu ..huyu waziri alimkosea nini mwanamama mpaka ashindwe kumsamehe?
hapo tu ndio nasikitika ..hivi mzee akiamua kujitafutia kadada poa na kuendelea kivyake mkewe atalalamika pale atakapoona mmewe hamsumbui tena kutaka unyumba??
Sehemu ya tatu iko hewani na ni ndefu kidogo ni kama dozi mara mbili.. hope u guys enjoy! Tutaendelea kesho. ANGALIA KWENYE POSTI YA KWANZA!
well.. kwa kweli hata mimi sijui amemkosea nini.. we will find out kama ataamua kutuambia!
hahahaha jamani Mjamaica wa watu anaenda kuleta kizunguzungu katika ndoa ya waziri..dalili si njema
asante sana mwanakijiji...I SALUTE
Doh! karibu leo ingenipita nimeitafutaaaaa!Thx MM
MMJ, hicho kibanda cha Mjamaika kiko maeneo hayo uliyosema???? Nitaenda kukisaka mpaka nikione na nimuone mjamaika mwenyewe kama kweli lakini.......................................
Asanke MM; yaani inakuwa kama tunaiishi hii stori; Nitakuuuliza swali; Unaompango wa kuzitengenezea movie hizi stories? Manake mie hapa tayari ni picha ya Mjamaika na huyu Mke wa waziri; aah yani safi sana!
NIngeweza lakini bado sijaona waigizaji makini wa kibongo wanaoweza kucheza parts ninazoandika; so kwa sasa zinabakia hadithi tu. Unless nikipata mtu wa kuniconvince vizuri naweza kuandika screen script ya movie kabisa of some of my unpublished stories..
Yah mon...how tings a'gwan today mon? Nadhani nina sifa zote za kucheza Mjamaika.....
U got the part! now nani acheze Clementina?
U got the part! now nani acheze Clementina?
.......Nadhani mie nitafaa kucheza ya Clementina lol.
Great!