Mapenzi + siasa = ????
Mungu akutie nguvu usije poteza mood aisee nikitu matata ...barikiwa mwana kijiji wetu.
Mzee Mwanakijiji nakuzimia sana i cant wait to read you book, itakuwa na pages ngapi? kinaishia vizuri ? i love happy ending sio kama kwenye movie ya salt unaachwa umetoa maco pima
Mzee Mwanakijiji nakuzimia sana
Najaribu kufikiria kama mwisho uwe mzuri hadi mtua aseme "aaaw" au uwe wa kumfanya atoke machozi. Napenda huwa wa kumfanya mtu alie.. sijui kwanini..
Mh na wewe Nyani Ngabu hupitwi? teheteheMwanakijiji zali hilo....
Najaribu kufikiria kama mwisho uwe mzuri hadi mtua aseme "aaaw" au uwe wa kumfanya atoke machozi. Napenda huwa wa kumfanya mtu alie.. sijui kwanini..
Ts 2:19 AM, ndio namaliza kusoma hizi episodes tangu nianze sa 9:45 PM..
Kiukweli nimetekwa na kufurahia hii kazi, nimekuja kushtuka mwishoni kuwa hii ni post ya toka 2010 karibu mwaka 1 sasa, Mkuu Mwanakijiji may Lord God Increase U.