Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,243
- 44,524
- Thread starter
-
- #221
MKJJ,
Hadithi hii utakapoimaliza...itisha jopo la critics humu humu JF wafanye book review... tutapata mambo mazuri sana ya kusaidia maishani na hata kwa waandishi watakaopata inspiration kutoka kwako.
Ajabu mie tofauti na wengine wasiotaka hadithi iishe..natamani iishe ulete utamu mwingine.
ndo unatutisha hapo au mwanakijiji? wengine cc tunasomea kwa ofc lunch time tea break sasa ntajificha wapiasante tausi kisa kimeisha niko nakifanyia editing kidogo na kuweka mafuta mafuta, chumvi, ndimu na mdalasini... hata hivyo lazima nitoe onyo:
SEHEMU YA MWISHO - USISOME MAHALI AMBAPO UNAWEZA KUJIKUTA UNAPATA NA MFADHAIKO AU KARIBU NA MTU AMBAYE KATIKA MAZINGIRA MENGINE USINGEJISIKIA KUMDONDOKEA...
So stay tuned...
asante tausi kisa kimeisha niko nakifanyia editing kidogo na kuweka mafuta mafuta, chumvi, ndimu na mdalasini... hata hivyo lazima nitoe onyo:
SEHEMU YA MWISHO - USISOME MAHALI AMBAPO UNAWEZA KUJIKUTA UNAPATA NA MFADHAIKO AU KARIBU NA MTU AMBAYE KATIKA MAZINGIRA MENGINE USINGEJISIKIA KUMDONDOKEA...
So stay tuned...
Hm MMM kwa hadithi hii nimejikuta nimekudondokea ghafla bila kuficha mh!!
Du hii sehemu ya mwisho inaonekana itakuwa kali, tupe uhondo mzee!asante tausi kisa kimeisha niko nakifanyia editing kidogo na kuweka mafuta mafuta, chumvi, ndimu na mdalasini... hata hivyo lazima nitoe onyo:
SEHEMU YA MWISHO - USISOME MAHALI AMBAPO UNAWEZA KUJIKUTA UNAPATA NA MFADHAIKO AU KARIBU NA MTU AMBAYE KATIKA MAZINGIRA MENGINE USINGEJISIKIA KUMDONDOKEA...
So stay tuned...
Hm MMM kwa hadithi hii nimejikuta nimekudondokea ghafla bila kuficha mh!!
MJ yaani MMM alivyoichambua fani hii ya mapenzi humu ndani.... unawezajikuta unaomba penzi ati...... kumbe vyote ving'aavyo si dhahabu.I knew something like this was bound to happen sooner or later!
But ni kitu chema sana! hongera Mwanajamii1
Jamani FL1 atha mie thi nimethema cha moyoni bana??......... maana anavyojua kumpamba huyu mama na ndoto zake za Freddy na Jonathan mh mie nimechoka kabisa ...... Ntakutafuta MMMHahahah MJ1 umenichekesha sana .. hata sikutegemea kutoka kwako :humble:
Ha ha ha ha ha ha ha Masanilo................. ili utunge hadithi au?Natamani niwe Mwanakijiji!
Ha ha ha ha ha ha ha Masanilo................. ili utunge hadithi au?
nimejikuta nimekudondokea ghafla bila kuficha mh
Hahahahahah unajua jibu....
Saa hii ningekuwa napiga mluzi wa ushindi......
Hahahaaaaaaaaaa yaani wewe you are quick thinker.
Anza basi na wewe kutunga hadithi you never know unawezaukapindua kibao lol.
Sijakuelewa kusimulia .......ambayo uliisoma sehemu au kusimulia uliyoitengeneza mwenyewe? loloMimi ni mzuri wa kusimlia hadithi....can I have a ride?
Sijakuelewa kusimulia .......ambayo uliisoma sehemu au kusimulia uliyoitengeneza mwenyewe? lolo
Masaniloooooooooo woy woy woy woy woy!
Unaviweza vina na mizani weye?